Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Na hii ndo Ishara kamili ya Yesu kurudi Duniani. Upo sahihi kabisa tushuhudie hiyo Miaka kuona uwepo wa Yesu.According to Hebrew callender tayari tumekwisha uingia 2024.
Mwaka 2023 ilikuwa nusu shari, bt 2024/2025 ni shari kamili.
Msiotaka kutubu kubadilika na kuacha DHAMBI, mnaodhukumu HAKI za raia maskini na kuwatwisha MIZIGO mizito na shuluba tele,
KAZI mnayo!!
Au unasemane Nabii
#JesusComingSoon