Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kama kawaida yao state wanatoa TAARIFA ya kupika kama HII kabla hawajafanya jambo lao!!wanatuandaa kisaikolojia yatakayofuata soon!!ionekane kuna migogoro ya timu tatu tofauti ILI wao wapitishe mtu wao asie wa upande wowote yaani awe wa Kati wanaemtaka!!na wameshaanza kumsafishia njia kwa nyuzi kama hizi!!!ILI umma ujiandae kwa Mabadiliko na ingizo jipya!!!
Hamna mama yupo hadi 2025 then hadi 2030
 
Umeona ile sim aliopokea new CEO kwamba mpango wa kumtoa 2027!!?

Kama akilazimisha tu itakua hivyo hawa jamaa bado hawajabatilisha ujio wa fdr ujue!!lakini nashangaa siku zinasonga tu !!
"Umeona ile sim aliopokea new CEO kwamba mpango wa kumtoa 2027"
Sim ipi mkuu alipokea na lini hiyo alipokea?
Mimi nadhani mkuu deep state wameghaili Mpango wao wa FDR, ..... maslahi yao yanasimamiwa vizuri na new CEO
 
Mwishoni mwa episode 1 season 2 inaonekana hii ya juzi alotoa yoga!new CEO kapokea sim toka kwa kijana wa mzee akamwambia wanna plan ya kumtoa 2027!!
 
*Six; mr new culture, kijna msema sana and others should be brought back in the company affears na wawe trated right, and NEW CULTURE should now be prepared
Aliyeelewa NEW CULTURE SHOULD BE PREPARED ~~FOR WHAT? ETII aandaliwe kwenye nn

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Prepared kuwa pm baada ya katelephone au!!?
 
Mimi ukiniuliza nini kilimuuwa old CEO nitakwambia jambo moja tu dam sio nzuri kuimwaga. Nadhani alipofikia ku eliminate watu wenye akili walijiongeza yani ukiuwa ujuwe utauwawa na hiki ndicho kimewakuta all killer. Angalia kinachoendelea hapo Ukraine huyo jamaa wa Russia msishangae kuamka asubuh amesha pumzika. Kitu anakifanya hapo Ukraine hakiwezi muacha tena atanie. Yani anajuwa siku zake zinahesabika. Yani kuuwa nijambo hatari sana kwa maisha yako pia.
Mbona Bush baba aliua Vietnam amekuja kufa uzeeni natural death, George Bush mtoto, kaua Iraq na Afghanistan hadi leo anadunda, Idd Amin aliua sana kaja kufa uzeeni, nadhani wauaji si wote hupewa hukumu wakiwa duniani.
 
Soma riwaya vizuri ....kuna sehemu kaandika akaamua kujoin company na other company from neighbours ambao walimuweka Mr lotu mjengoni baada ya kumshinda mzee

I think ni mzee Ex CEO ...tunayeshare naye kivutio kimoja kinzuri cha kipekee africa kipatikanacho kwa kina manka
Iandike kuanzio L-u-t kisha malizia na a
 
Mimi ukiniuliza nini kilimuuwa old CEO nitakwambia jambo moja tu dam sio nzuri kuimwaga. Nadhani alipofikia ku eliminate watu wenye akili walijiongeza yani ukiuwa ujuwe utauwawa na hiki ndicho kimewakuta all killer. Angalia kinachoendelea hapo Ukraine huyo jamaa wa Russia msishangae kuamka asubuh amesha pumzika. Kitu anakifanya hapo Ukraine hakiwezi muacha tena atanie. Yani anajuwa siku zake zinahesabika. Yani kuuwa nijambo hatari sana kwa maisha yako pia.
Mbona enzi za kikwete kuna watu wengi waliuawa Sana?
 
Back
Top Bottom