cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Ulichoandika na hyo avator yako sasaMmoja ya waandishi wa huu uzi tayar bado kuna mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoandika na hyo avator yako sasaMmoja ya waandishi wa huu uzi tayar bado kuna mmoja
Kazi ipoKorea ya kaskazini!!?
Nilisikiaga hii kitu somewhere mkuu!!
Kwamba yupo ubalozini huko korea au!!?
Missions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nini faida ya uongo uongo huu.Missions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uongo huu unakusaidia nini mkuu?Missions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye updates za yoga alisema queen Sasha ataongoza Hadi mwaka 2027 then aje mwingine. So naona kulikuwa na kaukweli Kwa mbali.Missions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe wa kumwambi Zitto junior hivyo? Utakuwa humjui wewe.Kijana ww bado mdogo sana..haya mambo ni mazito..nikuombe uende kwenye ule uzi wa kula kimasihara au chit chart...humu ni pagumu sana mdogo wangu..please adhere to my advice...
Madam spika sijui alikulia wapi ambako wanawake wenzake hawaoni.Mama gwajima sikuhizi anajitahidi Kwa kweli Anna makinda yeye hutupiaga kawigi kake kauka nivae na kuvaa vizuri, Sasa madame speaker wetu kajichoka sana
Missions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] Yani angetakiwa awe smart apake serum sura iwe na Nuru hupenda kuvaa maronya ronya tuMadam spika sijui alikulia wapi ambako wanawake wenzake hawaoni.
Ni mchafu mchafu tu kila mahali
AiseeUsinambie hii kitu ndo unaijuwa kwa mara ya kwanza? Duniani hakuna siri watu wake wa karibu na the late ceo walivyoanza kufa siri ndo zikaanza kutoka hata huku mitaani baadhi ya watu tulijua hii mipango lakini ndo hivyo huna cha kufanya unamwambia nani? Mtu anakwambua mapema ceo kafa meza pin.
Kama mimi nilijua mapema ceo kafa wiki kabla ya tangazo , nikiingia humu jf watu wanauliza ceo yuko wapi? Nashindwa kusema maana ilikuwa ni hatari kusema. Hakuna siku zilizonitesa kama hizo wiki mbili ceo kashakufa watu hawana taarifa.
Jamaa anajua kujipenfekeza sanaluckyline si kwa mapenzi yale ya baba kwa branch manager hata juzi kwenye siku ya maadhimisho ya kifo chake alikuwa pale chato akiwa frontline na vijana wa mzee
Patamu kama nini[emoji23][emoji23]Heee kumbe upo![emoji23][emoji23][emoji23]Malizia Basi umekatishia patamu,Mi nilijua genge la old CEO washakuteka, nikaona nikusengenye kidogo......