cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Dodo Kawa mbuzi wa kafara Sasa.Usiniponze wewe[emoji28]
Alikua wapi?
Just know embe dodo amefitiniwa. Plan angekuja kumiliki hiki kiwanja kwa upinzani. Kwahiyo ngogwe ni kivuli tu cha mbogamboga zetu. Sasa wameona kwann awe threat.. wakamzunguka. Huyu ni kwaajili ya kusafisha safisha. Mwamba alikua vzr. Kwahiyo wakafanya yao hilo kundi la watu kadhaaa... na sisi tunajiandaa kuwasindikiza wamfate dodo.
Dodo lived with phylosophy.
Dodo was a smart kid.
Kwanza kunyakuliwa na taasisi kama kanisa lilipata pigo, alikua awe padre mzuri sana[emoji28]
Waheshimu sana waseminary...
Wana kitu cha ziada.
Hapa its not even about BT. Ilikua kwaajili ya kusafisha.
Ukiachana na haya yote. Uligundua nini risala ya bt kwenye mazishi? Uliisoma body language yake na alivyoswitch chaap? Akatulia kimyaa baada ya hapo?
Kuna hekaheka sasa hivi huko KK SECURITY saa hizi hapalaliki.
Juu ya sasha sitaongelea kabisaa. Najipenda[emoji28][emoji28][emoji2088][emoji2088]
Ila mambo mengine magumu sisi raia wa kawaida tuendelee tu na life letu Kwa amani maana Kuna mengine sio mchezo huko ndani na mafukuto Yao.
Na huyu Queen Sasha kumbe ana yake eeeh mola amsaidie tu it's not easy wallah