Dark days 17/03/20...

Mimi kama najaribu kuifungua ni kama kuna sumu ukipewa au ukinyweshwa hutoboi siku 7 mpaka 45
Naona ndio hivyo Sasa hatujui ni nani kameza ndoano!!?
Alikohoa juzi je ninkikohozi Cha kawaida TU!!?
Au ni huyu aliekua mapumzikoni!!?

Juzi jk alionya eti"ukipata ushauri mbaya au ukipewa ushauri halafu ukakaidi bas nchi inakwenda kusiko tarajiwa!!!?

Sasa kusiko tarajiwa ni wapi huko!!?

Ngoja tuone!!!
 
Yule Born town nakumbuka ata late CEO alimuonya kuacha kujimwamba-fy,alafu haikupita muda Mwamba angaanguka!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kikowapi ndugu Samurai?

Kuna time Huwa tunatolewa ndani ya MWILI Ili makombora yapite Kisha tunarudishwa tena.

Tusubiri.
Ni kama mbuzi wa kafara kakata kamba akakimbia madhabahu....Au Mungu akasema Abram Abram usimchinje mwanao, tazama mwanakondoo huyo umtwae nitolee sadaka....Ee Mungu wa Abraham, Isaka na Yakobo sikia maombi yetu na ujibu Kwa moto .
 
Kikowapi ndugu Samurai?

Kuna time Huwa tunatolewa ndani ya MWILI Ili makombora yapite Kisha tunarudishwa tena.

Tusubiri.
Bado mkuu bado !uso wa Dr haunipi matumaini Yu salama!!

Mwambafi hajimwambafai!hata jiwe alijimwambafai lakini Yu wapi!!?

Maembe he!!?niguse ninuke akaguswa amenukia wapi!!?

Moja kati ya watu ambao walikua healthy sana ni maembe lakini ghafla TU!!
 
Vile vipande kwenye ile video vimeunganishwa.

Sio official video rudi tena ukachunguze vizuri mkuu.
 
Bado mkuu bado !uso wa Dr haunipi matumaini Yu salama!!

Mwambafi hajimwambafai!hata jiwe alijimwambafai lakini Yu wapi!!?

Maembe he!!?niguse ninuke akaguswa amenukia wapi!!?

Moja kati ya watu ambao walikua healthy sana ni maembe lakini ghafla TU!!

Sadikika zote zile huenda zina ukweli ndani yake. Ila kupooza wanakampuni na upande wa maadui ilikuwa lazima ifanyike ilivyofanyika.

Ila mambo bado ni mtifuano chini kwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…