Dark days 17/03/20...

Samia aliianza kazi katika Idara nyeti enzi za Mwalimu..na post yake ya kwanza ilikuwa ni kuwa Katibu Muhtasi wa Rais wa Zanzibar kipindi hicho Aboud Jumbe Mwinyi..
 
Kumbe , so kwenye kile kipande cha wimbo anaeonekana ni yeye?

Sasa nami aniteue kitengo cha kunyonga mafisadi , nikiwanyonga angalu 3 kwa mfano baada ya mahaka toa hukum tutaeshimiana
 
Magu mwenyewe hakuwa anajua kama Samia ni mstaarabu wa Makumbusho siku anajua ndio homa zikaanza hadi akadanja
 
😀😃 nimecheka kijinga sana , kwamba mzee aliingizwa mjini , haiwezekaniki alijua tu , yani mtu agombee urais, na apendezeke mgombea mwenza bila kumjua mbona ni mwezi na jua, haiwezekani
 
Mkuu aliwahi kukujibu hizi hoja
 
Magu mwenyewe hakuwa anajua kama Samia ni mstaarabu wa Makumbusho siku anajua ndio homa zikaanza hadi akadanja
Kumbuka Magufuli amekua waziri kitambo , na waziri yoyote anaweza kua rais , hapa umenipiga , kama kweli wayajua haya iweje yeye hakuyajua , nakataaa period, nchi hii ni kubwa ila ila ni ndogo sana pia ,hakuna cha mkumbusho wala bibi wa makumbusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…