Dark days 17/03/20...

Watu wasiwe na hofu yoyote ile, nchi ipo katika hali salama. Viongozi wakuu, wote wastaafu na waliopo madarakani huashiria jambo hilo kivitendo.View attachment 2571613
Hehehe.. Jana nilipoona hii nilisema kumekuchaaa.. Mana hapo nyuma kidogo kuna watu walisema BT mgonjwa. Nikasema sidhani ila sijui.
 
Sehemu fulani ya simulizi iliisimulia kuhusu maandalizi ya branch manager kipenzi cha ex CEO ifikapo mwaka 2023 kukumbukwa kwa teuzi fulani za current CEO. Wale wenye kumbukumbu nzuri kuhusu kipande hiki cha "fiction" wanaweza kutukumbusha zaidi.
 
Ohoooo
 
Late CEO ameacha legacy ya kipekee Sana hapa ulimwenguni....

Mzee alimaanisha haswa kwamba ana-sacrifice
 
zT nchi yangu hii[emoji23][emoji23],,,kuwa serious n vizazi vijavyo,,kwann mtangulizi asidharauliwe Kama anataka mgao kwenye kila project ilhali Kuna masikini kibao wanakufa kwa kukosa panadol
 
Acha ujuaji mbele ya professional killers ,,,Soma uelewe ,,,late CEO alikua notified but kutokana na mazingira ilikua n very narrow kwa yy kuchomoka that's why aliamua "let it be,,,Hadi flan... ninaemuamini amenisaliti"
 
FULANI ninaemuamini ......Diwani wa kata gani huyoooo!!!?au!!!?
 
Watu wasiwe na hofu yoyote ile, nchi ipo katika hali salama. Viongozi wakuu, wote wastaafu na waliopo madarakani huashiria jambo hilo kivitendo.View attachment 2571613
Asante kiongozi taifa liko mikono salama kabisa.
Natama mzee w mjini na mama waishi miaka mingi mnooo. Ili president ajae wawe nae kumpatia miongozi sahihi.
Born in town!!!Mutu makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…