Dark days 17/03/20...

Dip state ipo hadi kampuni ya jirani ya 254 tena hyo ya hapo 254 ndo mbaya zaidi yaani ni kikundi cha wahuni balaa wenye say sana

Ndo maana hata kalenjin boy baada ya kuutwaa U-CEO mbwembwe zote na ahadi zote kawa mpole sana anakimbizana na praying tu maana ashaenda yaona mafile ya siri hapo ofisini akaamua kuwa mpole

Kuwa CEO sio kazi rahisi kama huna kifua aisee huyu wetu wa kampuni sidhani kama huna hata analala kwa amani sometimes ma-ceo huwa wanajuta kwanini walipewa hizo position maana utakuta mafiles yanatisha balaa hapo bado kuna watu wanakushikilia remote daaah uceo nooo!!!!
 
Amekonda ghafla
 

Probably Yes huenda alikuwa master mind wake kwa asilimia kubwa. Hivyo kuziba nafasi ni ishu
 

Late CEO aliwahi kukiri kwa kinywa chake hadhari. “Kama ningelijua uCEO ni mgumu kiasi hiki, nisingeukubali”.

Wenyewe wanakutazama kwenye kampeni unavyojiongelesha. Ukikabidhiwa tu hivi. Unaletewe Credential files unapunguza mwendo kwanza.
Hicho kiti ni cha moto haswa
 
Kama hivyo; mbona hugombea tena!!?

Huna budi kukubaliana na matakwa yao. Vile vile hua tayari umeshazoa mazingira yote…!!! Hivyo wajionea kawaida.

Kuna utamu wake pia ukikubaliana tu ba mamlaka. Ukiona wanarudia tayari amepikwa ameiva, hana uwoga tena na amekubaliana na mamlaka. Ila ukweli miezi 3-6 ya mwanzo mambo huwa mazito. Kuna mambo hauwezi kukubaliana nayo kwanza kirahisi.

Kama mchinjaji mgeni, mara ya kwanza taabu zinazofuata nyepesi. Au mnyongaji.

Kama sijajibu ulivyotamani kujibiwa samahani.
 
Kama umekubaliana nao na umezoea, kwanini ujute?
 
Tatizo kubwa Tanzania ni wajinga kutoa maoni

Kila mtu anajua kila kitu
 
Hata siku ya kumzika late CEO, alifanya speech mbovu sana. Ni kama huwa akili inahama na kurudi vile.

Ila msibani kwa dodo alipotea zaidi. Anasimulia vitu kama siyo msomi.

Huko jumba jipya, aliendeleza utamaduni wake wa kumdis late CEO. Anapotakiwa aseme neno juu ya jambo lililofanywa na late, husimulia alichokifanya kuhusu jambo hilo. Ni udhaifu alionao.

Kuna siku ataanguka tena jukwaani.
 
Mzee ni aliwahi kuwa branch manager huko kusini, kwenye zao adimu mikoa mingine. Pia aliwahi kuwa nahodha wa chombo cha mabaka baka.
Mkuu achika, kapiteini.

Master Mind.
Asante sana kwa code ya kueleweka hata kwa sisi vilanza 🙏🙏🙏
 
Hakuna anayejutia kwa kuwa CEO, kama si hivyo wasingeng'ang'ania madaraka
 
TORU Kama mzee ghafla! Lkn mbona TORU ni alikaa sana mitaa ya nyumba nyeupe, inamaana hujawah hata kunusa chochote? Then kwenye kuomba uCEO alisema anaijua vyema system. But now kama haamini alichokua anadhani anakijua Kumbe sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…