B51
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 582
- 798
Baada ya hapo ni maigizo tuKama umekubaliana nao na umezoea, kwanini ujute?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hapo ni maigizo tuKama umekubaliana nao na umezoea, kwanini ujute?
Lete uziHi guys!! [emoji102]
Kama umekubaliana nao na umezoea, kwanini ujute?
Asante sana kwa code ya kueleweka hata kwa sisi vilanza [emoji120][emoji120][emoji120]
Hakuna anayejutia kwa kuwa CEO, kama si hivyo wasingeng'ang'ania madaraka
Baada ya hapo ni maigizo tu
Hivi late ceo kaondoka ka naural death, ama kaondokewa na mtangulizi wake kama riwaya isemavyo ama dip siteti imemuondoa? Kama kweli late kaondóewa na mtangulizi wake, ina maana dip siteti hawana taarifa zote ndani ya nchi. Kama anazo je walitoa baraka kwa ilo? Kama walitoa je wanaridhika na mwenendo wa nchi?
Mmmmmh si kweli 😂😂😂Hata mimi kilaza vile vile najaribu kuamka amka.
Lakini alitaka kuongeza muda wakutawalaKatafute Speech ya late CEO mwanzooooni kabisa mwa uCEO wake, aliwahi kukiri kujutia kua CEO wa kampuni.
Alivyofikiri kabla hajawa na aliyoyakuta mambo tofauti kabisa/
No!Kwani huyu sio mzazi wa mwezi WA kwanza?
Katafute Speech ya late CEO mwanzooooni kabisa mwa uCEO wake, aliwahi kukiri kujutia kua CEO wa kampuni.
Alivyofikiri kabla hajawa na aliyoyakuta mambo tofauti kabisa/
Namba 6; abundant natural resources.
This includes wildlife, timber, minerals, natural gas (and may be oil) etc.
Tanzania ina 55 trillion cubic feet of natural gas. Mozambique ina 100 trillion cubic feet of natural gas.
Key players in Tanzania, ni Royal Dutch Shell (huenda royal families za UK, na Uholanzi wana hisa kiasi fulani humo), Statoil (sasa Equinor, hawa ni Norway, huenda royal family ya Norway wana hisa kiasi fulani humo), ExxonMobil (hawa ni wamarekani). Puma (formerly BP, hawa ni waingereza) wana influence kwenye kuimport na kudistribute petroleum. Total (sasa TotalEnergies, hawa ni wafaransa), wanajenga bomba la mafuta kutoka Uganda. Wana import na kudistribute mafuta. Royal Dutch Shell na Puma (formerly BP) wana influence kubwa kwenye sector ya mafuta na gesi ya Nigeria.
Royal Dutch Shell wali inunua British Gas (on 15/2/2016), kwa hiyo, vitalu vyote vya gesi vya British Gas, vilivyokuwa Tanzania, sasa hivi ni vya Royal Dutch Shell.
Wajerumani walikuwa wanaimezea mate hii gesi ya Tanzania. Sasa hivi sehemu kubwa sana ya gesi ya Tanzania, iko mikononi mwa waingereza. Sidhani kama wajerumani wana kitu, labda kupitia hisa ndogo kwenye hayo makampuni mengine huko nchi za magharibi.
Waingereza waliogopa white hair atawapa gesi wenyeji au na atawapa share kubwa ya gesi wajerumani kuliko waingereza.
Late CEO alikuwa agent wa Anglo-Vatican-USA. Ali hitilafiana nao mbele ya safari.
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo mbwa ilikuwa haijui hata inaongea nini, lilikuwa liropokaji tu
Mmmmmh si kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini alitaka kuongeza muda wakutawala
Hiyo mbwa ilikuwa haijui hata inaongea nini, lilikuwa liropokaji tu
Huu uzi utadumu sana , utadumu na mengi yaliyo simuliwa huku yatatokea .Dear yoga , Ni matumaini yangu uu mzima wa afya. Ninaandika katika uzi huu kwasababu binafsi kama msomaji wa hadithi hii sijapendezwa na tabia za watu wanaotaka kutuharibia hadithi hii, yani sasa wasomaji ndio wasimuliaji, na hapa najiuliza je hii ni hadhithi au simulizi ya kweli ? Na kama ni hadithi ambayo wewe ndio mtunzi, wasomaji wanawezaje kuwa na simulizi nyingi kuliko mtunzi.
Dear yoga , tunaomba ukemee vikali hawa wanao tuharibia hadithi yetu. 😀
Wako katika burudani,
A.D.M