Dark days 17/03/20...

Hizi code zinahitaji uwe mfuatiliaji wa mambo, kama hauko very updated lazima utoke kapa hata kama wewe ulikuwa Tanzania One..
Ufatiliaji ni kweli, lakini lazima uwe mzima kichwani kukonect nukta hizo. Huyo mwandishi mwnyw nadhani hstoria yake mnaijua au hata zile uzi zake anaandikaga kiufundi sanaa

Ova
 
Kwa nini wanawatia hasira watu! Kwa nini lakini? Ingekuwa Nia MoU ya mashirika ningeelewa lakini hili ninahitaji kuelimishwa na Mimi nisiwe na hasira!
 
Aise ... Aise Aise
 
Mbona code za kawaida sana
Kuna maneno kama matatu ukielewa basi,
Kwanza Dada ni nani ambae aliandaliwa safari ya kwenda wandia ambayo hakupanga yeye ,baada ya -Wanya Moris kushusha gear box mikononi mwake bila dada kujua kama anashiriki kupiga clamp- fikili dada ni nani kwanza

Gear box inamanisha nini kushushwa

2, kifo cha the mseminary kilimrudisha Moris standby, je ni mseminary yupi kifo chake kilimshutua Wanya Moris .

Moris ni nani?
The mseminary ni nani, ?
Anzia hapa ukielewa tu rudi soma code za mwandishi
 
Kwa kiwango kikubwa sana nimeweza ku decode ila hii kampuni ni hatari Wanya si wa kitoto kitoto aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…