Dark days 17/03/20...

Nini faida ya uongo uongo huu.
 
Uongo huu unakusaidia nini mkuu?
 
Kwenye updates za yoga alisema queen Sasha ataongoza Hadi mwaka 2027 then aje mwingine. So naona kulikuwa na kaukweli Kwa mbali.
 
Mkuu

Kwahiyo ile ishu ya fdr kuingia kitalani imeyeyuka!!?

Mi nilidhani hilo tukio lita leta domino effect KWA mapapa kuanguka hasa watakaohudhuria musiba cyprian au!!!?

Kwamba picha ndio linaanza rasmi au sio!!!?
 
Aisee
luckyline si kwa mapenzi yale ya baba kwa branch manager hata juzi kwenye siku ya maadhimisho ya kifo chake alikuwa pale chato akiwa frontline na vijana wa mzee
Jamaa anajua kujipenfekeza sana
Heee kumbe upo![emoji23][emoji23][emoji23]Malizia Basi umekatishia patamu,Mi nilijua genge la old CEO washakuteka, nikaona nikusengenye kidogo......
Patamu kama nini[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…