Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Wasingeweza kufanya hivyo mkuu!!

Halafu kurudi kwa former Branch manager nadhani ni mpangokazi wa state sio wao na kama wamekubali ni matakwa ya state iwe hivyo bila hata wo kujua wamelenga nini!!?
Sawa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI pia asante na vipi mpango kazi wa state kwa kumleta Branch manager ni upi hasa?
 
Maandalizi ya kumsafishia njia FDR!

FDR atakaposhika lazima wahuni wawe pembeni Ili washughulikiwe ipasavyo!

Branch manager anakuja kukamilisha JAL 2 and 3 ndio maana anasema wastaafu wasiwashwe watulie,yaani wakisha fanikisha JAL 2 ambaye ndio mshauri mkuu wa JAL 3,JAL 3 atakosa usaidizi hivyo kuondolewa kirahisi pale!

Sasa ndipo FDR ashike!!na FDR inaonekana atafanya kazi na team late CEO na team old CEO pamoja na team new CEO zitasambaratika!!

Branch manager ni game changer!!hadi December picha itaonekana!!
 
Bro nyumbua kidogo code ya FDR

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
FDR ndo nanii? fungua code mkuu

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
FDR-Franklin Delano Roosevelt na utawala wa miaka 12 ndani ya Tanzania,ilitokea marekani itatokea na huku!

Uzi wa( Tumia akili ) ni member humu jf!tafuta Uzi wake!!
FDR ndo nanii? fungua code mkuu

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
L
 
Maandalizi ya kumsafishia njia FDR!

FDR atakaposhika lazima wahuni wawe pembeni Ili washughulikiwe ipasavyo!

Branch manager anakuja kukamilisha JAL 2 and 3 ndio maana anasema wastaafu wasiwashwe watulie,yaani wakisha fanikisha JAL 2 ambaye ndio mshauri mkuu wa JAL 3,JAL 3 atakosa usaidizi hivyo kuondolewa kirahisi pale!

Sasa ndipo FDR ashike!!na FDR inaonekana atafanya kazi na team late CEO na team old CEO pamoja na team new CEO zitasambaratika!!

Branch manager ni game changer!!hadi December picha itaonekana!!
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Duuuuuh, Draft inachenzwa na kete zina sukumwa.
Kuhusu FDR naona majina ni mengi hadi sielewi, mara Yule wa 1. machweo ya jua Mpango mzima.
2. Mlawi.
3. Mara yule wa visiwa vya mawio ya jua.
4. Mara yule Jua Nahodha.
Je FDR hasa ni yupi?
Maana miluz ni mingi mno.
Kuhusu wastaafu wasiwashwe Branch Manager hajamkusudia kweli Jaji Mstaafu na bibi wa shekeli za mboga au kakusudia wastaafu wapi?
JAL 2 ni kina kirefu mkondo wa Nungwi, Freemason la grande ya juu, utakiona lipo na akina Bill Gate, Tony Blair, akina Obasanjo watu wa karibu na yeye, mbuyu huu nani wa kuung'oa ?
Kigogo 2014 ameanza kutumiwa dhidi ya Branch Manager kuwa anawindwa na kundi fulani la watu ili kumwangamiza, je ni propaganda za kumtia hofu na kumfanya asimwamini yeyote wa karibu yake au ni ukweli uliopo?
Je state wamemhakikishia ulinzi Branch Manager?
🙏🙏🙏🙏
 
Dah aisee mkuu umeiweka vizuri sana nimeipenda kama vipi tuipigie kura...
Dark Days Fate: The last Empress Of Gotham March 19th 2021
Au
The Last Empress of Gotham: Dark Days Fate March 19th 2021

NB: Gotham ni Imaginary Country or City haipo yaani ya Kufikurika

CC: yoga
Kama neno Gotham linahitajika basi inaweza kuwa "Dark Days: Fate of the Gotham Last Empress March 19 2021" au
Dark Days: The Fate of the Last Empress" inaweza kutosha title isiwe na mambo mengi mtu aingie ndani ya story kupata hayo mambo mengi
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Duuuuuh, Draft inachenzwa na kete zina sukumwa.
Kuhusu FDR naona majina ni mengi hadi sielewi, mara Yule wa 1. machweo ya jua Mpango mzima.
2. Mlawi.
3. Mara yule wa visiwa vya mawio ya jua.
4. Mara yule Jua Nahodha.
Je FDR hasa ni yupi?
Maana miluz ni mingi mno.
Kuhusu wastaafu wasiwashwe Branch Manager hajamkusudia kweli Jaji Mstaafu na bibi wa shekeli za mboga au kakusudia wastaafu wapi?
JAL 2 ni kina kirefu mkondo wa Nungwi, Freemason la grande ya juu, utakiona lipo na akina Bill Gate, Tony Blair, akina Obasanjo watu wa karibu na yeye, mbuyu huu nani wa kuung'oa ?
Kigogo 2014 ameanza kutumiwa dhidi ya Branch Manager kuwa anawindwa na kundi fulani la watu ili kumwangamiza, je ni propaganda za kumtia hofu na kumfanya asimwamini yeyote wa karibu yake au ni ukweli uliopo?
Je state wamemhakikishia ulinzi Branch Manager?
🙏🙏🙏🙏
Mkuu

Kuhusu FDR nadhani state Ina mtu wao alieandaliwa kati ya hao uliowataja,lakini sasa ishu ya mlawi nadhani ni matokeo ya mnyukano kati ya imani mbili kubwa ndio zitamuibua protestant huyo mlawi!

Kuhusu JAL2 kuwa member wa wajenzi sio kigezo Cha kutokwenda huko! unafikiri wnapewa hizo nafasi kwa Bahati mbaya!?wanapewa kwa mikataba fulani kwamba wakishamaliza kazi lazima waende Kule kutumika na Kule wanaenda muda ukifika,!

Kumbuka samurai anasema hao wajenzi na huko akhera ni sehem ya d.state,sasa what if hao jamaa wamecalculate muda wa JL 2 na kujua umefika !!?muda wa kwenda kule!

Na mara nyingi muda wao ukifika Huwa wanaondoka kimasikhara sana kama yule msanii wa filamu alivoondoka !!

What if kipipa,Mzee wa sawasawa,hata niguse ninuke kuwa muda wakwenda kutumika deep ulifika ndio maana Wakaenda tumika!!?

Mi nadhani hizi calculation za DS zinahusu pia na ule ulimwengu wa huko wanaoenda kutumika baada ya kupewa taji huku!!!

Kuhusu Branch manager angeshawekwa ndani zamani sana kama sio ulinzi wa DS!

Unakumbuka yule Musiba jinsi niguse ninuke alivoshauriwa akashupaza shingo!!?

Wale walikua wanatumikia mfumo katika zama za late CEO hao ni untouchables!!

ACHA IBAKI STORI TUCHANGIE UCHUMI WA MBS
 
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Duuuuuh mazito sana, wacha niseme asante kwa majibu yako.
 
S
Three weeks to gooo!!!

Title: The last empress 19/03/2021

LET ............THE.........STORY........... BEGIN.........[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Naomba kuuliza kuhusu Kule kisiwani,

1. Hivi bajeti yao kwa mwaka ni kiasi gani?
2. Makusanyo yao kwa mwaka ni kiasi gani?
3. Mgao wao wa muungano kwa mwaka ni kiasi gani?
Maana yanayofanyika hivi sasa kisiwani unajiuliza hizi ni hela za makusanyo yao ya kodi, mgao wa muungano na mikopo kutoka kwa wahisani pekee au kuna hela nyingine wabara tunapigwa na Mkojani fc?
1. Barabara za ndani ndani mitaani asilimia kubwa za Unguja zimewekewa lami,
2. Barabara ya Mnazi mmoja hadi Airport imefumuliwa na kujengwa upya,
3. Barabara ya Mtoni - Darajabovu hadi airport nayo hivyo hivyo imefumuliwa na inajengwa upya.
4. Fryover Kwerekwe na Amaan,
5. Uwanja wa mpira wa Abeid Karume umepanuliwa ili uwe mkubwa na wa kufunika.
6. Soko la kwerekwe limepigwa chini linasimamishwa jingine,
7. Soko la Mombasa nalo hivyo hivyo jipya linajengwa.
8. Soko la chuini la kimataifa lenye supermarket na yard za magari linajengwa.
9. Soko la Jumbi la kimataifa litakalokuwa na kumbi za mikutano nalo hivyo hivyo linajengwa.
10 Mkwajuni nako soko jipya.
11. Bandari mpya ya boat za abiria kujengwa Kizimkazi.
12. Bandari mpya ya meli za mizigo inajengwa Mangapwani.
13. Chuo cha kimataifa maeneo ya Fuoni kunajengwa.
Bado huko Pemba na miradi mingine chungu zima inayoendelea kufanyika.
✍🏿 Ni muda mfupi sana yaani huu ni mwaka tatu tangu jamaa akae madarakani haya yote yote anayoyafanya, wakati mambo haya yakikamilika hata Amaan Karume na Shein waliokaa miaka 10 madarakani hamfikii huyu kwa wingi wa miundombinu anayoifanya.
✍🏿 Mkojani Fc aliwahi kujidai kusema kwa wateule wake pasipo kuwakemea wala kuchukua hatua za " kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake, mna kula sana na kuvimbewa"
Je amewaacha wateule wake wa bara wale wawezavyo ili yeye awe anachepusha hela zetu za bara kwenda kisiwani pasipo kuhojiwa na wateule kwa sababu na wao si wasafi?
✍🏿 Kama si hivyo mdogo wake kisiwani anatoa wapi hela zote hizo za miradi mikubwa mikubwa hivyo?
Bara utasikia miradi inaenda slow slow lkn Kisiwani miradi inaenda kwa kasi ya 5G
Pascal Mayalla, TumainiEl
 
Watakujibu

Kifupi ni zamu.yao!

Na zamu wameipata kwa msemo uitwao mapenzi ya Mungu!!

Je kama mikopo yote ilikua wanaigawa nusu kwa nusu who knows!!?

Yote KHERI !ngoja tuone hatma!
 
Maana yanayofanyika hivi sasa kisiwani unajiuliza hizi ni hela za makusanyo yao ya kodi, mgao wa muungano na mikopo kutoka kwa wahisani pekee au kuna hela nyingine
✍🏿 Kama si hivyo mdogo wake kisiwani anatoa wapi hela zote hizo za miradi mikubwa mikubwa hivyo?
Bara utasikia miradi inaenda slow slow lkn Kisiwani miradi inaenda kwa kasi ya 5G
Pascal Mayalla, TumainiEl
Mgao wa Zanzibar ni 4.5% ya pato la taifa. Kwa muda mrefu sana wamekuwa hawapewi sasa wanapewa.
P
 
D
Watakujibu

Kifupi ni zamu.yao!

Na zamu wameipata kwa msemo uitwao mapenzi ya Mungu!!

Je kama mikopo yote ilikua wanaigawa nusu kwa nusu who knows!!?

Yote KHERI !ngoja tuone hatma!
Daaaaah, Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi Senior, BWM na JK Junior sidhani kama walikuwa na kupendelea kwao,
Kwa nini awamu ya 5 na 6 wana ubinafsi sana wa kupendelea kwao?
Je kwenye katiba hamna kipengele cha kuwazuia viongozi kufanya upendeleo wa maendeleo kwao?
Kama taifa hali hii itaenda hadi lini upendeleo wa maendeleo?
Yule alipeleka kiwanja cha ndege kwao, huyu anapeleka Bandari kwao na mengine mengi.
 
Back
Top Bottom