Dark days 17/03/20...

Mkuu pia ikitokea tukio la January lika mimick like tukio la juvenile habyarimana la 1994,mkuu patachimbika sana!

Why!!?coz Kuna nabii waArusha alitabiri Tembo kuingia mjini na kuharibu makazi ya watu ,akimaanisha tembo ni wale jamaa was mabaka kumbuka wanakituo Chao pale Kwa kina nywele nyeupe pale!!

Wale jamaa hawawezi Sala kama hakuna ishu kubwa ya maana wale!!

Nae Ndugu Boniface victor apigilia msumari was moto kwa kusema eti ametia muhuri kwa vifo vya wakubwa wawili,huku mwingine nae analeta hofu kwa kusema eti aliona Bendera nusu mlingoti!

Kumbuks bar Tumia akili akitilia mkazo kwamba JAL I is done 2 and 3 are next,Sasa hai JAL 2$3sio hai watakaotuletea nusu mlingoti was Bendera!!?he sio hao ambao victor Katia muhuri!!?

Aiseh ni kama Kuna Bom lipo linasikiliziwa litalipuka mda Gani na watu wapo attention kusikilizia!!!
Duh afu inawezekana kabisa aisee...
Na inawezekana tukio la namba mbili lilikuwa limepangwa kabisa mwezi huu litokee
iKi
 
Me nahisi namba moja kashtuka pia na kuhisi na yeye anawindwa..ndo maana anacheza machale sana ..
Dah umenikumbusha habyarinamana aka The invicible..Paul Kagame si ndo alimtungua..

Nahisi luna ishu inapikwa kali sana sema inasubiriwa wananchi kwanza wasahau mzigo ushushwe
 
HUYo anajua kabisa coz aliambiwa huko gaberon room namba sijui 103,102 sikumbuki de levis aliandika!

Kifupi maagizo ya kitabu ameyakiuka na kwenye Uzi was "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"

Tumia akili anasisitiza kwenye swala la kitabu kipya mhusika aki delay zaidi ya mwakani (yaani 2022)kuanza mchakato wa uandishi wake,Basi mhusika eti itakua too late kwake isiwe beyond mwakani!!yaani beyond 2022!

Hadi sasa nadhani mhusika kacheza vizuri Hadi Kawa beyond mwaka Jana Kwa kiti kukalia !lakini operation IPO on!!?yaani original plan on and out!nadhani ni Ile ya kuingiza mhusika ambae hajawahi gombea kiti kama ilivyo tokea kule America!huyo Roosevelt wao!!

Ngoja tuone!!
 
Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI ya kigogo wa kwenye Twitter a.k.a X au kigogo wa FB?
 
Mkuu sasa hivi nasikia Kinachoendelea baada ya Operation ya kumuondoa kwenye uandishi wa kitabu kushindwa imepangwa operation mpya wanaiita "invalidation protocol"

Wamemwacha aendeleee Ila wafanye akose Sifa za kuendelea kuaminiwa tena kwahiyo kwenye kikoba watamtema ili kujifanya wananusuru kikoba, nahisi na yeye hiyo karata ameishtukia mwanzoni alikuwa hajali vikoba sasa hivi ameanza kuvijali ila amechelewa maana waliomtangulua walikuwa wameshashika sehemu nyeti zote..

Na kitu alichokosea kumuita Branch manager mstaafu Kuongoza kikoba hajui ameingiza Mole ya kweli Kikoba na Branch manager anaamini kwamba amehusika na kifo cha baba yake kwahyo ameingia kuungana na Timu ya born town kutimiza operation mbalimbali ....

Mkuu moto unawaka Namuhurumia sana maana Timu ya Baba yake Branch manager imeungana na Timu ya Mr Born town mambo ni magumu sana kwake
 
Yule kaingia kwa mpango maalumu Katimiza wa kwanza bado anaendelea kutimiza kuhakikisha hakuna Timu ya visiwani inabaki...

yaani timu zitakazobaki mpaka 2024 ni timu ya Baba yake former Branch manager na Timu ya Mr born town na ndo maana umeona hakuzigusa hizo timu sasa njia imeanza kuwa nyeupe..

We subiri mwakani utasikilizia kitu
 
Branch manager yupo afrika kusini anauguza wife inasemekana akirudi shida ipo pale pale
 
Mkuu

Japo najiuliza na nyie mnaiona Dar es salaam ikiangamia na kutoweka kama sodoma na gomora kama aonavyo ndugu victor na kutoa vitabu!!?

Kuhusu vifo vya wawili hao nadhani victor kagonga mhuri pia kuangamia Kwa Dar,Kwa mujibu wake haviwezi ku be overturned na maombi kabisa yaani kuomba no kujichosha tu lazima yatokee!!

Sasa na. Nyie mnaiona Dar ikiangamia!!?najiuliza hatma ya BOT na hasara itakayokua kubwa kwa Taifa sijui kama serikali itakua na uwezo was kulipa mishahara coz hakuna kiongozi anaejali unabii was ndugu huyu Wala hakuna tahadhari yoyote!!!

Muitazame unyakuo tv YouTube mtapata mafunuo yote kwa huyu ndugu!!!

Muulizeni muonaji wenu anaiona Dar baada ya mwezi was tano mwakani!!?

Mimi Huwa sipuuzi maneno hata kama ni ya kichaa natilia mkazo sana!!
 
Maono waliyopewa ni hayo kuwa kuna tukio kubwa litatikisa nchi na vifo vya viongozi tukashirikishwa hivyo tuombe tu
Ni kwel kwa nyakati hizi hakuna jambo la kupuuzia kabisa haswa jambo linalonenwa na wengi maana yake Mungu anaweka msisitizo juu ya hilo jambo...
Tuombe rehema za Mungu tuvuke salama..

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Dah inafanyaje mkuu mwezi wa Tano mwakani ili kama kuna uwezekano niomdoke πŸ˜€πŸ˜€
 
Dah inafanyaje mkuu mwezi wa Tano mwakani ili kama kuna uwezekano niomdoke πŸ˜€πŸ˜€
Wewe hujakipata kitabu Cha Boniface victor na kuangamia na kutoweka Kwa jiji la Dar!!?

Huyo jamaa yupo hapo temeke pile,hapo Dar ameshatangaza na unabii katoa ni kuanzia mwezi was nne hadi wa Tano mwakani 2024 kwamba jiji linaangamia na maji yameshaanza kuja Kwa kasi sana kutoka mwisho was dahari na yapo MITA mia tatu Hadi sasa!!

Ingia unyakuo tv, YouTube utaona video zake zote!!

Kuna dog langu lipo hapo nilishaliambia mwezi wapili na tatu arudi kwanza home aende was sita kusikilizia hiyo ishu!!!
 
Duh ila sidhani! Maana wangetangaza hiyo hali hata kwa njia ya Satelite ina maana bado iko undetected
 
Yeye Nabii Victor amesha hama Dar?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…