Combination yenye influence kwenye nchi za kiafrika huwa ni former colonial masters, the USA, and the influential religious group. Sometimes nchi za kiafrika zinaweza kuwa na vipindi vya uhusiano wa karibu na Uchina, Urusi, na nchi za Uarabuni. Lakini uhusiano huu sio wa muda mrefu kama uhusiano wao na former colonial masters, the USA, and the influential religious group.
Kwa Tanzania, former colonial master ni UK. So UK (especially Labour Party na Fabian Society), wana influence. Wamarekani (zamani Democrats, na kwa sasa hivi Republicans pia) wana influence, na Vatican wana influence. Wajerumani wanajaribu kuwa na influence, lakini the Anglo-Vatican-USA group wanawa limit. Tatizo la Ujerumani sometimes ni uimla na ubaguzi. Tatizo la Anglo-Vatican-USA group ni kwamba sera zao zimeshindwa kuwainua watanzania walio wengi kutoka kwenye umasikini. Anglo-Vatican-USA group, nao pia sometimes kwenye anga zao wana uimla na ubaguzi.
Deputy CEO (au mtu wa aina yake) anaonekana ndie candidate wa the Anglo-Vatican-USA group. Deputy CEO ni mkatoliki, na kwenye familia yake kuna waanglikana (wanaopenda ukatoliki), alifanya kazi World Bank, na anajinasibu kuwa anapenda wanyonge. Mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda, huenda pia yanampenda deputy CEO. Waprotestanti wanaopenda ukatoliki huwa wanawaungaga mkono the Anglo-Vatican-USA group.
Washindani wa the Anglo-Vatican-USA group in Tanzania, ni makabila yenye madhehebu ya kijerumani, na yenye madhehebu ya kipentekoste, na waanglikana wasiopenda kuwa karibu na Vatican, na watu wenye siasa za mrengo wa kati au na mrengo wa kulia, na watu wa mrengo wa kushoto, wanao ona kwamba siasa za kutetea wanyonge haziwatetei vizuri ipasavyo.
Marais wote tuliowapata tangu uhuru (including marais waislamu) huwa wanakuwa ni watu wa the Anglo-Vatican-USA group. Tangu uhuru, Tanzania, haijawahi kuwa na rais mprotestanti. Kama ikija kutokea, basi kuna uwezekano mkubwa, rais huyo akawa na sera hizo hizo za kundi la Anglo-Vatican-USA.
Note that over the years wanasiasa wa Tanzania wa kambi ya the Anglo-Vatican-USA group, wame compromise (na kuamua kuimprove) sera zao, na wameanza kupenda elimu ya sekondari (walikuwa wanapenda elimu ya msingi na VETA), wameanza kuruhusu wafanyabiashara weusi wazawa, wamefanya some decentralisation.
Born Town yuko kwenye kundi moja na ceo mstaafu wa kampuni kubwa kabisa ya afrika magharibi ambae zamani alikuwa mwanajeshi, pamoja na ceo mtendaji wa zamani wa kampuni moja ya Ulaya, ambayo zamani ilitawala kampuni ya Born Town, pamoja na ceo wa zamani wa kampuni kubwa kabisa duniani (na team yake, na marafiki zake). Born Town kwa sasa anaonekana ndie agent mkuu wa Anglo-Vatican-USA kwenye kampuni yake.
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.