ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Tatizo kubwa kabisa la late CEO ni kukosa elimu ya uongozi na biashara. Alipaswa kuusoma mchezo ili aendane nao.Kumbe mbona deep shiteti ilintema dodo,,,late CEO amefanya mengi mazuri sema akina bt walimnyima fursa za uchumi,,Ila Kama bt angempa connection za uchumi naamini late angekuA best CEO of all the time
Kampun yetu bado Ni changa Sana na Ina miaka 60's tu ya maisha yake,,,so amsha amsha za late CEO zilikua muhimu Sana ili kutuvusha salama
Sio wote wanasoma,,,sometimes n connections tu znatosha sanaTatizo kubwa kabisa la late CEO ni kukosa elimu ya uongozi na biashara. Alipaswa kuusoma mchezo ili aendane nao.
Kwenye kanuni za uongozi hivyo vitu vinajulikana. Mfano unaweza kuwa kiongozi na kuna subordinate mkorofi sana au kuna mtu ni muhimu ila ni mwizi sana so namna ya kudeal naye ni kuona namna ya kumtumia kuwezesha mambk yako. Soma mchezo kwa akina mungiki, toru kauweza mchezo kwa mzee ya kitendawiliSio wote wanasoma,,,sometimes n connections tu znatosha sana
Naam ni "chai" haswaaa!!! Kilichonishtua chai ipo kwenye kikombe cha bati Toka 28May2022 lakini bado haijapoa mpaka sasa, ya Moto vile vile!!hii sasa ni chai tena isiyo na sukari
Ipo Shughuli hapa characters mia mbili zinahitaji 25 minutes kuangaliwa kama zimeshiba kabla ya kuingia uwanjani! Sasa characters laki sita zitahitaji muda gani kukaguliwa kama zimeshiba kabla ya kuruhusiwa kuingia uwanjani??Fanya kipande commando tunakuhitaji hebu tutimizie ahad yako ya hata episode moja this weekend
waoooo bebez le' me hug yoo mamaa ....mwaaa umerudiHi guys!! [emoji102]
Woooooow 👏👏👏👏 you are mostly welcome miss yogaHi guys!! [emoji102]
So deep very deep to digest!Combination yenye influence kwenye nchi za kiafrika huwa ni former colonial masters, the USA, and the influential religious group. Sometimes nchi za kiafrika zinaweza kuwa na vipindi vya uhusiano wa karibu na Uchina, Urusi, na nchi za Uarabuni. Lakini uhusiano huu sio wa muda mrefu kama uhusiano wao na former colonial masters, the USA, and the influential religious group.
Kwa Tanzania, former colonial master ni UK. So UK (especially Labour Party na Fabian Society), wana influence. Wamarekani (zamani Democrats, na kwa sasa hivi Republicans pia) wana influence, na Vatican wana influence. Wajerumani wanajaribu kuwa na influence, lakini the Anglo-Vatican-USA group wanawa limit. Tatizo la Ujerumani sometimes ni uimla na ubaguzi. Tatizo la Anglo-Vatican-USA group ni kwamba sera zao zimeshindwa kuwainua watanzania walio wengi kutoka kwenye umasikini. Anglo-Vatican-USA group, nao pia sometimes kwenye anga zao wana uimla na ubaguzi.
Deputy CEO (au mtu wa aina yake) anaonekana ndie candidate wa the Anglo-Vatican-USA group. Deputy CEO ni mkatoliki, na kwenye familia yake kuna waanglikana (wanaopenda ukatoliki), alifanya kazi World Bank, na anajinasibu kuwa anapenda wanyonge. Mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda, huenda pia yanampenda deputy CEO. Waprotestanti wanaopenda ukatoliki huwa wanawaungaga mkono the Anglo-Vatican-USA group.
Washindani wa the Anglo-Vatican-USA group in Tanzania, ni makabila yenye madhehebu ya kijerumani, na yenye madhehebu ya kipentekoste, na waanglikana wasiopenda kuwa karibu na Vatican, na watu wenye siasa za mrengo wa kati au na mrengo wa kulia, na watu wa mrengo wa kushoto, wanao ona kwamba siasa za kutetea wanyonge haziwatetei vizuri ipasavyo.
Marais wote tuliowapata tangu uhuru (including marais waislamu) huwa wanakuwa ni watu wa the Anglo-Vatican-USA group. Tangu uhuru, Tanzania, haijawahi kuwa na rais mprotestanti. Kama ikija kutokea, basi kuna uwezekano mkubwa, rais huyo akawa na sera hizo hizo za kundi la Anglo-Vatican-USA.
Note that over the years wanasiasa wa Tanzania wa kambi ya the Anglo-Vatican-USA group, wame compromise (na kuamua kuimprove) sera zao, na wameanza kupenda elimu ya sekondari (walikuwa wanapenda elimu ya msingi na VETA), wameanza kuruhusu wafanyabiashara weusi wazawa, wamefanya some decentralisation.
Born Town yuko kwenye kundi moja na ceo mstaafu wa kampuni kubwa kabisa ya afrika magharibi ambae zamani alikuwa mwanajeshi, pamoja na ceo mtendaji wa zamani wa kampuni moja ya Ulaya, ambayo zamani ilitawala kampuni ya Born Town, pamoja na ceo wa zamani wa kampuni kubwa kabisa duniani (na team yake, na marafiki zake). Born Town kwa sasa anaonekana ndie agent mkuu wa Anglo-Vatican-USA kwenye kampuni yake.
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Yule alikuwa mshamba sana, kwanza alikuwa hashauriki, hata apate connection milioni anaweza aziharibu zote...Sio wote wanasoma,,,sometimes n connections tu znatosha sana
Muda wa mstaafu kustafishwa now.ChawaWaMama inawezekana kweli BT haijui Deep shiteti ya bongo?
Kwani yeye si sehemu ya hiyo deep shiteti?
Kuna kitu umekiacha. Ni chanzo cha utajiri wa Iran na mataifa mengine ya kiarabu.Combination yenye influence kwenye nchi za kiafrika huwa ni former colonial masters, the USA, and the influential religious group. Sometimes nchi za kiafrika zinaweza kuwa na vipindi vya uhusiano wa karibu na Uchina, Urusi, na nchi za Uarabuni. Lakini uhusiano huu sio wa muda mrefu kama uhusiano wao na former colonial masters, the USA, and the influential religious group.
Kwa Tanzania, former colonial master ni UK. So UK (especially Labour Party na Fabian Society), wana influence. Wamarekani (zamani Democrats, na kwa sasa hivi Republicans pia) wana influence, na Vatican wana influence. Wajerumani wanajaribu kuwa na influence, lakini the Anglo-Vatican-USA group wanawa limit. Tatizo la Ujerumani sometimes ni uimla na ubaguzi. Tatizo la Anglo-Vatican-USA group ni kwamba sera zao zimeshindwa kuwainua watanzania walio wengi kutoka kwenye umasikini. Anglo-Vatican-USA group, nao pia sometimes kwenye anga zao wana uimla na ubaguzi.
Deputy CEO (au mtu wa aina yake) anaonekana ndie candidate wa the Anglo-Vatican-USA group. Deputy CEO ni mkatoliki, na kwenye familia yake kuna waanglikana (wanaopenda ukatoliki), alifanya kazi World Bank, na anajinasibu kuwa anapenda wanyonge. Mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda, huenda pia yanampenda deputy CEO. Waprotestanti wanaopenda ukatoliki huwa wanawaungaga mkono the Anglo-Vatican-USA group.
Washindani wa the Anglo-Vatican-USA group in Tanzania, ni makabila yenye madhehebu ya kijerumani, na yenye madhehebu ya kipentekoste, na waanglikana wasiopenda kuwa karibu na Vatican, na watu wenye siasa za mrengo wa kati au na mrengo wa kulia, na watu wa mrengo wa kushoto, wanao ona kwamba siasa za kutetea wanyonge haziwatetei vizuri ipasavyo.
Marais wote tuliowapata tangu uhuru (including marais waislamu) huwa wanakuwa ni watu wa the Anglo-Vatican-USA group. Tangu uhuru, Tanzania, haijawahi kuwa na rais mprotestanti. Kama ikija kutokea, basi kuna uwezekano mkubwa, rais huyo akawa na sera hizo hizo za kundi la Anglo-Vatican-USA.
Note that over the years wanasiasa wa Tanzania wa kambi ya the Anglo-Vatican-USA group, wame compromise (na kuamua kuimprove) sera zao, na wameanza kupenda elimu ya sekondari (walikuwa wanapenda elimu ya msingi na VETA), wameanza kuruhusu wafanyabiashara weusi wazawa, wamefanya some decentralisation.
Born Town yuko kwenye kundi moja na ceo mstaafu wa kampuni kubwa kabisa ya afrika magharibi ambae zamani alikuwa mwanajeshi, pamoja na ceo mtendaji wa zamani wa kampuni moja ya Ulaya, ambayo zamani ilitawala kampuni ya Born Town, pamoja na ceo wa zamani wa kampuni kubwa kabisa duniani (na team yake, na marafiki zake). Born Town kwa sasa anaonekana ndie agent mkuu wa Anglo-Vatican-USA kwenye kampuni yake.
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Embe DODO. FUNGUA CODE YA EMBE utamjua dodo.Dodo ni nani?
Usirudi tena mpenzi. Pumzika tu tunamshukuru kwa mwanzo mzuri uzi tunaendelea nao vyema sana. Hekaya imeshika hatamu vizuri tu.Hi guys!! [emoji102]
Du mwenzio nliogopa nkajua umehama kituo, from earth to heaven or hellHi guys!! [emoji102]
Woyooooooooooo!!!! Karibuu dear.Hi guys!! [emoji102]
Namba 6; abundant natural resources.Kuna kitu umekiacha. Ni chanzo cha utajiri wa Iran na mataifa mengine ya kiarabu.