Dark days 17/03/20...

Hapo 25/12/2025 do you mean 25/12/2023 saa tano asubuhi!!?

Au!?

Welcome!
 
Now I know what made Mr Mango to retire actively!
 
rings ziliikaba shingo yake alipotamani kujiumbia ring yake JAL1?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo inavoonekana aiseh!!Rings zilikaba,halafu nasikia yule dakatari anataka apewe u secretary wa Ile nembo!!

Aiseh wenye heart attack sijui wahamie nembo Ile ya kuzungusha mikono!!?

Hadi nimeogopa kusikia hizo tetesi aiseh!
 
Mpango: SITAKUFA Bali nitaishi niushuhudie wema wa Mungu.( Zaburi 118:17).
 
Labda lugha tu imfunge mtu ila imeeleweka vyema sana.

Best of luck and thank you yoga eagerly waiting…
 
Ndivyo inavoonekana aiseh!!Rings zilikaba,halafu nasikia yule dakatari anataka apewe u secretary wa Ile nembo!!

Aiseh wenye heart attack sijui wahamie nembo Ile ya kuzungusha mikono!!?

Hadi nimeogopa kusikia hizo tetesi aiseh!
Ni masihara, wanatania. Aliyeleta tetesi hiyo ni kijana mmoja wa kutoka Zanzibar. Hawawezi kufanya mzaha na nafasi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2025
 
Wengine tulikuwa watoro shule weka kiswahili ndg tufaidi vinono
 
If it is true and not stories to please the gang, let's wait and see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…