Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Kweli bora umeuliza maana wewe hujui kitu kabisa
 
Binafsi pia ni mpenzi wa hii riwaya ufundi ni mwingi sana kongole kwa mwandishi, katika hali ya kawaida tu kuna mda nimekuwa nikijaribu kutaka kujua baadhi ya mambo kuhusu huu uzi je?
.Nani mwandishi wa hii riwaya in real life.

.pili kwanini anajua hadi conversations za mdomo kwa mdomo za wahusika waliokuwa wamejifungia ndani wawili tu, hasa za new ceo.

.tatu kusudi la hii riwaya ni nini.

.nne nani mlengwa wa hii riwaya(mlaji).

.tano je ni yepi maslahi ya mtoa riwaya.

Najaribu kutafakari kuwa endapo tutaweza kuyajibu kwa usahihi haya maswali huenda tukajikuta angalau kuweza kupredict mwandishi ni yupi ama anatokea ngome ipi na pia tukajua lengo lake au lao la kuleta hiki ninachoweza kusema ni kuwaanda kisaikolojia ama kuomba kibali kwa customers ili kumu eliminate the so called BT, maana baada ya tamthilia hii ni wazi kuwa asilimia kubwa ya customers watakuwa wamemchukia BT na hawatokuwa surprised siku wakisikia he is passed away [emoji24][emoji24] for the sake of the company.
#nawaza kwa karamu [emoji871][emoji871]
 
Binafsi naona kusudi lao kuu ni kumchafua BT kwa kujaribu kuonyesha how evil he is.

Wanufaika kwenye "Uzi" huu ni timu current CEO ambao wanajaribu kuonyesha ni jinsi gani current CEO anavyo fanyakazi kwa ugumu Kupitia mashinikizo ya BT.

Walengwa kwenye hii riwaya ni watanzania wote kwa ujumla wetu na hasa wapigakura ambao "Mwandishi" anaamini tunaweza muunga mkono new CEO kwa huruma na kumpa tena shavu iwapo Chama chake kitamteua.

Kama ni kweli BT bado ana power kubwa kiasi hicho basi Current CEO hafai na hana sifa za kuongoza Kampuni.

Ushauri wangu ni kuwa japo hii ni riwaya tu kama Mwandishi asisitizavyo Inabidi tuamini hivyo japo there's something behind the curtain.

Domhome
 
Kusudi la riwaya- Binafsi naona kusudi lao kuu ni kumchafua BT kwa kujaribu kuonyesha how evil he is.

Wanafaika kwenye "Uzi" huu ni timu current CEO ambao wanajaribu kuonyesha ni jinsi gani current CEO anavyo fanyakazi kwa ugumu Kupitia mashinikizo ya BT.

Walengwa kwenye hii riwaya ni watanzania wote kwa ujumla wetu na hasa wapigakura ambao "Mwandishi" anaamini tunaweza muunga mkono new CEO kwa huruma na kumpa tena shavu iwapo Chama chake kitamteua.

Ushauri wangu ni kuwa japo hii ni riwaya tu Inabidi tuamini hivyo japo there's something behind the curtain.

Domhome
Mkakati kazi unasukwa
 
Ni hadithi tu!! Siyo lazima uifuatilie
 
Namm nimeona mkuu jins BT anavyo salilishwa kwa kubebea kila tuhuma nzito

Imefika mahali nikaona kbsa kuwa Kuna kikundi ndani ya current CEO ndio wanamchafua mzee huyu wa msoga kwa kumchafua kwa kila awezalo eti BT anata trillion 1.5 za mradi wa umeme jmn jmn hi Ni riwaya tu Ila siyo vzr kumtwisha zege lote huyu mzee vingi Ni uzushi tu dhid yake siamini Kama anaweza kuwa evils Kia's hiki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Umeambiwa hii ni fiction, wewe uliona ukweli gani? Na uwongo gani unauona sasa? Keep reading.
 
Namm nimeona mkuu jins BT anavyo salilishwa kwa kubebea kila tuhuma nzito

Imefika mahali nikaona kbsa kuwa Kuna kikundi ndani ya current CEO ndio wanamchafua mzee huyu wa msoga kwa kumchafua kwa kila awezalo eti BT anata trillion 1.5 za mradi wa umeme jmn jmn hi Ni riwaya tu Ila siyo vzr kumtwisha zege lote huyu mzee vingi Ni uzushi tu dhid yake siamini Kama anaweza kuwa evils Kia's hiki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi hii riwaya naiamini kabisa na naona inatoka jikoni huyu BT kwa nini watu wake wote wamerudi kwa system? Tena kwenye vitengo mhimu ona akina marope wasivyogusika pamoja na malalamiko ya watu
 
Binafsi pia ni mpenzi wa hii riwaya ufundi ni mwingi sana kongole kwa mwandishi, katika hali ya kawaida tu kuna mda nimekuwa nikijaribu kutaka kujua baadhi ya mambo kuhusu huu uzi je?
.Nani mwandishi wa hii riwaya in real life.

.pili kwanini anajua hadi conversations za mdomo kwa mdomo za wahusika waliokuwa wamejifungia ndani wawili tu, hasa za new ceo.

.tatu kusudi la hii riwaya ni nini.

.nne nani mlengwa wa hii riwaya(mlaji).

.tano je ni yepi maslahi ya mtoa riwaya.

Najaribu kutafakari kuwa endapo tutaweza kuyajibu kwa usahihi haya maswali huenda tukajikuta angalau kuweza kupredict mwandishi ni yupi ama anatokea ngome ipi na pia tukajua lengo lake au lao la kuleta hiki ninachoweza kusema ni kuwaanda kisaikolojia ama kuomba kibali kwa customers ili kumu eliminate the so called BT, maana baada ya tamthilia hii ni wazi kuwa asilimia kubwa ya customers watakuwa wamemchukia BT na hawatokuwa surprised siku wakisikia he is passed away [emoji24][emoji24] for the sake of the company.
#nawaza kwa karamu [emoji871][emoji871]
Hii ni riwaya tu, kama mwandishi alivyosema na characters wake na majina yao ni ya kutunga.
 
Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Mmmmh Kwan c tulimbiwa na hadithi ya kitugwa? Kwan hadith inakua na ukwel? Si uongo Tu ilmradi ukolee???

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Namm nimeona mkuu jins BT anavyo salilishwa kwa kubebea kila tuhuma nzito

Imefika mahali nikaona kbsa kuwa Kuna kikundi ndani ya current CEO ndio wanamchafua mzee huyu wa msoga kwa kumchafua kwa kila awezalo eti BT anata trillion 1.5 za mradi wa umeme jmn jmn hi Ni riwaya tu Ila siyo vzr kumtwisha zege lote huyu mzee vingi Ni uzushi tu dhid yake siamini Kama anaweza kuwa evils Kia's hiki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu
Hakuna sehem yoyote ametajwa mzee Wa msoga, anza mwanzo mpka kufikia hapa, kilichopo ni uhakiki Wa riwaya, hapo ndpo matawi yanapokuja. Ushauri tu ni kutokuhusisha maisha halisi na riwaya, ila ikiwa yatabaki kuwa mawazo binafsi kila MTU anayo serikali yake

Wakati mwingine si lazima kusema hata kunyamaza ni kuelewa pia mkuu.
 
Mimi hii riwaya naiamini kabisa na naona inatoka jikoni huyu BT kwa nini watu wake wote wamerudi kwa system? Tena kwenye vitengo mhimu ona akina marope wasivyogusika pamoja na malalamiko ya watu
Hii ni riwaya tu jamani sema mtunzi amejua kucheza na akili za watu kulingana na matukio
 
Back
Top Bottom