Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekonda ghaflaDip state ipo hadi kampuni ya jirani ya 254 tena hyo ya hapo 254 ndo mbaya zaidi yaani ni kikundi cha wahuni balaa wenye say sana
Ndo maana hata kalenjin boy baada ya kuutwaa U-CEO mbwembwe zote na ahadi zote kawa mpole sana anakimbizana na praying tu maana ashaenda yaona mafile ya siri hapo ofisini akaamua kuwa mpole
Kuwa CEO sio kazi rahisi kama huna kifua aisee huyu wetu wa kampuni sidhani kama huna hata analala kwa amani sometimes ma-ceo huwa wanajuta kwanini walipewa hizo position maana utakuta mafiles yanatisha balaa hapo bado kuna watu wanakushikilia remote daaah uceo nooo!!!!
Kama hivyo; mbona hugombea tena!!?ma-ceo huwa wanajuta kwanini walipewa hizo position
Kwanza nikiri wazi mimi mwenyewe ni Fan wa BT nazikubali sana akili zake na jinsi anavyowahenyesha adui zake ila siku za hivi karibuni baada ya kifo cha Mai Dodo ni kama BT amekuwa dhaifu sana,saikolojia yake ni kama anapoteana hivi!
Nakasirika sana ninapoona role model wangu anapoteana,mfano hotuba yake ya leo pale jumba jipya haikupaswa kuwa vile!ilitakiwa amsifie late CEO mwanzo mwisho ili kuwapoteza maadui.
Mungu ibariki Tanzania,mpe maisha marefu BT.(emotions zinampagawisha,now he is too week, I'm afraid the man will fall this time)
Yaani hakika nilijisahau chief. Nimedelete kabisa. Naomba pia u delete. Nilienda kinyume na uzi
Dip state ipo hadi kampuni ya jirani ya 254 tena hyo ya hapo 254 ndo mbaya zaidi yaani ni kikundi cha wahuni balaa wenye say sana
Ndo maana hata kalenjin boy baada ya kuutwaa U-CEO mbwembwe zote na ahadi zote kawa mpole sana anakimbizana na praying tu maana ashaenda yaona mafile ya siri hapo ofisini akaamua kuwa mpole
Kuwa CEO sio kazi rahisi kama huna kifua aisee huyu wetu wa kampuni sidhani kama huna hata analala kwa amani sometimes ma-ceo huwa wanajuta kwanini walipewa hizo position maana utakuta mafiles yanatisha balaa hapo bado kuna watu wanakushikilia remote daaah uceo nooo!!!!
Kama hivyo; mbona hugombea tena!!?
Kama umekubaliana nao na umezoea, kwanini ujute?Huna budi kukubaliana na matakwa yao. Vile vile hua tayari umeshazoa mazingira yote…!!! Hivyo wajionea kawaida.
Kuna utamu wake pia ukikubaliana tu ba mamlaka. Ukiona wanarudia tayari amepikwa ameiva, hana uwoga tena na amekubaliana na mamlaka. Ila ukweli miezi 3-6 ya mwanzo mambo huwa mazito. Kuna mambo hauwezi kukubaliana nayo kwanza kirahisi.
Kama mchinjaji mgeni, mara ya kwanza taabu zinazofuata nyepesi. Au mnyongaji.
Kama sijajibu ulivyotamani kujibiwa samahani.
Tatizo kubwa Tanzania ni wajinga kutoa maoniKwanza nikiri wazi mimi mwenyewe ni Fan wa BT nazikubali sana akili zake na jinsi anavyowahenyesha adui zake ila siku za hivi karibuni baada ya kifo cha Mai Dodo ni kama BT amekuwa dhaifu sana,saikolojia yake ni kama anapoteana hivi!
Nakasirika sana ninapoona role model wangu anapoteana,mfano hotuba yake ya leo pale jumba jipya haikupaswa kuwa vile!ilitakiwa amsifie late CEO mwanzo mwisho ili kuwapoteza maadui.
Mungu ibariki Tanzania,mpe maisha marefu BT.(emotions zinampagawisha,now he is too week, I'm afraid the man will fall this time)
Hi! What a surprise!?? We really miss you[emoji847]Hi guys!! [emoji102]
Hata siku ya kumzika late CEO, alifanya speech mbovu sana. Ni kama huwa akili inahama na kurudi vile.Kwanza nikiri wazi mimi mwenyewe ni Fan wa BT nazikubali sana akili zake na jinsi anavyowahenyesha adui zake ila siku za hivi karibuni baada ya kifo cha Mai Dodo ni kama BT amekuwa dhaifu sana,saikolojia yake ni kama anapoteana hivi!
Nakasirika sana ninapoona role model wangu anapoteana,mfano hotuba yake ya leo pale jumba jipya haikupaswa kuwa vile!ilitakiwa amsifie late CEO mwanzo mwisho ili kuwapoteza maadui.
Mungu ibariki Tanzania,mpe maisha marefu BT.(emotions zinampagawisha,now he is too week, I'm afraid the man will fall this time)
Asante sana kwa code ya kueleweka hata kwa sisi vilanza 🙏🙏🙏Mzee ni aliwahi kuwa branch manager huko kusini, kwenye zao adimu mikoa mingine. Pia aliwahi kuwa nahodha wa chombo cha mabaka baka.
Mkuu achika, kapiteini.
Master Mind.
Tulia bhana mkuuMimi napita tu na kusoma, hivi kule law school kati ya wanafunzi 700 na ngapi sijui wa sheria walifaulu wangapi vile?[emoji28]
Ahaaaa ahaaaaa, hapo ni kuzidi kumwingiza mtu machakani.Code name yule mwanafunzi wa wa Yesu aliyemwambia yesu utuonyeshe baba
8 Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika.”
Bunge letu hahahaaaa daahhh kweli wabunge ni noma kila kona aiseee[emoji28][emoji28][emoji28] mbunge mtukufu nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano.
Wabunge tuko Kila corner wallah.
Karibu mjengoni mwa JF
Hakuna anayejutia kwa kuwa CEO, kama si hivyo wasingeng'ang'ania madarakaDip state ipo hadi kampuni ya jirani ya 254 tena hyo ya hapo 254 ndo mbaya zaidi yaani ni kikundi cha wahuni balaa wenye say sana
Ndo maana hata kalenjin boy baada ya kuutwaa U-CEO mbwembwe zote na ahadi zote kawa mpole sana anakimbizana na praying tu maana ashaenda yaona mafile ya siri hapo ofisini akaamua kuwa mpole
Kuwa CEO sio kazi rahisi kama huna kifua aisee huyu wetu wa kampuni sidhani kama huna hata analala kwa amani sometimes ma-ceo huwa wanajuta kwanini walipewa hizo position maana utakuta mafiles yanatisha balaa hapo bado kuna watu wanakushikilia remote daaah uceo nooo!!!!
Kwani huyu sio mzazi wa mwezi WA kwanza?Code name yule mwanafunzi wa wa Yesu aliyemwambia yesu utuonyeshe baba
8 Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika.”
TORU Kama mzee ghafla! Lkn mbona TORU ni alikaa sana mitaa ya nyumba nyeupe, inamaana hujawah hata kunusa chochote? Then kwenye kuomba uCEO alisema anaijua vyema system. But now kama haamini alichokua anadhani anakijua Kumbe sioDip state ipo hadi kampuni ya jirani ya 254 tena hyo ya hapo 254 ndo mbaya zaidi yaani ni kikundi cha wahuni balaa wenye say sana