Dark days 17/03/20...

Lakini kwanini huyu paka they keep letting him apafanye hapa kama shamba la bibi? Why? Kwann?
Dodo angetoboa mungeiona shoo yake.
Sasa game limeanza rasmi. Huyu mseminari mtalipia haswaa...

I must be honest, nimekua na mapenzi sana na nchi yangu, nilikua nikimchukia sana bt. Sikuelewa vyema mfumo ulivyokua ukienda.
Ila nimejifunza. Katika zama za uongozi wa bt tumekula sana maisha. Tumekula mnoo. Nani abishe? Mulioingia leba hamkua mukibeba chochote. Everything for free.
Maisha yalikua matamu na free mtaani. Watu wanasema sijui zama za jiwe kulikua hakuna cha unanijua mm? It was a toral lie. Zama za jiwe hatukua na amani kbs. Matishio yalikua mengi sana. Mtu uko kwenye daladala unachangia mada za siasa watu wanashuka na wewe. Watu kwenye viroba etc. Why? Zama za bt hayakuwepo haya mambo. Jiwe alikua anawatumia wajinga na maskini kuwafanya waone kama wanasaidiwa. Yaan kama vile siyo kodi zao vile. Machukia sana hili jambo. Ndo maana wanazidi haribu mfumo wa elimu kuzalisha vilaza daily. Sasha naye anafanya anachojisikia tu. Why why why sasha? Dodo was the perfect guy. Cant wait for the comeback
 
Wakisha maliza kulana watasema!

Ninachoomba Mungu tuliyo jadiliana jana mnazi mmoja yatimie tu, tupate ahueni maana, ngoma ilishakua ngumu sana
Wewe unafikiri huo mgomo kkoo umekuuja tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana nilipoona Martin Mbwana. Sema Mbwana pia ni jina la baba yake. Kule kibosho baba yao alikua anaitwa Bwana ila wakakosea na kuita mbwana.
Nikuambie tu, haikua by accident. Everything is connected.

Heeh, i am over talking. Nisije binywa manyonyo. Leo nimekua free sana. Byeeeee
 
so why una mponda the late CEO .....
 
Mimi nilijiuliza why a week of dodo was the week of kariakoo!!?nikaandika somewhere wanna destabilize NINI!!?sikupata majibu ya kueleweka kabisa!

Let us wait!!
 
Duh kazi ipo nilijua tu ule mgono Kuna kitu behind the scene ingawa bado sinaujua vizuri.
Wacha episodes ziendelee
 
Story isipoendelea basi mcheza kareti alikua shambani kuandaa material ya juice pendwa ya azimuth 😂😂😂

Kula chuma hicho...
 
[emoji847] hivyo yatafanyiwa kazi kwa asilimia kubwa
 
Wanasema Dodo ni mwanzo Tu wale Wote waliofurahia kifo cha the late CEO wataendelea kuumia Kwa laana ya kumcheka kifo cha mtu.
 
2nd CEO wa kampuni alisema maji yamekorogeka na yamekorogeka kweli awamu hii. Sio kwa wananchi ni kwa wakubwa huko juu awamu hii.

BT simuungi mkono lakini amini draft zinasogezwa huko za fasta, kwa ajue kwa nini dodo,? Na kwa nini kwa haraka hivi? Na nani mshika remote?


Men down, Men down, zitakuja. Kama muasisi alikoswa mara kadhaa basi ujue kuna watu hawana majina nchini na wamejichanganya na wanaojulikana kisha wapanga mipango mikubwa kwa midogo. Hii michezo kwao kawaida kuondoana dhamira zao zimebaki kidogo sana.

Hizi kambi tatu Sasha, late ceo gang, bt gang halfu kuna pk gang

Tusubiri siye vibwengo tujione awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…