Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Usiniponze wewe[emoji28]

Alikua wapi?

Just know embe dodo amefitiniwa. Plan angekuja kumiliki hiki kiwanja kwa upinzani. Kwahiyo ngogwe ni kivuli tu cha mbogamboga zetu. Sasa wameona kwann awe threat.. wakamzunguka. Huyu ni kwaajili ya kusafisha safisha. Mwamba alikua vzr. Kwahiyo wakafanya yao hilo kundi la watu kadhaaa... na sisi tunajiandaa kuwasindikiza wamfate dodo.

Dodo lived with phylosophy.
Dodo was a smart kid.
Kwanza kunyakuliwa na taasisi kama kanisa lilipata pigo, alikua awe padre mzuri sana[emoji28]
Waheshimu sana waseminary...
Wana kitu cha ziada.
Hapa its not even about BT. Ilikua kwaajili ya kusafisha.

Ukiachana na haya yote. Uligundua nini risala ya bt kwenye mazishi? Uliisoma body language yake na alivyoswitch chaap? Akatulia kimyaa baada ya hapo?
Kuna hekaheka sasa hivi huko KK SECURITY saa hizi hapalaliki.

Juu ya sasha sitaongelea kabisaa. Najipenda[emoji28][emoji28][emoji2088][emoji2088]
Dodo Kawa mbuzi wa kafara Sasa.
Ila mambo mengine magumu sisi raia wa kawaida tuendelee tu na life letu Kwa amani maana Kuna mengine sio mchezo huko ndani na mafukuto Yao.
Na huyu Queen Sasha kumbe ana yake eeeh mola amsaidie tu it's not easy wallah
 
Sasa wewe ndo umepatia..

Ulichoandika ni sahihi.
Sikua nimefuatilia. Japo abt wahusika sitoandika. Its true its never a natural death. Walisoma gap BT hayupo town wakamaliza faster.

Siwezi disclose saanaa ila tujiandae kwa matukio ya kutikisa. Ndani ya miezi 6 hii. Mutaniambia. Its scary. Vigogo wanne hivi achana na tabibu wa family ambaye ni namba 1 aliyeruhusu haya. Walijua marehemu ni threat kwao hiyo 2025.

By the way, nilikua nataka kuulizia tu weya iz sasha[emoji2088][emoji2088]
miss pablo je sasha==current ceo? Ila huo mtanange naanza kuuona sasa. Yaani unakuta mwanajamii anataka kuumaliza adui yake, ana anajua adui yake ni rafiki yako mkubwa, anatumia mbinu ana kugombanisha then anakuletea ushahidi kabisa wa mabaya ya rafiki yako na anakuletea pendekezo kuwa eliminate eliminate, wewe kama mkuu wa kampuni unasema eliminate threat, na unafanya hahahahahaha kumbe umetimiza mission, na ule upande unapagawa vinaanza visasi hahaha ila kwa sababu mwenye makali ni wewe kama current ceo unaamua kusigina kunguni wote baada ya hapo unamiliki kampuni vizuri kwa raha.
 
Dodo Kawa mbuzi wa kafara Sasa.
Ila mambo mengine magumu sisi raia wa kawaida tuendelee tu na life letu Kwa amani maana Kuna mengine sio mchezo huko ndani na mafukuto Yao.
Na huyu Queen Sasha kumbe ana yake eeeh mola amsaidie tu it's not easy wallah
Wala si kafara. Wao wamemsukuma makusudi kbs. Tabibu ndo ameruhusu mazingira hayo. Acha awajibishwe.

Sasha namhurumia sana. Tatizo hawajali tunavyolalamika. Its very hard for her. Ilitakiwa tupate huduma za afya bora, vyakula bei poa na gharama ndogo za maisha. Hawajali.
 
Ila yule tabibu hana tofauti na yule wa late ceo. Nilimshangaa sana kutumia vyombo kuanza kuongelea vitu binafsi vya ugonjwa wakati sheria haziruhusu kabisa. miss pablo code ya sasha ni current ceo?
 
Mimi napita tu na kusoma, hivi kule law school kati ya wanafunzi 700 na ngapi sijui wa sheria walifaulu wangapi vile?[emoji28]
 
Wala si kafara. Wao wamemsukuma makusudi kbs. Tabibu ndo ameruhusu mazingira hayo. Acha awajibishwe.

Sasha namhurumia sana. Tatizo hawajali tunavyolalamika. Its very hard for her. Ilitakiwa tupate huduma za afya bora, vyakula bei poa na gharama ndogo za maisha. Hawajali.
Ila dodo kaondoka kimasihara sihara na kiutani aisee, huyo Dr naye loh, nchi yetu hii Kuna wahuni wanaichezea ndio maana Kila jambo haliendi mbele
 
Ila yule tabibu hana tofauti na yule wa late ceo. Nilimshangaa sana kutumia vyombo kuanza kuongelea vitu binafsi vya ugonjwa wakati sheria haziruhusu kabisa. miss pablo code ya sasha ni current ceo?
Tabibu wa dodo hapa namsemelea.
Na hata wa CEO kwani unaona tena zile movements? Unajua kinachoendelea?

Haya madaraka haya hapana jamani. Anyways, ngoja hawa wenye tamaa wasafishwe. Acha wasafishwe sasa maana watu walitulia wamelazimisha draft lichezwe. Ngoja karata zichangwe. Utasikia tu yowe punde...

What a loss to loose dodo. Very sad. He was a very good leader maana huwa alikua msikivu. Yaan utendaji wake ulihusisha mawazo ya wengine. Kiujumla ni msikilizaji.
 
Ila dodo kaondoka kimasihara sihara na kiutani aisee, huyo Dr naye loh, nchi yetu hii Kuna wahuni wanaichezea ndio maana Kila jambo haliendi mbele
Hivi hospitali ya Zena na hapo ya balozi si pua na mdomo? Ikawaje akimbiziwe hapo na si ya taifa? Kwann asipelekwe hata kwa khan? Why hapo? Wanacheza game za kitoto.

Kuna mmama alikimbia dar halafu[emoji28][emoji28]

Watu hawataki kufanya yale ya msingi waliyoagizwa. Wanafanya tofauti. Sasa hivi wamejawa na hofu. Wacha usafi uje
 
Tabibu wa dodo hapa namsemelea.
Na hata wa CEO kwani unaona tena zile movements? Unajua kinachoendelea?

Haya madaraka haya hapana jamani. Anyways, ngoja hawa wenye tamaa wasafishwe. Acha wasafishwe sasa maana watu walitulia wamelazimisha draft lichezwe. Ngoja karata zichangwe. Utasikia tu yowe punde...

What a loss to loose dodo. Very sad. He was a very good leader maana huwa alikua msikivu. Yaan utendaji wake ulihusisha mawazo ya wengine. Kiujumla ni msikilizaji.
Sure hata mi dodo namlilia jamani. Unajua utofauti wake na leta CEO hauondoi uadilifu wake na umakini wake na uzalendo na kazi kubwa ya kutukuka aliyoifanyoa hii nchi. He was an asset jamani. Ila naanza kuona kumbe sasa nayeye tayari jamani jamani sasa wangu. Sema mi sasa nampenda kwa sababu anaruhusu watu wawe viongozi, na utawala wake sema unahitaji sana mifumo imara kwa sababu wabongo tu wezi mno ukiwa na ceo kama sasa
 
Hivi hospitali ya Zena na hapo ya balozi si pua na mdomo? Ikawaje akimbiziwe hapo na si ya taifa? Kwann asipelekwe hata kwa khan? Why hapo? Wanacheza game za kitoto.

Kuna mmama alikimbia dar halafu[emoji28][emoji28]

Watu hawataki kufanya yale ya msingi waliyoagizwa. Wanafanya tofauti. Sasa hivi wamejawa na hofu. Wacha usafi uje
Yaani achana na zen kuna ile ya mhimili ambayo kwa hakika angepona kabisa. Watanzania bado tunamlilia dodo.
 
Wala si kafara. Wao wamemsukuma makusudi kbs. Tabibu ndo ameruhusu mazingira hayo. Acha awajibishwe.

Sasha namhurumia sana. Tatizo hawajali tunavyolalamika. Its very hard for her. Ilitakiwa tupate huduma za afya bora, vyakula bei poa na gharama ndogo za maisha. Hawajali.
Endelea kujazia jazia nyama nimeanza kukuelewa
 
Hivi hospitali ya Zena na hapo ya balozi si pua na mdomo? Ikawaje akimbiziwe hapo na si ya taifa? Kwann asipelekwe hata kwa khan? Why hapo? Wanacheza game za kitoto.

Kuna mmama alikimbia dar halafu[emoji28][emoji28]

Watu hawataki kufanya yale ya msingi waliyoagizwa. Wanafanya tofauti. Sasa hivi wamejawa na hofu. Wacha usafi uje
Hafu nilisoma mahali kuwa dodo alitumiwa mrembo anaye muamini wa long time, na wakati tukio linatokea hakuwa nyumbani maana alikuwa analalaga different places, Sasa huyo beautiful onyinye ndio nadhani ndio alikuwa na hyo kitu chakumfanya apate changamoto ya kupumua na kuzidiwa sana ndio kuita Uber kumpeleka hyo hospital ka msamaria mwema, Sasa sijui ni kweli au umbeya tu ka umbeya mwingine
 
Huyo mama alikimbilia wapi? [emoji28][emoji28][emoji28] Watu wanaishi ka digidigi porini
 
Hafu nilisoma mahali kuwa dodo alitumiwa mrembo anaye muamini wa long time, na wakati tukio linatokea hakuwa nyumbani maana alikuwa analalaga different places, Sasa huyo beautiful onyinye ndio nadhani ndio alikuwa na hyo kitu chakumfanya apate changamoto ya kupumua na kuzidiwa sana ndio kuita Uber kumpeleka hyo hospital ka msamaria mwema, Sasa sijui ni kweli au umbeya tu ka umbeya mwingine
Aisee
 
Waliokula kichwa cha dodo ki nadharia wanaweza kuwa kama ifuatavyo:
1. Current CEO (sababu ni ile dhana dodo angekuja kuwa mgombea na hatimaye awe makamu wa rais na in 2027 year current CEO angeuawa na dodo kuwa rais na hapo baadaye angemuachia kijana wa BT)
2. BT kwa sababu ya kuropoka au kukosa mvuto ili BT aweke mtu mwingine (dhana hii ni dhaifu mno) au pia inawezekana BT kamuwahi labda dodo alitaka awe ndiyo bosi wa kambi (bado dhana dhaifu)
3. Deep shiteti (inawezekana baada ya tafuta tafuta yao nani alimuua late CEO na wakaja na conclusion master mind wa mchezo wote ni dodo hivyo ikaamriwa auawe na then wengine waliobaki nao wauawe wote ila waanze na bosi wa genge la mauaji ya late CEO). Hii dhana ina nguvu namba mbili ikifuatiwa na ile dhana na current CEO.
4. Natural death (chanjo ya korona maana ilisemekana walio chanja watakufa within two to five years). Inawezekana pia ikawa siyo chanjo. Hii ni dhana ya kwanza ikifuatiwa na deep shiteti na ya tatu ni current CEO na ya mwisho ni BT.

Yote na yote hakuna mwenye uhakika ni theory gani ya ukweli kwa sababu mazingira ya uadui waliyojitengenezea kambi ya BT ni magumu sana na ni dhahiri vifo kwenye kambi yao vitaendelea kwa sababu deep shiteti ya bongo hata BT mwenyewe haijui kabisa na hakuna anayeijua kwa 100%.
Mbona kwenye scanner tuna ona kuna arufu ya mdaiwa na haipo kwenye moja ya dhana zako, au dhana yake ipo mbali sana na haina mashiko

Au jamaa wametembelea nyota ya deni kulala nae mbele na kumuacha mdaiwa kua mshukiwa!!?
 
Deni hakuna kitu, ndiyo maana wenye akili tulisema aachane na hicho kitu maana hakuwa level ya kugombania hicho kiasi lakini pia huyo jamaa hakuwa na uwezo wa kulipa
 
Sasa ulitegemea kama hana uwezo wa kulipa, huku anashuhudia akifilisiwa na mwisho wa siku deni litakalo baki ataenda fidia gerezani tena kwakulipiwa msosi na mdeni wake, angefanyaje!!? Walio enda kuzuia watu wa mnada ni akina nani!!? Na kwasababu gani ilihali mahakama imesha toa hukumu!!!? Wao ni mahakama!!!? Niwakina nani hao wapo juu ya mahakama!!!? Ile kampuni imepitia misukosuko kadhaa kwa sababu ya kupata hiyo tender as if wao ndio walioomba hiyo tender
 
Dude dude ni dude, hakuna anayelijua wala kulimiliki. Dodo kwa hapo alijidahau. Lakini haiwezi kuwa sababu ya dodo kusafiri. Mi nachodhani ni kuwa tuhuma za zilikuwa kweli na dodo alionesha dharau kwa sababu waliovujisha audio akinmanga late ceo ndiyo hao hao walitoa info za uhaini wa dodo kwa mamlaka, badala ya yeye dodo kujua huu mchezo umeisha kwa sababu mhusika hayupo akakomaa. Ila hiyo sababu haiwezekani kabisa
 
Back
Top Bottom