Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Sawa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI pia asante na vipi mpango kazi wa state kwa kumleta Branch manager ni upi hasa?Wasingeweza kufanya hivyo mkuu!!
Halafu kurudi kwa former Branch manager nadhani ni mpangokazi wa state sio wao na kama wamekubali ni matakwa ya state iwe hivyo bila hata wo kujua wamelenga nini!!?
Tuleteee jamboz tusomeeee,Three weeks to gooo!!!
Title: The last empress 19/03/2021
LET ............THE.........STORY........... BEGIN.........[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Jamani mnatuchanganyaa khaaa.Wasingeweza kufanya hivyo mkuu!!
Halafu kurudi kwa former Branch manager nadhani ni mpangokazi wa state sio wao na kama wamekubali ni matakwa ya state iwe hivyo bila hata wo kujua wamelenga nini!!?
Mh, mbona title inatisha sana! Ina maana sum.....imeanza kummaliza taratibu na hataweza tena kupona??????Watu wana roho mbaya sana hasa kwenye madaraka!Title: The last empress 19/03/2021
Sidhani, kwa sababu kama chupa ya "old wine" bado imejaa, ujue "wine" ipo "fine"...matakwa ya state iwe hivyo bila hata wo kujua wamelenga nini!!?
Maandalizi ya kumsafishia njia FDR!Sawa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI pia asante na vipi mpango kazi wa state kwa kumleta Branch manager ni upi hasa?
Bro nyumbua kidogo code ya FDRMaandalizi ya kumsafishia njia FDR!
FDR atakaposhika lazima wahuni wawe pembeni Ili washughulikiwe ipasavyo!
Branch manager anakuja kukamilisha JAL 2 and 3 ndio maana anasema wastaafu wasiwashwe watulie,yaani wakisha fanikisha JAL 2 ambaye ndio mshauri mkuu wa JAL 3,JAL 3 atakosa usaidizi hivyo kuondolewa kirahisi pale!
Sasa ndipo FDR ashike!!na FDR inaonekana atafanya kazi na team late CEO na team old CEO pamoja na team new CEO zitasambaratika!!
Branch manager ni game changer!!hadi December picha itaonekana!!
FDR ndo nanii? fungua code mkuuMaandalizi ya kumsafishia njia FDR!
FDR atakaposhika lazima wahuni wawe pembeni Ili washughulikiwe ipasavyo!
Branch manager anakuja kukamilisha JAL 2 and 3 ndio maana anasema wastaafu wasiwashwe watulie,yaani wakisha fanikisha JAL 2 ambaye ndio mshauri mkuu wa JAL 3,JAL 3 atakosa usaidizi hivyo kuondolewa kirahisi pale!
Sasa ndipo FDR ashike!!na FDR inaonekana atafanya kazi na team late CEO na team old CEO pamoja na team new CEO zitasambaratika!!
Branch manager ni game changer!!hadi December picha itaonekana!!
FDR-Franklin Delano Roosevelt na utawala wa miaka 12 ndani ya Tanzania,ilitokea marekani itatokea na huku!
L
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Duuuuuh, Draft inachenzwa na kete zina sukumwa.Maandalizi ya kumsafishia njia FDR!
FDR atakaposhika lazima wahuni wawe pembeni Ili washughulikiwe ipasavyo!
Branch manager anakuja kukamilisha JAL 2 and 3 ndio maana anasema wastaafu wasiwashwe watulie,yaani wakisha fanikisha JAL 2 ambaye ndio mshauri mkuu wa JAL 3,JAL 3 atakosa usaidizi hivyo kuondolewa kirahisi pale!
Sasa ndipo FDR ashike!!na FDR inaonekana atafanya kazi na team late CEO na team old CEO pamoja na team new CEO zitasambaratika!!
Branch manager ni game changer!!hadi December picha itaonekana!!
Ushering the new era of regime under a new boss of the company after tragic demise of the old boss.Three weeks to gooo!!!
Title: The last empress 19/03/2021
LET ............THE.........STORY........... BEGIN.........[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kama neno Gotham linahitajika basi inaweza kuwa "Dark Days: Fate of the Gotham Last Empress March 19 2021" auDah aisee mkuu umeiweka vizuri sana nimeipenda kama vipi tuipigie kura...
Dark Days Fate: The last Empress Of Gotham March 19th 2021
Au
The Last Empress of Gotham: Dark Days Fate March 19th 2021
NB: Gotham ni Imaginary Country or City haipo yaani ya Kufikurika
CC: yoga
MkuuNAMBA MOJA AJAYE NCHINI Duuuuuh, Draft inachenzwa na kete zina sukumwa.
Kuhusu FDR naona majina ni mengi hadi sielewi, mara Yule wa 1. machweo ya jua Mpango mzima.
2. Mlawi.
3. Mara yule wa visiwa vya mawio ya jua.
4. Mara yule Jua Nahodha.
Je FDR hasa ni yupi?
Maana miluz ni mingi mno.
Kuhusu wastaafu wasiwashwe Branch Manager hajamkusudia kweli Jaji Mstaafu na bibi wa shekeli za mboga au kakusudia wastaafu wapi?
JAL 2 ni kina kirefu mkondo wa Nungwi, Freemason la grande ya juu, utakiona lipo na akina Bill Gate, Tony Blair, akina Obasanjo watu wa karibu na yeye, mbuyu huu nani wa kuung'oa ?
Kigogo 2014 ameanza kutumiwa dhidi ya Branch Manager kuwa anawindwa na kundi fulani la watu ili kumwangamiza, je ni propaganda za kumtia hofu na kumfanya asimwamini yeyote wa karibu yake au ni ukweli uliopo?
Je state wamemhakikishia ulinzi Branch Manager?
ππππ
πππππππ Duuuuuh mazito sana, wacha niseme asante kwa majibu yako.Mkuu
Kuhusu FDR nadhani state Ina mtu wao alieandaliwa kati ya hao uliowataja,lakini sasa ishu ya mlawi nadhani ni matokeo ya mnyukano kati ya imani mbili kubwa ndio zitamuibua protestant huyo mlawi!
Kuhusu JAL2 kuwa member wa wajenzi sio kigezo Cha kutokwenda huko! unafikiri wnapewa hizo nafasi kwa Bahati mbaya!?wanapewa kwa mikataba fulani kwamba wakishamaliza kazi lazima waende Kule kutumika na Kule wanaenda muda ukifika,!
Kumbuka samurai anasema hao wajenzi na huko akhera ni sehem ya d.state,sasa what if hao jamaa wamecalculate muda wa JL 2 na kujua umefika !!?muda wa kwenda kule!
Na mara nyingi muda wao ukifika Huwa wanaondoka kimasikhara sana kama yule msanii wa filamu alivoondoka !!
What if kipipa,Mzee wa sawasawa,hata niguse ninuke kuwa muda wakwenda kutumika deep ulifika ndio maana Wakaenda tumika!!?
Mi nadhani hizi calculation za DS zinahusu pia na ule ulimwengu wa huko wanaoenda kutumika baada ya kupewa taji huku!!!
Kuhusu Branch manager angeshawekwa ndani zamani sana kama sio ulinzi wa DS!
Unakumbuka yule Musiba jinsi niguse ninuke alivoshauriwa akashupaza shingo!!?
Wale walikua wanatumikia mfumo katika zama za late CEO hao ni untouchables!!
ACHA IBAKI STORI TUCHANGIE UCHUMI WA MBS
Naomba kuuliza kuhusu Kule kisiwani,Three weeks to gooo!!!
Title: The last empress 19/03/2021
LET ............THE.........STORY........... BEGIN.........[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
WatakujibuS
Naomba kuuliza kuhusu Kule kisiwani,
1. Hivi bajeti yao kwa mwaka ni kiasi gani?
2. Makusanyo yao kwa mwaka ni kiasi gani?
3. Mgao wao wa muungano kwa mwaka ni kiasi gani?
Maana yanayofanyika hivi sasa kisiwani unajiuliza hizi ni hela za makusanyo yao ya kodi, mgao wa muungano na mikopo kutoka kwa wahisani pekee au kuna hela nyingine wabara tunapigwa na Mkojani fc?
1. Barabara za ndani ndani mitaani asilimia kubwa za Unguja zimewekewa lami,
2. Barabara ya Mnazi mmoja hadi Airport imefumuliwa na kujengwa upya,
3. Barabara ya Mtoni - Darajabovu hadi airport nayo hivyo hivyo imefumuliwa na inajengwa upya.
4. Fryover Kwerekwe na Amaan,
5. Uwanja wa mpira wa Abeid Karume umepanuliwa ili uwe mkubwa na wa kufunika.
6. Soko la kwerekwe limepigwa chini linasimamishwa jingine,
7. Soko la Mombasa nalo hivyo hivyo jipya linajengwa.
8. Soko la chuini la kimataifa lenye supermarket na yard za magari linajengwa.
9. Soko la Jumbi la kimataifa litakalokuwa na kumbi za mikutano nalo hivyo hivyo linajengwa.
10 Mkwajuni nako soko jipya.
11. Bandari mpya ya boat za abiria kujengwa Kizimkazi.
12. Bandari mpya ya meli za mizigo inajengwa Mangapwani.
13. Chuo cha kimataifa maeneo ya Fuoni kunajengwa.
Bado huko Pemba na miradi mingine chungu zima inayoendelea kufanyika.
βπΏ Ni muda mfupi sana yaani huu ni mwaka tatu tangu jamaa akae madarakani haya yote yote anayoyafanya, wakati mambo haya yakikamilika hata Amaan Karume na Shein waliokaa miaka 10 madarakani hamfikii huyu kwa wingi wa miundombinu anayoifanya.
βπΏ Mkojani Fc aliwahi kujidai kusema kwa wateule wake pasipo kuwakemea wala kuchukua hatua za " kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake, mna kula sana na kuvimbewa"
Je amewaacha wateule wake wa bara wale wawezavyo ili yeye awe anachepusha hela zetu za bara kwenda kisiwani pasipo kuhojiwa na wateule kwa sababu na wao si wasafi?
βπΏ Kama si hivyo mdogo wake kisiwani anatoa wapi hela zote hizo za miradi mikubwa mikubwa hivyo?
Bara utasikia miradi inaenda slow slow lkn Kisiwani miradi inaenda kwa kasi ya 5G
Pascal Mayalla, TumainiEl
Mgao wa Zanzibar ni 4.5% ya pato la taifa. Kwa muda mrefu sana wamekuwa hawapewi sasa wanapewa.S
Naomba kuuliza kuhusu Kule kisiwani,
1. Hivi bajeti yao kwa mwaka ni kiasi gani?
2. Makusanyo yao kwa mwaka ni kiasi gani?
3. Mgao wao wa muungano kwa mwaka ni kiasi gani?
Maana yanayofanyika hivi sasa kisiwani unajiuliza hizi ni hela za makusanyo yao ya kodi, mgao wa muungano na mikopo kutoka kwa wahisani pekee au kuna hela nyingine
βπΏ Kama si hivyo mdogo wake kisiwani anatoa wapi hela zote hizo za miradi mikubwa mikubwa hivyo?
Bara utasikia miradi inaenda slow slow lkn Kisiwani miradi inaenda kwa kasi ya 5G
Pascal Mayalla, TumainiEl
Broo Pascal Mayalla asante kwa jibu, mimi ni mtu wa kijinini huku Ikungulyabashashi, na shule sijaenda, 4.5% pato la taifa ni sawa na trilioni gapi kwa mwaka?Mgao wa Zanzibar ni 4.5% ya pato la taifa. Kwa muda mrefu sana wamekuwa hawapewi sasa wanapewa.
P
Daaaaah, Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi Senior, BWM na JK Junior sidhani kama walikuwa na kupendelea kwao,Watakujibu
Kifupi ni zamu.yao!
Na zamu wameipata kwa msemo uitwao mapenzi ya Mungu!!
Je kama mikopo yote ilikua wanaigawa nusu kwa nusu who knows!!?
Yote KHERI !ngoja tuone hatma!