Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujambo lakini!?
karibu mkuu YOGA twasubiri kuku choma kwa hamu ulilete hapa tuanze kuvunja mifupa aina ya CODE ....rete brand niuuu...
 
[emoji85]
20220901_151432.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Veronika Amadu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naam, Ile "riwaya"/liwaya haikuwa ya Mchezo mchezo.
===
Wizara ya Utamadu, Sanaa na Michezo, ingetoa fungu la kuandaa filamu za kutumia vitabu vya Akina Musiba(siyo huyu anayedaiwa fidia) na akina Ben Mtobwa kwa kutumia Hata watengeneze filamu maarufu Duniani, wakiwatumia na baadhi ya wasanii wetu wa ndani.

Hii ingeonyesha ni namna gani tunathamini wasanii, na waandishi wetu wa Sanaa na tuna dumisha Sanaa hizi na kuitangaza Tanzania kwa upana zaidi Duniani.

Kuna furusa nyingi, ni namna gani unaiangalia Hali kama furusa. Mimi nimeiona hii.
 
Late CEO aliwahi kukiri kwa kinywa chake hadhari. “Kama ningelijua uCEO ni mgumu kiasi hiki, nisingeukubali”.

Wenyewe wanakutazama kwenye kampeni unavyojiongelesha. Ukikabidhiwa tu hivi. Unaletewe Credential files unapunguza mwendo kwanza.
Hicho kiti ni cha moto haswa
Mkuu kuongoza watu milioni 60 n.k sio mchezo kumbuka kuna watu tu familia zinawashinda. Sio mchezo
 
Dip state ipo hadi kampuni ya jirani ya 254 tena hyo ya hapo 254 ndo mbaya zaidi yaani ni kikundi cha wahuni balaa wenye say sana

Ndo maana hata kalenjin boy baada ya kuutwaa U-CEO mbwembwe zote na ahadi zote kawa mpole sana anakimbizana na praying tu maana ashaenda yaona mafile ya siri hapo ofisini akaamua kuwa mpole

Kuwa CEO sio kazi rahisi kama huna kifua aisee huyu wetu wa kampuni sidhani kama huna hata analala kwa amani sometimes ma-ceo huwa wanajuta kwanini walipewa hizo position maana utakuta mafiles yanatisha balaa hapo bado kuna watu wanakushikilia remote daaah uceo nooo!!!!
Uceo sio issue kabisa mzee amekonda mpaka huruma
 
Mkuu kuongoza watu milioni 60 n.k sio mchezo kumbuka kuna watu tu familia zinawashinda. Sio mchezo

Ukikubaliana na dip steti ni rahisi. Wewe toka umekuwa si unaona wengi umewakuta na mpaka leo wapo kwenye kampuni na vyeo vingi tu…!!! Huoni hata vijana wakipewa nafasi hawabanduki.

Ishu ni kwenda kinyume nao (dip steti na dip stet ndani ya dip stet), hali huwa ngumu. Ukikubaliana nao wanakusaidia sana kuwaongoza hao 60m
 
Back
Top Bottom