Dark days 17/03/20...

Baada ya hapo ni maigizo tu

Kama wasemavyo moyo wa mtu kichaka, ndvyo na dip stet walivyo kwa kuwaacha kwanza ma CEO waruke ruke kwanza.
Kumbuka mwanzoni mwa uCEO wa BT na hata late CEO. Alitembelea taasis mbali mbali bila taarifa, kadiri muda ulivyosogea wakaanza kupunguza speed, hapo ujue dip stet imeingia kazini na speed governor imeanza kufungwa.
 
Hivi late ceo kaondoka ka naural death, ama kaondokewa na mtangulizi wake kama riwaya isemavyo ama dip siteti imemuondoa? Kama kweli late kaondóewa na mtangulizi wake, ina maana dip siteti hawana taarifa zote ndani ya nchi. Kama anazo je walitoa baraka kwa ilo? Kama walitoa je wanaridhika na mwenendo wa nchi?
 

Ukiusoma uzi wote majibu yako yapo humo mkuu.


BT kwa baraka za steti.
Simple tu
 
Katafute Speech ya late CEO mwanzooooni kabisa mwa uCEO wake, aliwahi kukiri kujutia kua CEO wa kampuni.
Alivyofikiri kabla hajawa na aliyoyakuta mambo tofauti kabisa/
Lakini alitaka kuongeza muda wakutawala
 
Katafute Speech ya late CEO mwanzooooni kabisa mwa uCEO wake, aliwahi kukiri kujutia kua CEO wa kampuni.
Alivyofikiri kabla hajawa na aliyoyakuta mambo tofauti kabisa/

Hiyo mbwa ilikuwa haijui hata inaongea nini, lilikuwa liropokaji tu
 

The monetary value of 55 trillion cubic feet of proven natural gas reserves is around 550 billion USD (depending on the existing natural gas market prices). Tanzania wana kiasi hichi cha gesi.

The monetary value of 100 trillion cubic feet of proven natural gas reserves is around 1 trillion USD. Msumbiji wana kiasi hichi cha gesi.

Ni vizuri, some of the natural gas (after being extracted and processed in the country) itumike nchini kwa shughuli mbali mbali, kama kuzalisha umeme, matumizi ya viwandani, na kupikia majumbani, mashuleni na mahotelini.
 
Dear yoga , Ni matumaini yangu uu mzima wa afya. Ninaandika katika uzi huu kwasababu binafsi kama msomaji wa hadithi hii sijapendezwa na tabia za watu wanaotaka kutuharibia hadithi hii, yani sasa wasomaji ndio wasimuliaji, na hapa najiuliza je hii ni hadhithi au simulizi ya kweli ? Na kama ni hadithi ambayo wewe ndio mtunzi, wasomaji wanawezaje kuwa na simulizi nyingi kuliko mtunzi.
Dear yoga , tunaomba ukemee vikali hawa wanao tuharibia hadithi yetu. 😀

Wako katika burudani,
A.D.M
 
Huu uzi utadumu sana , utadumu na mengi yaliyo simuliwa huku yatatokea .

Ili huu uzi udumu maoni michango na mijadala lazima iwepo, nadhani hata mleta mada anafurahi kuona mjadala huu unaendelea na una kuwa update kila siku.

Pia ni sehemu nya kujifunza mengi yaliyo nyuma ya pazia.

Pia kuna watu wanajua mengi ila hawana sehemu usahihi ya kusema kama kwenye uzi huu wenye code.

Hivyo wacha watu waendelee kusimulia, jua kila anapoishia mleta mada na sisi ndio tunaanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…