Dark days 17/03/20...

Nyie ndio wale ukibishana na mtu unaanza kumtishia ..."Hujui nimesoma na waziri wa mambo ya ndani?? " Au "haujui RPC kamuoa dada yangu?"
Wala sio kumtishia..... kwani Nini Cha ajabu? Mfano Dr Janabi amewahi kwenda pale voda kipindi kile JPM kapotea wiki mbili baada ya kutoka kusini nadhani 2019 Ile. Akasema wazi kwamba Rais haonekani sababu alipata shida ya moyo!! Wala haikuwa Siri Wala haikuhitahu connection maana alikua anasisitiza haja ya kufanya mazoezi.

Na hiki nachosema Wala hakihitaji connection maana sio ikulu Wala TISS ni hospitali tu. Madaktari wa moyo wa JPM wanajulikana na nimekutajia mmoja wapi ni PK Sasa kama ameuwawa huyo dokta angekua hai Hadi Leo? Si wangemmaliza asivujishe Siri.

Tupunguze ujuaji, fuatilia kwanza vyombo husika ukikosa taarifa ndio useme kauwawa. Sio hujawahi hata kufahamu chanzo Cha kifo unakimbilia tu kauwawa!! What the hell.
 
Yaani madogo wengine wamekuja mwishooni kabisa wana Wenge alafu hawajui kitu....hata ukiangalia tu namna wanavyoandika unajua kabisa huyu hajui kitu...
Punguza ujuaji, mwandishi keshakiri hii ni riwaya tu Wala Haina facts yoyote. Sasa nashangaa wewe msomaji ndio unakua serious kutetea mada ilihali ushaambiwa ni fiction.

Ndio maana hata page za udaku huko insta Zina followers wengi kuliko mainstream media kama Azam au Jamii forums.
 
Hata obama inaaminika ni laboratory product!ndicho anachomaanisha huyo jamaa!

Mara nyingi clones wanakua na scar mahali hasa shingoni!

Na HIZI projects hufanywa kijasusi KWA malengo maalum ya Taifa husika!!
Conspiracy tu hizo, why would you make a clone kama original yupo na anaenda sawa sawa na matakwa yenu? Hiyo teknolojia Bado haijafika huko ya kuclone binadamu ila wanaweza clone mtu kwa robotics sio binadamu.
 
Z
Zito kama zito!

Mbona maandamano ya ACT yaliyeyuka!!?
 
kama bado una amini media , una njia ndefu sana kua free thinker
 
kama bado una amini media , una njia ndefu sana kua free thinker
It's funny unasema tusiamini media na unaamini maandiko ya JF ambayo ni media pia ikiwemo hii story.

My point is watu hawapendi facts wanapenda udaku. Ndio maana ni ngumu kukuta mtu ame subscribe page ya world Bank au IMF ila akisikia akaunti ya udaku inasema tunapewa mkopo wa IMF kwa masharti ya kukubali ushoga mtu anaamini!!.

So ni vizuri tuwe na balanced information, ujue taarifa rasmi kwanza ila tukitegemea umbea ndio kunakua na mis information. Kama tu story ya Hakimi it was all fake but ona ilivyosambaa Mitandaoni mpaka humu JF.

Tukatae misinformation na disinformation
 
miss pablo na cariha
Huo mdahalo wenu, umekuwa kama scene flani ya comedy katikati ya series ya horror.

Kuwa smart mind uwe na watu wa kukutekelezea majukumu. Old CEO alikosa sifa ya uvumilifu na usikivu. Ukikosa sifa hizi kwenye medani umeshapoteza mechi kama mshindani wako akivipata.

Old Ceo alikihukumu kitabu kwa jalada lake na sio maudhui ya kitabu chenyewe. Alideal na mtu direct badala ya mfumo. Japo alijaaliwa uwezo mkubwa wa maamuzi magumu, ila bahati mbaya alichagua watu wa hovyo kumtekelezea mambo yake. Wakatumia nguvu zaidi badala ya akili zaidi.

Kipengele kitamu kwa BT ni namna anavyo mpa za chembe bwana paka, napenda sana mechi hii, kwani mara zote BT huibuka mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…