This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Undugu si unyonyaji.Hahaha eti mkeo.
Inavyoonekana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kindugu zaidi kuliko kisheria. Sa zingine sheria inaweza kukutenga na ndugu zako lkn upendo hauwezi.
Hii ndo sababu wakasema tudumishe Muungano wetu kwa ghalama yoyote ile. Sasa linapokuja swala la ghalama wengine bado wanahoji inakuaje.
Code ya FDR please hata kama ni pm nitumieniMaandalizi ya kumsafishia njia FDR!
FDR atakaposhika lazima wahuni wawe pembeni Ili washughulikiwe ipasavyo!
Branch manager anakuja kukamilisha JAL 2 and 3 ndio maana anasema wastaafu wasiwashwe watulie,yaani wakisha fanikisha JAL 2 ambaye ndio mshauri mkuu wa JAL 3,JAL 3 atakosa usaidizi hivyo kuondolewa kirahisi pale!
Sasa ndipo FDR ashike!!na FDR inaonekana atafanya kazi na team late CEO na team old CEO pamoja na team new CEO zitasambaratika!!
Branch manager ni game changer!!hadi December picha itaonekana!!
Mkuu kwema??Yoga nina ombi kwako kwamba kabla ya December weka hii Dark days katika mfumo wa PDF, yaani kuanzia season 1 hadi ulipoishia.
Bado tunasumbuka kufatilia hii story kwa sababu comments za wadau ni nyingi na zinatupoteza wafatiliaji wa dark days story.
Binafsi sijui hata story ilipoishia ni post namba ngapi.
Ni ombi nawasilisha.
Double rojaa, nimekusoma.na nimekuelewa vizuri....Kanuni ya mkopo ni anayelipa ni aliyekopa, hivyo mikopo ya JMT Zanzibar anapatiwa 4.5% na halipi, analipa aliyekopa!.
Ila kuna mikopo Zanzibar anakopa kwa udhamini wa JMT, hii ni Zanzibar wenyewe wanalipa, ila ikitokea Zanzibar akashindwa kulipa, atakayedaiwa ni mdhamini!.
Kuna madeni kibao tunawalipia na hatuna tatizo!. Vipi wenzangu unaona shida yoyote kumlipia deni mkeo?.
P
Asante sana, Mkuu, kwa ufafanuzi huu. Ubarikiwe sana.Huu uongo na Pascal unajua ni uongo umefikia kikomo.
Mkuu Nguruvi3, it's very unfortunately tangu tumeungana, hakuna any civic education or public information program to educate the public about the union, hivyo kuna wengi hawaujui muungano wetu ukiwemo wewe, hivyo najitolea kukuelimisha ili pia kuwaelimisha na wengine.Hapana si kweli
Ikiwa hakuna demarcation ya gharama za Muungano na za Tanganyika mbona Wazanzibar wamepewa 21% ya ajira?
Iko wapi demarcation katika ajira?
Sii kweli kuwa wanapata 4.5% ya GDP ya Tanzania, Zanzibar are entitled 4.5% ya fedha zote za mikopo na misaada ya kimataifa only. Fedha hizi ni entitled!.Ikiwa hakuna demarcation mbona wanapewa 4.5% ya pato la Tanganyika ikiwemo kodi za watu , madini, Utalii, mifugo, kilimo n.k. ambazo si za Muungano? Iko wapi demarcation?
Refer No. 3 ya uraia, Mbarawa ni Mtanzania ana haki zote za Utanzania kama Mtanzania mwingine yeyote, na KM wake the same.Ikiwa wanataka demarcation Mbarawa anatia saini mikataba ya bandari kwa lipi?
Katibu mkuu wa Mbarawa ni Mzanzibar, mbona hatuoni demarcation?
Shaka ni kama Mbarawa ana haki zote za Utanzania kama Mtanzania mwingine yeyote ikiwemo kuteuliwa kwenye nafasi yoyote.Ikiwa wanataka demarcation Shaka Hamdu anafanya nini Kilosa?
Wazanzibari hawapewi ardhi bali wanamiliki ardhi kwa haki ya Utanzania wao kama Mtanzania mwingine yeyote, ila Mtanzania hawezi kumiliki ardhi Zanzibar bali ni Wanzanzibari wakaazi pekee!. Watanzania wote wakiruhusiwa kumiliki ardhi, Watanzania watavamia vile visiwa vitazama!.Ikiwa wanataka demarcarion mbona wanapewa ardhi bara ambalo si jambo la Muungano?
Referring to No. 3 again, wabunge wa Zanzibar ndani ya Bunge la JMT wana haki zote za Utanzania na wanajadili chochote!.Ikiwa kuna demarcation wale Wabunge wa Zanzibar kwanin wanajadili mambo ya Tanganyika pale Dodoma ?
Sio sababu za kipuuzi, wana sababu za msingi sana.Ni hivi linapokuja suala la gharama za kuendesha Muungano Wazanziba ni wepesi wa kutafuta sababu za kipuuzi.
Kukiwa na mgao wapo ''front seat' namimi , nataka, nipewe n.k
Naamini wewe una wazazi, una ndugu na una mke, how much do you spend kwa wazazi na ndugu zako compared to mkeo?. Muungano wetu ni kama ndoa, Zanzibar ni mwanandoa, Simiyu ni mwana ndugu!.Mkoa wa Simiyu, ambao ni mchanga sana una mchango mkubwa kuliko Zanzibar lakini tunatumia mapesa mengi sana Zanzibar kuliko Simiyu.
Zanzibar ndio wana sheria ya kura ya maoni, sisi Tanzania Bara, hatuna ila pia hoja kama hii niliwahi kushauri humu Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue mojaKura ya maoni ni jibu, waulizwe kama wanataka Muungano, kama hawataki safari njema! hatuna cha kupoteza
Safi sana, kwa maneno mengine lazima tuwe na demarcation . Mzee Warioba alisema wazi mambo 7 tu, mengine kila mtu kivyake. Katika mambo 7 mambo 3 tu ndiyo yenye gharama na hizo lazima zichangiweKiukweli ni ngumu sana, hebu chukulia polisi tuu au jeshi, angalia wanatumia kiasi gani Zanzibar, halafu ukokotoe wanatumia kiasi gani bara, then kile kiasi cha bara ni kiasi gani jeshi linatumia kwa ulinzi wa mipaka ya Tanzania bara tuu, hizo ni gharama za bara, uje kwenye kiasi gani kinatumika kulinda mipaka iliyoongezeka ya Zanzibar, inashindikana kwasababu hata bila muungano jeshi lingelinda mipaka ya Tanzania bara yote, hakuna namna ya kukokotoa gharama za ziada za ulinzi wa mipaka ya Zanzibar pekee!. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Wizara zote za muungano pia ni Wizara za bara, hakuna demarcation ya gharama za bara pekee na gharama za muungano!. Dawa ya hili ni serikali 3.
P
Hili tumelijadili, hakuna uniqueness yoyote bali ubabishaji tu. Muungano haulindwi na bunduki iwe Union au Federation. Muungano unatetewa kwa hoja, hili la Tunu ni jibu zuri la kukosa majibu ya maswali magumu.1. Muungano wetu ni very unique muungano duniani, miungano yote ni ama ni muungano wa union, ama ni muungano wa federation lakini muungano wetu ni both union and federation at the same time.
Hivi kuna Mzanzibar gani anayejiita Mtanzania? Wapi umesikia m-Lindi au m-Mara au m-Kigoma.3. Kwa vile tuna uraia mmoja wa JMT, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari bali kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania mwenye haki zote za Utanzania. Hivyo Kila Mzanzibari ni Mtanzania ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki ardhi, ajira, elimu, kuishi popote, kufanya kazi popote na kuteuliwa kushika madaraka kwenye wadhifa wowote!.
Nionyeshe nchi ya Tanzania Bara ilikuwa nchi gani na ilipata Uhuru lini na iliungana na Zanzibar lini6. Kitaifa muungano wetu ni federation ya nchi mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar yenye utawala wake wa ndani.
Nchi ya Tanzania Bara ni ipi ? Imetajwa katika katiba ipi na kuanzia lini? Ukaazi wa Zanzibar ni uraia! please7. Hivyo ndani ya Tanzania, muungano wetu ni wa nchi mbili za Tanzania na Zanzibar, zenye serikali mbili, ya JMT na SMZ , zenye marais wawili, rais wa JMT na rais wa Zanzibar, zenye mabunge mawili, Bunge la JMT na BLW, lenye Mahakama mbili, Mahakama Kuu ya JMT na Mahakama Kuu ya Zanzibar, yenye ardhi mbili, ardhi ya JMT na ardhi ya Zanzibar, yenye mipaka miwili, mipaka ya Tanzania Bara na mipaka ya Zanzibar, yenye uraia wa aina mbili, uraia wa JMT na Ukaazi wa Zanzibar.
Wale wa nchi ya ''Tanzania Bara' uliyosema wana fit kundi gani? maana hapo kuna Watanzania na Wazanzibar8. Wenye haki Tanzania ni Watanzania wote, ila wenye haki Zanzibar ni Watanzania ambao ni Wakaazi wa Zanzibar pekee!.
9. Hivyo kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania wakiwemo Watanzania wote ambao ni Wakaazi wa Zanzibar
10. Wenye haki Zanzibar ni Wazanzibari Wakaazi pekee.
Yes na ukweli huu Wanausema ni mgao wa BoT . Kwamba GDP ya BoT wanapata 4.5 % kila mwezi. Kamuulize VP Philipo Mpango , Waziri Mwigulu, Rais Mwinyi , Waziri wa Fedh SMZ na Gavana wa BoT. Wanajua hili fikaSii kweli kuwa wanapata 4.5% ya GDP ya Tanzania, Zanzibar are entitled 4.5% ya fedha zote za mikopo na misaada ya kimataifa only. Fedha hizi ni entitled!.
OK nadhani Watanganyika wanakusoma na wanaelewa. Haya yanafika mwishoRefer No. 3 ya uraia, Mbarawa ni Mtanzania ana haki zote za Utanzania kama Mtanzania mwingine yeyote, na KM wake the same.
Shaka ni kama Mbarawa ana haki zote za Utanzania kama Mtanzania mwingine yeyote ikiwemo kuteuliwa kwenye nafasi yoyote.
Wazanzibari hawapewi ardhi bali wanamiliki ardhi kwa haki ya Utanzania wao kama Mtanzania mwingine yeyote, ila Mtanzania hawezi kumiliki ardhi Zanzibar bali ni Wanzanzibari wakaazi pekee!. Watanzania wote wakiruhusiwa kumiliki ardhi, Watanzania watavamia vile visiwa vitazama!.
Hawana hiyo haki kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977. HawanaReferring to No. 3 again, wabunge wa Zanzibar ndani ya Bunge la JMT wana haki zote za Utanzania na wanajadili chochote!.
Nitajie sababu moja tu ya msingi unayodhani wana malalamiko ya maana! moja tuSio sababu za kipuuzi, wana sababu za msingi sana.
Zanzibar ndio wana sheria ya kura ya maoni, sisi Tanzania Bara, hatuna ila pia hoja kama hii niliwahi kushauri humu Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja
Ndugu akiwa si mwenye shukurani, yeye ni kukulaumu kila unachomfanyia, inakera inavunja moyo sana,Undugu si unyonyaji.
Nguruvi3 asante sana kupitia comments zako na za wadau wengine najifunza vitu na baadhi ya maswali yangu kujibiwa.Safi sana, kwa maneno mengine lazima tuwe na demarcation . Mzee Warioba alisema wazi mambo 7 tu, mengine kila mtu kivyake. Katika mambo 7 mambo 3 tu ndiyo yenye gharama na hizo lazima zichangiwe
Nje, ya Muungano lazima Zanzibar itakuwa na jeshi. Tufanye kwamba watakuwa na Batalion moja (1000) wala siyo brigade, na siyo kama bara. Piga hesababu za kuendesha jeshi la Batalioni moja kwa uchumi wa Zanzibar.
Kwa maana kwamba ni lazima Zanzibar ichangie hata kama ni kwa hesabu za udogo wake
Vivyo hivyo kwa Polisi na Usalama wa Taifa. Nje ya Muungano lazima Zanzibar wawe nazo na hivyo wanalazimika kuchangia na si kupata free ride kama ilivyo sasa
Watanganyika wanasema kwamba tunatumia rasilimali nyingi Zanzibar kuliko kuelekeza maendeo yenye kuchangia pato la Taifa. Zanzibar wanakusanya kodi na wana uchumi wao , waachwe, lakini wasidai kisicho chao kama haki.
Mfano, wanasema Bandari na gesi si jambo la Muungano. Wakati huo huo wanataka 4.5% ya mapato ya Bandari, gesi na madini ikiwemo kodi za mishahara ya Watanganyika. Huu ni ukupe usio na kichwa wala miguu
Zanzibar katika Muungano imegeuka kuwa zigo, kwasababu hatuoni mchango wao zaidi ya kulalama , kudai na kila kelele ambazo kimsingi tumezibomoa isiipokuwa moja '' ni nchi ya kwanza kuwa na TV' ya rangi'' ingawa walioangalia ni Sultan na wake zake. Leo watu wanajisaidia baharini hiyo TV iliwasaidia nini
Tunasema hivi kwasababu muda mrefu waliaminisha dunia wanaibiwa na wanaonewa na Tanganyika.
JK aliwaruhusu waende kukopa wenye, mbona hawaendi. Ni kwasababu hawana uwezo wa kulipa
Bajeti yao ni Trilioni 2.7 sawa na JWT, makusanyo ni bilioni 200 kwa mwezi.
Wazanzibar wanadhulumu Tanesco vipi wanaweza kuzungumza na IMF au WB.
Hiyo miradi mnayoiona na fedha za kukopa au kuchotwa kutoka hazina Tanganyika.
Jibu ni rahisi, kura ya maoni, hawataki hewala! njia nyeupe
Nakuelewa sana mkuuNi kwamba pesa zinatoka Bara. Kadri mapato yanavyokusanywa Bara wao wana 4.5%.
Pili, Zanzibar hawakopi ila kupitia JMT na deni hawalipi inalipa JMT ambayo ni Tanganyika
Tatu, Zanzibar haina Bajeti ya Ulinzi , mambo ya ndani, nje, hata Elimu ya Juu wanapata Bara
Nne, Bajeti ya Zanzibar inapewa ruzuku kutoka hazina Dar es Salaam
Tano, gharama za Taasisi za Muungano haziwahusu.
Sita, mapato ya Zanzibar hayavuki bahari lakini ya Tanganyika yanavuka
Kwa usawa huo wanashindwaje kufanya mambo makubwa? Jiulize kwanini inatokea sasa na si huko nyuma?
Marais waliopita hawakukubali uporaji wa rasilimali, tuna ushahidi lakini sasa shamba la bibi.
Asante sana Nguruvi3 kwa kiasi kikubwa umetufungua kuhusu huu muungano.Hili tumelijadili, hakuna uniqueness yoyote bali ubabishaji tu. Muungano haulindwi na bunduki iwe Union au Federation. Muungano unatetewa kwa hoja, hili la Tunu ni jibu zuri la kukosa majibu ya maswali magumu.
Hivi kuna Mzanzibar gani anayejiita Mtanzania? Wapi umesikia m-Lindi au m-Mara au m-Kigoma.
Mkuu hizi si hoja kabisa, watu wanasoma , wanasikia, wanaelewa. Zama si zile tena
Nionyeshe nchi ya Tanzania Bara ilikuwa nchi gani na ilipata Uhuru lini na iliungana na Zanzibar lini
Nchi ya Tanzania Bara ni ipi ? Imetajwa katika katiba ipi na kuanzia lini? Ukaazi wa Zanzibar ni uraia! please
Wale wa nchi ya ''Tanzania Bara' uliyosema wana fit kundi gani? maana hapo kuna Watanzania na Wazanzibar
Yes na ukweli huu Wanausema ni mgao wa BoT . Kwamba GDP ya BoT wanapata 4.5 % kila mwezi. Kamuulize VP Philipo Mpango , Waziri Mwigulu, Rais Mwinyi , Waziri wa Fedh SMZ na Gavana wa BoT. Wanajua hili fika
Kwa minajili ya mjadala ikiwa 4.5% ni kwa mikopo na misaada , tuonyeshe formula ya kulipa mikopo hiyo.
Ikiwa kuna 4.5% ya misaada na mikopo tuonyeshe 1% tu ya mchango wa Zanzibar katika kuendesha Muungano
Kama ni misaada ina maana wanachukua halafu mkopo wanamtwisha Mtanganyika zigo.
Utamaduni huu ni ule wa kutumia Umeme wa Tanesco anayelipa gharama ni mwananchi wa Buguruni.
OK nadhani Watanganyika wanakusoma na wanaelewa. Haya yanafika mwisho
Hivi, si hawa hawa Wazanzibar wanataka mambo yasiyo ya muungano yatengwe
Naeleza hapa kila siku, Unafiki ni sehemu ya Utamaduni wa Kizanzibar.
Kwamba Nguruwe ni haram mchuzi wake ni halali. Hawataki mambo yasiyo ya Muunganoi lakini wanapenda ajira za mambo yasiyo ya Muungano, wanapenda mapato ya mambo yasiyo ya muungano.
Mbarawa na Katibu mkuu wake kusaini mikataba ya Bandari ni doa. Kimaadili ''ethically' na kisaikolojia hili limechagiza s hasira dhidi ya Mkataba na DP World.
Watu wakipoteza Trust huwezi kuwashawishi. Rais na Ofisi ya Rais hawakusoma mazingira ya wanachokifanya.
Bungeni, Wazanzibar wanasema hilo si jambo la Muungano hawahusiki ingawa walikwenda Dubai kwa gharama za Tanganyika.
Mkataba ulisainiwa na Katibu mkuu Mzanzibar , Waziri Mzanzibar na Rais Mzanzibar kwa lisilo la Zanzibar.
W'zibar wanasema Bandari sila Muungano vipi leo wanashuhghulikia lisilowahusu? kama si unafiki sijui ni nini.
Hawana hiyo haki kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977. Hawana
Uwepo wao kujadili mambo yasiyowahusu unaongeza gharama za bure kwasababu hawahitajiki
Watu wanaosema serikali 3 ni gharama , kwasasa ni gharama zaidi. Kuleta Watu 80+ Dodoma, kuwalipa mishahara na posho kwa kukaa tu au kusikiliza mambo yasiyowahusu tena wakisema wenyewe.
Nani analipa? Tanganyika kupitia kodi na rasilimali
Nitajie sababu moja tu ya msingi unayodhani wana malalamiko ya maana! moja tu
Kwasababu za kinafiki , Wazanzibar wameweza kuondoa mafuta na gesi, Bandari, na kila kitu wanachodhani kinafaa. Kwa unafiki hawawezi kutumia Baraza la Wawakilishi kudai kura ya maoni.
Ndani ya Bunge la JMT wana 2/3 , hawajawahi wala kuthubutu kudai kura ya maoni. Unafiki
Tanganyika kupitia G55 walianya jambo, hakuna historia ya Wazanzibar kujaribu ukiacha kelele
Duni, Jussa, Zitto na Othman wanadai mamlaka kamili kila siku.
Kwa kujua katiba ya 1977 haiwezi kuwapa mamlaka kamili, sasa wanasherehekea maigizo ya Tume huru.
Wamesahau walikuwa na Tume huru, Jecha akatenda. Si kwamba hawajui bali utamaduni wa kinafiki ni tatizo
Haya mambo si ya kuoeneana haya tena, ni kuelezana ukweli tu! Watanganyika walikaa kimya miaka mingi Wazanzibar wakajiona ni muhimu . Siku hizi hatusikii tena ujinga wa ''tutavunja muungano' msipofanya abcd
Watanganyika wamechoshwa na kelele, tuna mengi ya kujadili.
Hili la muungano jibu ni rahisi na wanalo Wazanzibar, KURA YA MAONI waamue kama wanataka muungano , kama hawataki hewala njia nyeupe . Mtanganyika haihitaji kura ya maoni, hana cha kupoteza !
[emoji3][emoji3][emoji3]Yajayo yanafurahisha upo tayari [mention]yoga [/mention]ukuje bhasi hata utawashie gari tutajaribu kuliendesha wenyewe
Sas hi inataka uwe na akili kubwa siyo Kama zil za insider man wenu[emoji3][emoji3]Kumbe hii story bado inaendelea doh!!
hili jambo ni nzito inahitajika hekima na utashi bayana kabisa sisi kama jamii ya watu wanaojitambua ni vyema kama tunatengana tutengane tu na kama tumeamua kuungana basi tuungane kuwe na serikali moja na kusiwe na serikali mbili wala serikali tatu huo ni unafiki wa wazi wazi na moja kwa moja, hii ndio changamoto ya kiufundi inayotumika kimkakati na maadui, kama tisipo chagua moja kati ya umoja/serikali moja na kutengana basi tunashuhuli pevu na endelavu.
Mkuu Nguruvi3, it's very unfortunately tangu tumeungana, hakuna any civic education or public information program to educate the public about the union, hivyo kuna wengi hawaujui muungano wetu ukiwemo wewe, hivyo najitolea kukuelimisha ili pia kuwaelimisha na wengine.
1. Muungano wetu ni very unique muungano duniani, miungano yote ni ama ni muungano wa union, ama ni muungano wa federation lakini muungano wetu ni both union and federation at the same time.
2. Kimataifa muungano wetu ni muungano wa union wa nchi mbili kuungana na kuunda nchi moja ya JMT ambayo ndio dola yenye sovereignty, yenye rais mmoja wa JMT, yenye serikali moja ya JMT, yenye Bunge moja la JMT, Mahakama moja ya Rufani ya JMT, sarafu moja ya JMT, Benki Kuu moja ya JMT, na uraia mmoja wa JMT.
3. Kwa vile tuna uraia mmoja wa JMT, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari bali kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania mwenye haki zote za Utanzania. Hivyo Kila Mzanzibari ni Mtanzania ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki ardhi, ajira, elimu, kuishi popote, kufanya kazi popote na kuteuliwa kushika madaraka kwenye wadhifa wowote!.
4. Kimataifa Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT hivyo JMT ndio nchi inawajibika kuhudumia Zanzibar kwa kila kitu.
5. Muungano wetu ni kama ndoa kuna mume amechumbia, amelipa mahari, ameoa, amekabidhiwa mke, hivyo ni wajibu wa mume kumtunza mkewe kwa kila kitu, hivyo serikali ya JMT inaihudumia Zanzibar kwa kila kitu!.
6. Kitaifa muungano wetu ni federation ya nchi mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar yenye utawala wake wa ndani.
7. Hivyo ndani ya Tanzania, muungano wetu ni wa nchi mbili za Tanzania na Zanzibar, zenye serikali mbili, ya JMT na SMZ , zenye marais wawili, rais wa JMT na rais wa Zanzibar, zenye mabunge mawili, Bunge la JMT na BLW, lenye Mahakama mbili, Mahakama Kuu ya JMT na Mahakama Kuu ya Zanzibar, yenye ardhi mbili, ardhi ya JMT na ardhi ya Zanzibar, yenye mipaka miwili, mipaka ya Tanzania Bara na mipaka ya Zanzibar, yenye uraia wa aina mbili, uraia wa JMT na Ukaazi wa Zanzibar.
8. Wenye haki Tanzania ni Watanzania wote, ila wenye haki Zanzibar ni Watanzania ambao ni Wakaazi wa Zanzibar pekee!.
9. Hivyo kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania wakiwemo Watanzania wote ambao ni Wakaazi wa Zanzibar
10. Wenye haki Zanzibar ni Wazanzibari Wakaazi pekee.
Sii kweli kuwa wanapata 4.5% ya GDP ya Tanzania, Zanzibar are entitled 4.5% ya fedha zote za mikopo na misaada ya kimataifa only. Fedha hizi ni entitled!.
Mimi nilimuoa sweetheart wangu wa chuo, mimi nikaajiriwa RTD yeye Guardian. 1995 nikaacha kazi RTD na kujiunga DTV, nikamuachisha kazi wife na kukubali kumlipa mshahara wake wote aliokuwa analipwa as her entitlement. Muungano wetu ni kama ndoa, kwenye wanandoa wawili hawa kuna mmoja ambaye ni mume ana sovereignty na ni dola na kuna mwingine ni mke hana sovereignty, hada dola hivyo ni jukumu la mume kuhudumia mkewe. Huduma za mke kutoka kwa mumewe sio favours ni stahiki ni haki yake kwasababu Zanzibar imepoteza sovereignty haiwezi kukopa kimataifa na sio nchi, hivyo JMT ina wajibu kuhudumia!.
Refer No. 3 ya uraia, Mbarawa ni Mtanzania ana haki zote za Utanzania kama Mtanzania mwingine yeyote, na KM wake the same.
Shaka ni kama Mbarawa ana haki zote za Utanzania kama Mtanzania mwingine yeyote ikiwemo kuteuliwa kwenye nafasi yoyote.
Wazanzibari hawapewi ardhi bali wanamiliki ardhi kwa haki ya Utanzania wao kama Mtanzania mwingine yeyote, ila Mtanzania hawezi kumiliki ardhi Zanzibar bali ni Wanzanzibari wakaazi pekee!. Watanzania wote wakiruhusiwa kumiliki ardhi, Watanzania watavamia vile visiwa vitazama!.
Referring to No. 3 again, wabunge wa Zanzibar ndani ya Bunge la JMT wana haki zote za Utanzania na wanajadili chochote!.
Sio sababu za kipuuzi, wana sababu za msingi sana.
Naamini wewe una wazazi, una ndugu na una mke, how much do you spend kwa wazazi na ndugu zako compared to mkeo?. Muungano wetu ni kama ndoa, Zanzibar ni mwanandoa, Simiyu ni mwana ndugu!.
Zanzibar ndio wana sheria ya kura ya maoni, sisi Tanzania Bara, hatuna ila pia hoja kama hii niliwahi kushauri humu Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja
Kwa vile nimeandika sana humu kuhusu muungano, bandiko hili nitalisambaza kwenye baadhi ya post hizo ili uzitumie kama post darasa ujifunze zaidi kuhusu muungano, tena tumshukuru sana Samia, ndie aliyetoa uhuru huu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Natumaini nimekusaidia sana kukuelimisha kuhusu huu muungano wetu adhimu.
Pasco.
Karibu katika baadhi ya Rejea Zangu kuhusu huu Muungano wetu adhimu.
-
-Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano?
Wanabodi, Wakati tunaelekea kusherehekea miaka 51 ya Muungano wetu adhimu, kuna taarifa za kushitusha kutoka Zanzibar!. TAARIFA MUHIMU: Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Magharibi Unguja kupitia kikao chake kilichomalizika muda huu Kimemvua Uanachama wa C.C.M Mzee HASSAN...www.jamiiforums.com
-Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano? Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?
Wanabodi, Wakati tukijiandaa rasmi kuingia kwenye serikali 3, tutake tusitake, lazima tutarudi nyuma kuungazia muungano wetu, na kabla hatujaingia katika serikali tatu, lazima kwanza tuwe na Mkataba rasmi wa Muungano, ndipo zifuate hizo serikali 3. Hiki kilichopo, kinachoitwa Mkataba wa...www.jamiiforums.com
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
Wanabodi, Kufuatia chokochoko ya kuuchokoa Muungano ilioanzishwa na kikundi cha Uamsho huko Zanzibar, na kuungwa mkono na Wazanzibari wasioutakia mema huu Muungano wetu adhimu, zimeanza kutolewa hoja mbalimbali za kuhatarisha huu Muungano wetu ikiwemo hoja ya Watanzania tupewe fursa kuujadili...www.jamiiforums.com -
- Muungano lazima ujadiliwe kwa Ukweli na Uwazi! - Jaji Mark Bomani
- HATUJAWAHI kuwa na MUUNGANO..
- Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
- Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?
- Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?
- Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!. (Ufuatiliaji Muungano Sehemu ya I)
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
- Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"
- Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar udumu milele
- Muungano una uhalali wa kisheria?
Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio utauvunja Muungano
Wanabodi, Sisi wengine wenu humu, japo tuna vyama toka ndani ya mioyo yetu, CCM kimeoza kwa rushwa na ufisadi, from top to bottom, left, right and center hadi kwenye shina lake!, huku hakuna upinzani wowote wa maana!, watu wanacheza makida makida na wengine hadi kuchezea shilingi chooni...www.jamiiforums.com -
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
- Live on TBC1: Kongamano la Vyuo Vikuu kuhusu Muungano
- Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile!
- Je, wajua Sultan aliyefurushwa na mapinduzi matukufu alikuwa ni puppet wa wakoloni?
- Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali
- Dkt Mvungi: Muungano Ulishavunjika!
- Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu
- Tuache Kuwatisha Wazanzibari Kuhusu Udogo wa Taifa Lao na Hatima Ya Muungano
- Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Hili tumelijadili, hakuna uniqueness yoyote bali ubabishaji tu. Muungano haulindwi na bunduki iwe Union au Federation. Muungano unatetewa kwa hoja, hili la Tunu ni jibu zuri la kukosa majibu ya maswali magumu.
Hivi kuna Mzanzibar gani anayejiita Mtanzania? Wapi umesikia m-Lindi au m-Mara au m-Kigoma.
Mkuu hizi si hoja kabisa, watu wanasoma , wanasikia, wanaelewa. Zama si zile tena
Nionyeshe nchi ya Tanzania Bara ilikuwa nchi gani na ilipata Uhuru lini na iliungana na Zanzibar lini
Nchi ya Tanzania Bara ni ipi ? Imetajwa katika katiba ipi na kuanzia lini? Ukaazi wa Zanzibar ni uraia! please
Wale wa nchi ya ''Tanzania Bara' uliyosema wana fit kundi gani? maana hapo kuna Watanzania na Wazanzibar
Yes na ukweli huu Wanausema ni mgao wa BoT . Kwamba GDP ya BoT wanapata 4.5 % kila mwezi. Kamuulize VP Philipo Mpango , Waziri Mwigulu, Rais Mwinyi , Waziri wa Fedh SMZ na Gavana wa BoT. Wanajua hili fika
Kwa minajili ya mjadala ikiwa 4.5% ni kwa mikopo na misaada , tuonyeshe formula ya kulipa mikopo hiyo.
Ikiwa kuna 4.5% ya misaada na mikopo tuonyeshe 1% tu ya mchango wa Zanzibar katika kuendesha Muungano
Kama ni misaada ina maana wanachukua halafu mkopo wanamtwisha Mtanganyika zigo.
Utamaduni huu ni ule wa kutumia Umeme wa Tanesco anayelipa gharama ni mwananchi wa Buguruni.
OK nadhani Watanganyika wanakusoma na wanaelewa. Haya yanafika mwisho
Hivi, si hawa hawa Wazanzibar wanataka mambo yasiyo ya muungano yatengwe
Naeleza hapa kila siku, Unafiki ni sehemu ya Utamaduni wa Kizanzibar.
Kwamba Nguruwe ni haram mchuzi wake ni halali. Hawataki mambo yasiyo ya Muunganoi lakini wanapenda ajira za mambo yasiyo ya Muungano, wanapenda mapato ya mambo yasiyo ya muungano.
Mbarawa na Katibu mkuu wake kusaini mikataba ya Bandari ni doa. Kimaadili ''ethically' na kisaikolojia hili limechagiza s hasira dhidi ya Mkataba na DP World.
Watu wakipoteza Trust huwezi kuwashawishi. Rais na Ofisi ya Rais hawakusoma mazingira ya wanachokifanya.
Bungeni, Wazanzibar wanasema hilo si jambo la Muungano hawahusiki ingawa walikwenda Dubai kwa gharama za Tanganyika.
Mkataba ulisainiwa na Katibu mkuu Mzanzibar , Waziri Mzanzibar na Rais Mzanzibar kwa lisilo la Zanzibar.
W'zibar wanasema Bandari sila Muungano vipi leo wanashuhghulikia lisilowahusu? kama si unafiki sijui ni nini.
Hawana hiyo haki kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977. Hawana
Uwepo wao kujadili mambo yasiyowahusu unaongeza gharama za bure kwasababu hawahitajiki
Watu wanaosema serikali 3 ni gharama , kwasasa ni gharama zaidi. Kuleta Watu 80+ Dodoma, kuwalipa mishahara na posho kwa kukaa tu au kusikiliza mambo yasiyowahusu tena wakisema wenyewe.
Nani analipa? Tanganyika kupitia kodi na rasilimali
Nitajie sababu moja tu ya msingi unayodhani wana malalamiko ya maana! moja tu
Kwasababu za kinafiki , Wazanzibar wameweza kuondoa mafuta na gesi, Bandari, na kila kitu wanachodhani kinafaa. Kwa unafiki hawawezi kutumia Baraza la Wawakilishi kudai kura ya maoni.
Ndani ya Bunge la JMT wana 2/3 , hawajawahi wala kuthubutu kudai kura ya maoni. Unafiki
Tanganyika kupitia G55 walianya jambo, hakuna historia ya Wazanzibar kujaribu ukiacha kelele
Duni, Jussa, Zitto na Othman wanadai mamlaka kamili kila siku.
Kwa kujua katiba ya 1977 haiwezi kuwapa mamlaka kamili, sasa wanasherehekea maigizo ya Tume huru.
Wamesahau walikuwa na Tume huru, Jecha akatenda. Si kwamba hawajui bali utamaduni wa kinafiki ni tatizo
Haya mambo si ya kuoeneana haya tena, ni kuelezana ukweli tu! Watanganyika walikaa kimya miaka mingi Wazanzibar wakajiona ni muhimu . Siku hizi hatusikii tena ujinga wa ''tutavunja muungano' msipofanya abcd
Watanganyika wamechoshwa na kelele, tuna mengi ya kujadili.
Hili la muungano jibu ni rahisi na wanalo Wazanzibar, KURA YA MAONI waamue kama wanataka muungano , kama hawataki hewala njia nyeupe . Mtanganyika haihitaji kura ya maoni, hana cha kupoteza!
Kuna Mbunge wa Nkasi Mastaafi Ally Kessy yule Mzee alikuwa anawachana live Wazanzibar Bungeni juu ya unafiki wao!Duuuuuh, muungano huu hauko fair kabisa, na viongozi wa Tanganyika sijui akili yao ni dogo?
Tunawachukulia wazanzibari kuwa ndugu zetu lakini wao wanatudharau sana, wao Mtu wa Tanganyika kumiliki ardhi huruhusiwi labda ukodishwe kama ilivyo kwa raia wageni au uwe na kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi na kitambulisho hiki kukipata ni hadi uwe umeishi Zanzibar miaka kadhaa ndio ukipate, leo mtu yua toka Zanzibar akanunua ardhi Tanganyika na akarudi Zanzibar huku akiwa anamiliki ardhi Tanganyika,
Lkn
Mzanzibari kumiliki ardhi ni kawaida hadi serikali ya SMZ imepewa ardhi Pwani huko.
Hivi gharama za kulinda mipaka yetu ya bahari dhidi ya Zanzibar na kuendelea na muungano ipi gharama zaidi?
😂 😂Ikiwezekana, unaweza kufanya bidding mwenyewe ukajipa tenda.
Changia mkuu, tuvunje muunganoOk, nilitaka nichangie ila ngoja kwanza
Hivi naomba kuuliza ankal, ZRA inasimamiwa na nani ? na kabla ya hapo alikua nani alikotoka ? Je kinachoingiwa ni sawa na kinachotumika?Mkuu Nguruvi3, it's very unfortunately tangu tumeungana, hakuna any civic education or public information program to educate the public about the union, hivyo kuna wengi hawaujui muungano wetu ukiwemo wewe, hivyo najitolea kukuelimisha ili pia kuwaelimisha na wengine.