Walikua wanamchora tu ,,,,now amekata body hatariiii,,Ila as day goes naona ana-recover means ashaanza kuizoea haliTORU Kama mzee ghafla! Lkn mbona TORU ni alikaa sana mitaa ya nyumba nyeupe, inamaana hujawah hata kunusa chochote? Then kwenye kuomba uCEO alisema anaijua vyema system. But now kama haamini alichokua anadhani anakijua Kumbe sio
Umetumia maneno yasiyomazuri nduguuuHiyo mbwa ilikuwa haijui hata inaongea nini, lilikuwa liropokaji tu
Ook.. Poa aliwah kuwa mkuu wa branch pale mahabani.No!
Kuna mdau hapo juu amesahihisha, ni kapteni g Habashi! Chukua hiko cheo achana na Habashi.
Usichojua ni kuwa YOGA pia ana comments na kuchangia hii simulizi kwa kutumia majina mengine. Kuna madini mengine mengi yameshushwa na wadau ambayo pengine YOGA asingeyajua au anayajua ila asingeyaweka direct, kuwa mpole....Dear yoga , Ni matumaini yangu uu mzima wa afya. Ninaandika katika uzi huu kwasababu binafsi kama msomaji wa hadithi hii sijapendezwa na tabia za watu wanaotaka kutuharibia hadithi hii, yani sasa wasomaji ndio wasimuliaji, na hapa najiuliza je hii ni hadhithi au simulizi ya kweli ? Na kama ni hadithi ambayo wewe ndio mtunzi, wasomaji wanawezaje kuwa na simulizi nyingi kuliko mtunzi.
Dear yoga , tunaomba ukemee vikali hawa wanao tuharibia hadithi yetu. 😀
Wako katika burudani,
A.D.M
LAKINI LATE CEO ALIJIPANGA KULA KEKI NA VILAZA AKINA DAB!AKAFUTA AJIRA,AKANYANYASA WATU NA MBAYA ZAIDU AKANYANG'ANYA PESA ZA MYUME MWINGIRA NA EFATHA BANK!Naam , kitu pekee alichojaliwa ni uvumilivu na tabasamu la aina yake, lakini ni mtu mwenye abc za kutosha kwenye hii state, mwanzo wake sio jana wala leo, kama alikua tayari kuwania uceo kati kati ya miaka ya 90 na aliwini kwa kiasi kikubwa dhidi ya ngome kubwa kipindi kile, aliwini dhidi ya teacher ambae ndio yake ilikua ndio na hapana yake ilikua hapana kweli. Itoshe kusema huyu mr sio wa kupika nae chungu kimoja, kosa kubwa late ceo haukuzingatia ukubwa wa huyu mtu, alidhani ukiisha kiwa chief executive officer basi hakuna yoyote juu yako wala kando yako anaweza sumbua, kumbe bwana alipo lala leo mwenzie aliamka jana, ni kusema kitanda ulicholala unajua kunguni wake!
So ilimpasa mr late akae darasani sana kabla ya kufanya aliyoyafanya mwisho wa siku imekua Garama kwake, familia na sisi sote.
Binafsi mpaka leo sijaweza kupona sawa sawa kutokuwepo kwa late ceo, pale ndio ilikua sehemu pekee ya kuvuka sisi kama campuni lakini huwenda ikatugharimu miaka hata 50 ijayo kurudi 2015-2021!
Jaman hebu nielimisheni jinsi BT alivyodeal na PK
Hivi miss pablo kama Yoga vile kwa sura nyingine au?Usichojua ni kuwa YOGA pia ana comments na kuchangia hii simulizi kwa kutumia majina mengine. Kuna madini mengine mengi yameshushwa na wadau ambayo pengine YOGA asingeyajua au anayajua ila asingeyaweka direct, kuwa mpole....
Kaingiza tena, awamu hii. Rejea kauli ya Charles Mwijage kufuatia mauaji ya katibu kata wa CCM katika moja ya kata za Muleba Kaskazini.Mkuu huyo pk kuna sehemu ya kampuni mpakani huko BKB, alishawahi kuingiza watu wake kwa nguvu kufanya kilimo huko(hili liliwahi andikiwa uzi humu kuhusu hili na wenyeji wa huko walitoa ushihuda).
Kuna vita kati yake na BT ikiwemo BT kulinda maslahi ya kampuni ambayo PK anaitaka ardhi hiyo kufanyia uwekezaji. Sasa BT kipindi cha utawala wake hawakukubaliana na hili. Iliwahi kusemwa humu JF, BT alimtumia jasusi PK mpaka jumba jeupe la PK pasipo kujulikana na hapo PK kwa BT, akaufyata.
Wewe uingiliwe mpaka chumbani kwako ambapo unaamini pana ulinzi mkali ila mwamba kampenyeza jasusi wake mpka kwako unnoticed.
Unaona enzi za late CEO, kulikuwa na fununu Pk kapenyeza watu wake hadi jumba jeupe? Yes ni harakati za late CEO kumbana BT kutumia msaada wa Pk maana alijuwa Pk hawapatani na BT, so aliongeza nguvu ili kumu eliminate BT. Ndio hivyo BT akawazidi kete akamuwahi.
Binafsi naamini kuna mahali wanaingiliana kimaslahi ndani ya kampuni kiasi cha Pk kufanya awezalo kumdondosha BT. Pk kwa BT anaujua mziki wake vizuuuuri ndio maana anajaribu kutumia ma CEO watakaoonesha kukinzana na BT.
Hivi ndivyo mambo yao yanavyo kwenda kati ya BT & PK, kwa uchache na taarifa tulizojikusanyia.
Mwijage alisemaje?Kaingiza tena, awamu hii. Rejea kauli ya Charles Mwijage kufuatia mauaji ya katibu kata wa CCM katika moja ya kata za Muleba Kaskazini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujambo lakini!?YOGAAA umechungulia afu umesepa nini shida kama ni hela bando bandugu zako tuko tayari .......
fanya uje tuvunje code mupya mupyaaa...[emoji3][emoji23][emoji16][emoji2]
Yoga, ume addict watu halafu umewatelekeza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujambo lakini!?
Yoga tumekumiss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujambo lakini!?
Lete uziWacha weee!! Mimi tena[emoji1787][emoji176]
Hiyo mbwa ilikuwa haijui hata inaongea nini, lilikuwa liropokaji tu
Wacha weee!! Mimi tena[emoji1787][emoji176]