Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Йога, вы именно имели в виду 11:00 в понедельник, 13 декабря 2023 года, или вы упомянули 2025 год как закодированную информацию?
Tafsiri kwa msaada wa Google translate.

Yoga, je, ulimaanisha saa 11:00 siku ya Jumatatu, Desemba 13, 2023, au ulitaja 2025 kama maelezo ya msimbo?
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI asante sana mkuu kwa torch yako gizani,
Ila Eva hana shukurani,
Naweza kukubaliana na Veronica France wa 2021,
Mzee wa Dokezo nasikia aliwakatalia team late ceo kuweka mtu wao, hivyo bila ya mzee wa dokezo Eva asingekaa pale kileleni,
Halafu anakuja mtu kutoa zawadi yenye nia ovu ndani yake, hana shukurani habebeki.
Nasikia zawadi ilitoka Kwa Tabasamu gang !Sasa sijui kama Kuna ukweli katika hilo!!

Eva asingeweza kabisa kufanya hiyo sidhani coz bila yeye asingefika ndio Maana Eva baada ya Hilo tukio nasikia yule mr tabasam akamwambia Eva anpige chini dokezo lakini Eva akamuomba aombe kustaafu tu !ndio jamaa akakubali kustaafu japo na muda ulikua umefika pia!!
 
Йога, вы именно имели в виду 11:00 в понедельник, 13 декабря 2023 года, или вы упомянули 2025 год как закодированную информацию?
Tafsiri kwa msaada wa Google translate.

Yoga, je, ulimaanisha saa 11:00 siku ya Jumatatu, Desemba 13, 2023, au ulitaja 2025 kama maelezo ya msimbo?
Nasikia zawadi ilitoka Kwa Tabasamu gang !Sasa sijui kama Kuna ukweli katika hilo!!

Eva asingeweza kabisa kufanya hiyo sidhani coz bila yeye asingefika ndio Maana Eva baada ya Hilo tukio nasikia yule mr tabasam akamwambia Eva anpige chini dokezo lakini Eva akamuomba aombe kustaafu tu !ndio jamaa akakubali kustaafu japo na muda ulikua umefika pia!!
Inaonekana lord rings ni kajitu katili sana nyuma ya pazia, na kwa umafia ka leftisha watu wengi, eti kameenda kuhiji Macca, unafiki mtupu.
Ningekuwa malaika wa adhabu ningeanza kukaadhibu kuanzia duniani na kasipate nafasi ya kutubu.
 
Thanks Yoga,,
We need more!
Monday 25/12 /2025 saaa Tano asubuhi our new story will be out, so stay tune shuhuli inaanza
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

The last emperor

Introduction.

Now she knows who is her enemy,
now she knows who are the fake friends , the so called friends and enemies
Now she knows it's either her blood or his blood if she wants to be the emperor


She is outnumbered but she has all the numbers, and numbers don't lie, deep she see her self as a new emperor inspite Kuna ugumu kwenye kulifikia Hilo .......... But atleast she has the faith.

Baada ya kuwa shaken many times with the lord of rings......... She came to understand that sometimes it better to bow the master, act like a servant and learn to be the master as the time goes.

One thing she hate was......... she is the boss yaani publically known that she is the top notch of the company!
So why aambiwe what to do, and what not to do?? Where to go... and where not to go. Who to see and whom not to see??????? Aghhhhhhh..... Ilimkera Sana hiiii.

Tena with some guy (the lord of rings) a retired CEO, whom at first was her idol but now a smiling enemy.

It hurted her Very bad to the point she was fustrated! She had limited number of people to trust, sababu she came to realize that........, 98% of all the top main servant in the company ni paid agents wa the lord of the rings.

Movements zake zoote kwa sasa zinapaswa kufanya kwa uangalifu mkubwa with very high calculations. As she knows that she is being watched! She felt like she is in the dome. No freedom to access her powers. at a certain point she came to say enough is enough. She was done with that kind of life. She wanted to retire, lakini atawaambia nini watu??

The one guy whom she thought angemsaidia..... Was handled quietly and very smoothly! What happened ??

So she still remembered one of her guys back in Dubai aliyempa kazi yakufind a way to win against the lord of rings (previously named as born town) the guy is missing, but his ideas and all of his works still on her mind!

She kept on remembering that guy plan. And that plan was very strictly and directive to her....! kwamba ili kuwin the war against the lord of rings, she need to do the followings
[emoji117]she need to find her own new investors for the company or manipulate lord of rings investors to be on her side
[emoji117]Anatakiwa kusafisha the whole secret service in her company,
[emoji117]she need the support of all deep owners of the company and letter to form new deep owners
[emoji117]she needs to be famous among the customers
[emoji117]and last she needs team late CEO on her side(and this is very important)

And all this should be done without the lord of rings to know! It was Funny sababu the guy has all eyes and ears of the company. He knows everything and monitor everything in the company

Still the deja Vu hits her as last time when she started to implement the same plan, the lord of rings cought her. And boom,.....The plan was dead.

She remember last time the flash aliyopewa na the lord of rings yenye lot of her secrecy, personal secrets that alitoshiwa kuwa itakuwa spreaded public na kudamage her own reputation na mbaya zaidi ita demage company reputation kitu kitakacho pelekea awe forced kujiidhuru wadhfawake wa CEO and after that the plan was kumpoteza kabisa.

So she thought of that and abort the plan very fast ...............


So time goes, and there she accepted to lay low, and wants to win back the general master's trust. She wanted to clear the air, she wanted to be seen as a good servant and to make a statement that , what happened was a mistake and she has learned her lesson!

Behind the scene akaaanza upya................



CHAPTER ONE: EPISODE ONE

................
Sijuagi uoga ni mke au mume. Niseme tu ASANTE KWA KUTUREJESHEA URAIBU WETU.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Tafsiri kwa msaada wa Google translate.

Yoga, je, ulimaanisha saa 11:00 siku ya Jumatatu, Desemba 13, 2023, au ulitaja 2025 kama maelezo ya msimbo?

Inaonekana lord rings ni kajitu katili sana nyuma ya pazia, na kwa umafia ka leftisha watu wengi, eti kameenda kuhiji Macca, unafiki mtupu.
Ningekuwa malaika wa adhabu ningeanza kukaadhibu kuanzia duniani na kasipate nafasi ya kutubu.
Alionuesha unafiki wake siku ya msiba wa Late CEO. Anajieleza kuwa alishtushwa sana nabtaarifa za msiba huku kila mwenye akili anajua yeye ndo master wa ile plan.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mhusika ameamua kumpa cheo kikubwa zaidi ya Bt coz Bwana was mapete inatafsiri kubwa Sana kiroho!

Kama mhusika kavaa pete tatu au mbili zikiwa na maana ya kiroho ya ulinzi,utawala,kukubalika na Ile ya ndoa bas IPO haja ya kumuita lord of the rings kama alivomuita!!

Kwa wale wajenzi huru ama waliingia kwenye utawala kwa msaada wa deep elites wa ulimwengu was pili baada ya huu yaani huko waendako watu baada ya kufa uvaaji pete sio ajabu kwao!una maana yake!

Nadhani hadi Sasa huwezi kalia kiti bila hiyo mipango japo duru za kiroho zinaonyesha hapo mbeleni utawala was kiroho uliodumu Kwa miaka mingi utaanguka na kuja utawala wa kiroho mpya was outerspace universe ambapo inaaminika masihi alipaa kuelekea huko!!

Kuanzia 2025 Hadi 2035 tutaziona dalili hizi mungu akipenda!!


Aaaaa sawa asante , Mr Bt adui wa Pk.

Usijali mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI yeyote yule mwenye kuzifungua code.

kwa nini aitwe lord rings?
na hizi rings za pete, za mkononi au rings zipi?
BT
 
Йога, вы именно имели в виду 11:00 в понедельник, 13 декабря 2023 года, или вы упомянули 2025 год как закодированную информацию?

"Yoga, vy imenno imeli v vidu 11:00 v ponedel'nik, 13 Dekabrya 2023 goda, ili vy upomyanuli 2025 god kak zakodirovannuyu informatsiyu?"
Yoga est magnus mendax.
Noli ei credere.
 
yogaaaaaa
20230615_104559.jpg
 
Back
Top Bottom