NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Naona ndio hivyo Sasa hatujui ni nani kameza ndoano!!?Mimi kama najaribu kuifungua ni kama kuna sumu ukipewa au ukinyweshwa hutoboi siku 7 mpaka 45
Alikohoa juzi je ninkikohozi Cha kawaida TU!!?
Au ni huyu aliekua mapumzikoni!!?
Juzi jk alionya eti"ukipata ushauri mbaya au ukipewa ushauri halafu ukakaidi bas nchi inakwenda kusiko tarajiwa!!!?
Sasa kusiko tarajiwa ni wapi huko!!?
Ngoja tuone!!!