Dark days 17/03/20...

Shida ya BT ana uchu na mali, anajilimbikizia utadhani hafi
Na mimi ndio nashangaa. Kwa life expetency gani? Anasahau siri na Fumbo la Uhai na Maisha haiko kwa Mwingine ispokuwa Muumba.

Nkuruzinza alipofia Nairobi yale mapesa lukuki sijui yameoshia wapi.

Selfish is a deadly [emoji752] cancer.
 
Kumbe kuna sehemu huyo mama ametajwa..? Sijaona asee [emoji23][emoji23]
 
@tambi za chuma pita na hapa
 
Sehemu fulani ya simulizi iliisimulia kuhusu maandalizi ya branch manager kipenzi cha ex CEO ifikapo mwaka 2023 kukumbukwa kwa teuzi fulani za current CEO. Wale wenye kumbukumbu nzuri kuhusu kipande hiki cha "fiction" wanaweza kutukumbusha zaidi.
Si unaona na yule jamaa kaachiwa, tegemea lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…