NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Loving memories loading......!!?Wacha weee!! Mimi tena[emoji1787][emoji176]
Watu wako mbele ya mda, waiishi kesho2) kumbe Zile mambo za KIOO Zina ukweli [emoji102]
karibu mkuu YOGA twasubiri kuku choma kwa hamu ulilete hapa tuanze kuvunja mifupa aina ya CODE ....rete brand niuuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujambo lakini!?
Njama ilikuwa matata na Veronica wake!Kama Riwaya za Willy Gamba.Kikosi cha kisasi.
Duh Sasa kama code zinakuja namna hii tutatoboa kweli!?Mis u tooo dears, mnmbot tu mengiiii mpaka kuchoka
Wewe ndiyo. Hakuna siku sijachungulia humu.Wacha weee!! Mimi tena[emoji1787][emoji176]
Duh Sasa kama code zinakuja namna hii tutatoboa kweli!?
Veronika Amadu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njama ilikuwa matata na Veronica wake!
Naam, Ile "riwaya"/liwaya haikuwa ya Mchezo mchezo.Veronika Amadu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilisoma hiki kitabu 1990, baada ya hapo nimekisoma sana mwisho nikakinunua na ninacho ndani mara kadhaa nakirudia.Njama ilikuwa matata na Veronica wake!
Ingekuwa vyema kama ungetupa jina la uzi mkuuJamani mkasome Uzi wa @britanica kule jukwaa la siasa Kuna mengi mno.
We msearch britanicca mguse utaona post zakeIngekuwa vyema kama ungetupa jina la uzi mkuu
Mkuu kuongoza watu milioni 60 n.k sio mchezo kumbuka kuna watu tu familia zinawashinda. Sio mchezoLate CEO aliwahi kukiri kwa kinywa chake hadhari. “Kama ningelijua uCEO ni mgumu kiasi hiki, nisingeukubali”.
Wenyewe wanakutazama kwenye kampeni unavyojiongelesha. Ukikabidhiwa tu hivi. Unaletewe Credential files unapunguza mwendo kwanza.
Hicho kiti ni cha moto haswa
Na ameisha huyo mkalenjini amekuwa mweusi balaa utafikiri anatumia arvAmekonda ghafla
Uceo sio issue kabisa mzee amekonda mpaka hurumaDip state ipo hadi kampuni ya jirani ya 254 tena hyo ya hapo 254 ndo mbaya zaidi yaani ni kikundi cha wahuni balaa wenye say sana
Ndo maana hata kalenjin boy baada ya kuutwaa U-CEO mbwembwe zote na ahadi zote kawa mpole sana anakimbizana na praying tu maana ashaenda yaona mafile ya siri hapo ofisini akaamua kuwa mpole
Kuwa CEO sio kazi rahisi kama huna kifua aisee huyu wetu wa kampuni sidhani kama huna hata analala kwa amani sometimes ma-ceo huwa wanajuta kwanini walipewa hizo position maana utakuta mafiles yanatisha balaa hapo bado kuna watu wanakushikilia remote daaah uceo nooo!!!!
Mkuu kuongoza watu milioni 60 n.k sio mchezo kumbuka kuna watu tu familia zinawashinda. Sio mchezo
We msearch britanicca mguse utaona post zake
lete hiyo contents basi tuka search huko kwa britanicca maana ukimtag anakuja na nyuzi nyingi sasa sijui ni ipi ....hapo unayosemea ...We msearch britanicca mguse utaona post zake