Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Kweli bora umeuliza maana wewe hujui kitu kabisaIle episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Binafsi naona kusudi lao kuu ni kumchafua BT kwa kujaribu kuonyesha how evil he is.Binafsi pia ni mpenzi wa hii riwaya ufundi ni mwingi sana kongole kwa mwandishi, katika hali ya kawaida tu kuna mda nimekuwa nikijaribu kutaka kujua baadhi ya mambo kuhusu huu uzi je?
.Nani mwandishi wa hii riwaya in real life.
.pili kwanini anajua hadi conversations za mdomo kwa mdomo za wahusika waliokuwa wamejifungia ndani wawili tu, hasa za new ceo.
.tatu kusudi la hii riwaya ni nini.
.nne nani mlengwa wa hii riwaya(mlaji).
.tano je ni yepi maslahi ya mtoa riwaya.
Najaribu kutafakari kuwa endapo tutaweza kuyajibu kwa usahihi haya maswali huenda tukajikuta angalau kuweza kupredict mwandishi ni yupi ama anatokea ngome ipi na pia tukajua lengo lake au lao la kuleta hiki ninachoweza kusema ni kuwaanda kisaikolojia ama kuomba kibali kwa customers ili kumu eliminate the so called BT, maana baada ya tamthilia hii ni wazi kuwa asilimia kubwa ya customers watakuwa wamemchukia BT na hawatokuwa surprised siku wakisikia he is passed away [emoji24][emoji24] for the sake of the company.
#nawaza kwa karamu [emoji871][emoji871]
Mkakati kazi unasukwaKusudi la riwaya- Binafsi naona kusudi lao kuu ni kumchafua BT kwa kujaribu kuonyesha how evil he is.
Wanafaika kwenye "Uzi" huu ni timu current CEO ambao wanajaribu kuonyesha ni jinsi gani current CEO anavyo fanyakazi kwa ugumu Kupitia mashinikizo ya BT.
Walengwa kwenye hii riwaya ni watanzania wote kwa ujumla wetu na hasa wapigakura ambao "Mwandishi" anaamini tunaweza muunga mkono new CEO kwa huruma na kumpa tena shavu iwapo Chama chake kitamteua.
Ushauri wangu ni kuwa japo hii ni riwaya tu Inabidi tuamini hivyo japo there's something behind the curtain.
Domhome
Naamini hivyo...Mkakati kazi unasukwa
Ni hadithi tu!! Siyo lazima uifuatilieKusudi la riwaya- Binafsi naona kusudi lao kuu ni kumchafua BT kwa kujaribu kuonyesha how evil he is.
Wanafaika kwenye "Uzi" huu ni timu current CEO ambao wanajaribu kuonyesha ni jinsi gani current CEO anavyo fanyakazi kwa ugumu Kupitia mashinikizo ya BT.
Walengwa kwenye hii riwaya ni watanzania wote kwa ujumla wetu na hasa wapigakura ambao "Mwandishi" anaamini tunaweza muunga mkono new CEO kwa huruma na kumpa tena shavu iwapo Chama chake kitamteua.
Ushauri wangu ni kuwa japo hii ni riwaya tu Inabidi tuamini hivyo japo there's something behind the curtain.
Domhome
Namm nimeona mkuu jins BT anavyo salilishwa kwa kubebea kila tuhuma nzitoKusudi la riwaya- Binafsi naona kusudi lao kuu ni kumchafua BT kwa kujaribu kuonyesha how evil he is.
Wanafaika kwenye "Uzi" huu ni timu current CEO ambao wanajaribu kuonyesha ni jinsi gani current CEO anavyo fanyakazi kwa ugumu Kupitia mashinikizo ya BT.
Walengwa kwenye hii riwaya ni watanzania wote kwa ujumla wetu na hasa wapigakura ambao "Mwandishi" anaamini tunaweza muunga mkono new CEO kwa huruma na kumpa tena shavu iwapo Chama chake kitamteua.
Ushauri wangu ni kuwa japo hii ni riwaya tu Inabidi tuamini hivyo japo there's something behind the curtain.
Domhome
Umeambiwa hii ni fiction, wewe uliona ukweli gani? Na uwongo gani unauona sasa? Keep reading.Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Mimi hii riwaya naiamini kabisa na naona inatoka jikoni huyu BT kwa nini watu wake wote wamerudi kwa system? Tena kwenye vitengo mhimu ona akina marope wasivyogusika pamoja na malalamiko ya watuNamm nimeona mkuu jins BT anavyo salilishwa kwa kubebea kila tuhuma nzito
Imefika mahali nikaona kbsa kuwa Kuna kikundi ndani ya current CEO ndio wanamchafua mzee huyu wa msoga kwa kumchafua kwa kila awezalo eti BT anata trillion 1.5 za mradi wa umeme jmn jmn hi Ni riwaya tu Ila siyo vzr kumtwisha zege lote huyu mzee vingi Ni uzushi tu dhid yake siamini Kama anaweza kuwa evils Kia's hiki
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii ni riwaya tu, kama mwandishi alivyosema na characters wake na majina yao ni ya kutunga.Binafsi pia ni mpenzi wa hii riwaya ufundi ni mwingi sana kongole kwa mwandishi, katika hali ya kawaida tu kuna mda nimekuwa nikijaribu kutaka kujua baadhi ya mambo kuhusu huu uzi je?
.Nani mwandishi wa hii riwaya in real life.
.pili kwanini anajua hadi conversations za mdomo kwa mdomo za wahusika waliokuwa wamejifungia ndani wawili tu, hasa za new ceo.
.tatu kusudi la hii riwaya ni nini.
.nne nani mlengwa wa hii riwaya(mlaji).
.tano je ni yepi maslahi ya mtoa riwaya.
Najaribu kutafakari kuwa endapo tutaweza kuyajibu kwa usahihi haya maswali huenda tukajikuta angalau kuweza kupredict mwandishi ni yupi ama anatokea ngome ipi na pia tukajua lengo lake au lao la kuleta hiki ninachoweza kusema ni kuwaanda kisaikolojia ama kuomba kibali kwa customers ili kumu eliminate the so called BT, maana baada ya tamthilia hii ni wazi kuwa asilimia kubwa ya customers watakuwa wamemchukia BT na hawatokuwa surprised siku wakisikia he is passed away [emoji24][emoji24] for the sake of the company.
#nawaza kwa karamu [emoji871][emoji871]
Mmmmh Kwan c tulimbiwa na hadithi ya kitugwa? Kwan hadith inakua na ukwel? Si uongo Tu ilmradi ukolee???Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
MkuuNamm nimeona mkuu jins BT anavyo salilishwa kwa kubebea kila tuhuma nzito
Imefika mahali nikaona kbsa kuwa Kuna kikundi ndani ya current CEO ndio wanamchafua mzee huyu wa msoga kwa kumchafua kwa kila awezalo eti BT anata trillion 1.5 za mradi wa umeme jmn jmn hi Ni riwaya tu Ila siyo vzr kumtwisha zege lote huyu mzee vingi Ni uzushi tu dhid yake siamini Kama anaweza kuwa evils Kia's hiki
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii ni riwaya tu jamani sema mtunzi amejua kucheza na akili za watu kulingana na matukioMimi hii riwaya naiamini kabisa na naona inatoka jikoni huyu BT kwa nini watu wake wote wamerudi kwa system? Tena kwenye vitengo mhimu ona akina marope wasivyogusika pamoja na malalamiko ya watu
Kwani wapi ulipo soma comment yng nimesema so riwaya?Hii ni riwaya tu, kama mwandishi alivyosema na characters wake na majina yao ni ya kutunga.
Mbona kimya!!?Hapana bwana [emoji16][emoji16][emoji16] this weekend ni bampa to bampa
Bampa ĺimekatikaMbona kimya!!?
Ni Gani huko!!?
Njoo huku kibera KWA demonstration tupo na Baba huku!!!!