Wala sio kumtishia..... kwani Nini Cha ajabu? Mfano Dr Janabi amewahi kwenda pale voda kipindi kile JPM kapotea wiki mbili baada ya kutoka kusini nadhani 2019 Ile. Akasema wazi kwamba Rais haonekani sababu alipata shida ya moyo!! Wala haikuwa Siri Wala haikuhitahu connection maana alikua anasisitiza haja ya kufanya mazoezi.
Na hiki nachosema Wala hakihitaji connection maana sio ikulu Wala TISS ni hospitali tu. Madaktari wa moyo wa JPM wanajulikana na nimekutajia mmoja wapi ni PK Sasa kama ameuwawa huyo dokta angekua hai Hadi Leo? Si wangemmaliza asivujishe Siri.
Tupunguze ujuaji, fuatilia kwanza vyombo husika ukikosa taarifa ndio useme kauwawa. Sio hujawahi hata kufahamu chanzo Cha kifo unakimbilia tu kauwawa!! What the hell.