Dark days 17/03/20...

Na hii ndo Ishara kamili ya Yesu kurudi Duniani. Upo sahihi kabisa tushuhudie hiyo Miaka kuona uwepo wa Yesu.
Au unasemane Nabii

#JesusComingSoon
 
Na hii ndo Ishara kamili ya Yesu kurudi Duniani. Upo sahihi kabisa tushuhudie hiyo Miaka kuona uwepo wa Yesu.
Au unasemane Nabii

#JesusComingSoon
Kurudi Kwa Yesu mara ya pili ni Kwa HUKUMU, hiyo Bado,

UNYAKUO wa WATAKATIFU ndo utatangulia, ndo maana ametuma watumishi wengi kulikusanya Kanisa Ili waishi maisha ya Utakatifu Ili wasijeachwa saa ikifika.
 
Laki moja na arobaini na nne Elfu,

Na hesabu hiyo ni coded, Si ya kibinadamu.
Io sio coded chini imetoa hesabu kwa kila kabila na idadi ya watakao okolewa
Namba ambazo ni coded ni aiku moja kwa Mungu ndo miaka elfu hakuna kingine.
Izo saba ni saba, moja ni moja, mihuri saba ni saba ngurumo saba ni saba.
Malaika saba ni saba.
Kama usingekuwa na idadi ingeelezea kama ilivyoelezea idadi ya sisi watu ambao sio wa mataifa mistari iliofuata
 
12*12 Elfu, ni hesabu ya Mbinguni, ni Siri juu ya idadi wataoingia.

Kama ilivyo Siri, huwezi kujua idadi ya WATAKATIFU waliookoka waliopo duniani,

Shetani na majeshi yake wangefanikiwa kuijua idadi kamili ya WATAKATIFU waliookoka waishio duniani, wangepata pa kuanzia, lakini wamepigwa chenga.
 
Usibishe,

Hesabu za kiroho, haziwi solved kibinadamu.
 
Kwaiyo Unyakuo wa watakatifu ndo umekaribia.
Zamani sana
Na dunia haina habari.
Makanisa na yenyewe yapobize na mamb ya kidunia atapokuja watakuwa wamelala na hawana mafuta
Na atanyakua watu wakati huo ibada za kuserebuka zinaendelea kama kawaida makanisani.
Kama maria alivyozani yupo na yesu kumbe alimuacha hekaluni ndo makanisa yatavyodhani yapo na yesu kumbe kitaambo walimtupa nje ya kanisa anagonga hodi
 
Kuna andiko nimelipandisha hapa Jamiiforum linasema hizo Nyakati ninge quote hapa lakin sjui namna ya ku-quote unaweza kunielekeza
 
Mm mwenyewe sielewi ila maandiko yapo mengi yanayoelezea kulala kwa kanisa na kuja kwa kristo ambayo mapadri, maaskofu, mitumw na manabii wanaojiita hawawezi kuyaongelea miaka na miaka makanisan mwao
Kuna andiko nimelipandisha hapa Jamiiforum linasema hizo Nyakati ninge quote hapa lakin sjui namna ya ku-quote unaweza kunielekeza
 
Kuna andiko nimelipandisha hapa Jamiiforum linasema hizo Nyakati ninge quote hapa lakin sjui namna ya ku-quote unaweza kunielekeza
Mathayo 24:21-27
[21]Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.

[22]Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.

[23]Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

[24]Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

[25]Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.
Wherefore if they shall say unto you,
[27]Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

Namengine mengiiii
 
Inabidi tukifa saut ya kujakwake itakapolia tuisikie.
Ata paulo amelala anaamini hvyo.
Hataivyo hatufi tunalala kuisubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…