Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ukitazama kwa macho ya ndani kabisa utaona mfumo uliojipanga kututawala milele iwe iweje.
Nchi sasa inaenda vile walio juu wanataka si takwa la raia.
Hakuna vipaumbele muhimu na kibaya zaidi hayupo mwenye uchungu na rasilimali za kitaifa.
Hivi kiongozi unapokuwa mfanyabiashara conflict of interest inaiondoaje kwenye kufanya maamuzi?
Au kuwa na lengo la kujinufaisha wewe na familia yako . Huoni unatengeneza tatizo la vizazi na vizazi au ndio hakuna uchungu
 
Tuna hasara taslimu kama Taifa.
 
Huwezi ukawa na uchungu nazo!pale unapokuja kugundua karibu asilimia 80% ya ardhi yote nchini inamilikiwa na kanisa kubwa!

Yaani strategic areas za kiuchumi zilishachukuliwa na kanisa lililomlea Nyerere tangu Nyerere akiwa mseminari!

Utasikia msitu fulani eneo la mission lumber Kuna madini!

Hao wanaokuja kuwekeza na wao ni wabia was kanisa Kwa siri na kanisa linapata mgao Toka kwao!

Kifupi rasilimali zilishachukuliwa tangu zamani Santa hat hapo ulipojenga unaish deep down unaishi Kwa hisani TU sio eneo lako siku serikali iliyowekwa na kanisa ikitaka kuichukua hiyo ardhi huna ujanja!!

Viongozi wetu wanakutana na majaribu ya siri kubwa kubwa ambazo wakishachanganyikiwa na wao huchota Kwa mstakabali wa kizazi chao Tena wanachota Kwa kubunja miiko ya serikali iliyowekwa na kanisa tangu zamani!!

Ndio maana kila mvaa kanzu akiingia lazima kanisa lipige kelele coz wanajua hatolinda maslahi yetu!akiingia mseminari hata kama ni katili wananyuti as long as ardhi Yao madini Yao na Mali zao zinalindwa na kijana wao hata akikuua wewe wanapata hasara gani!!?

Wavaa kanzu wanalijua hilo wakiingia wanachota tu coz wanajua watz hawana chao,Chao Kila chukuliwa tangu enzi za Nyerere!

Hata hiyo bandari ni yao na maeneo yote Tanzania ni yao ndio maana akiingia mpigaji kinyume na matarajio Yao kelele zinaanza!!!

Hasta wewe Leo hii ukiingia ikulu ukasoma yaliyomo Kwa kina hutokua na mawazo hayo!!

Utaanza kuwaza changu ni kipi!!?maana vyote vilishachukuliwa changu ni kipi!!?

SOURCE

Vile ninavyofikiri na ninavoona mienendo ya viongozi no kama wamechanganyikiwa Kwa ukweli na siri fulani walizoweka mioyoni,mtu unakopa mapesa mnayaiba Tena yaani mnaiba mkopo ilinwalipe watz,unafikiri hiyo ni kawaida!!?yaani kisaikolojia ni kwamba anawaza"kuwapa watz maisha wanayotaka ni ndoto za mchana coz hapa Kila kitu kilishachukuliwa kabla hata ya uhuru,na Mimi nichote changu"!!

Matendo ya viongozi na anasa zao ni ugonjwa unaotokana na siri zilizomo vifuani mwao!!!

I rest my case!!
A respect you.. Mawazo yako yako na uchungu mwingi. Japo sijajua Kanisa hili linamiliki nini na wapi?
 
NEW CEO HAWEZI KUMZIDI MBINU OLD CEO.OLD CEO ALIKULA NCHI SANA BUT ALITOA AJIRA NA AKAACHIA PESA.HUYU MZAZIBARI ANAANGALIA MASLAHI YA ZENJI, KAMPUNI IMESHAMSHINDA.TUNAMTAKA MTU KAMA OLD CEO TUPATE AJIRA NA MZUNGUKO WA PESA.
Old CEO Juzi nimemuona anaongea na Rais Tshekedi wa DRC nikajua hapa wakina Katumbi lazima waangue kilio cha kupigwa kwenye Uchaguzi.
Mwaka 2022 kule Kenya qkishirikiana na Swaiba wake Rosti Maini wamemliza Mzee Odinga kwa kumuweka Ruto kwenye kiti![emoji1787]
Mama Kizimkati akae kwa kutulia,anacheza na Mamba mtoni!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Old CEO anajua akiingia katumbi ata m favor Mr slim yule mrefu wa nchi ya milima isiyo na kitu ambae ni adui wa miaka mingi was Bt!

Ndio maana Tshesekedi kapiga u turn!matokeo ya mwanzo yalionyesha katumbi anachukua lakini nadhani tshesekedi atakua kaambiwa ACHA uzembe huwezi kuachia Dola kizembe tupo tutakusaidia kabisa kupambana na ok na huyo katumbi!!

Ngoja tuone!
 
Hahahaha
 
Hawezi kujua na kwa taarifa yako alitaka kujua na akashindwa kujua
😂😂😂achana na story za vijiweni basi,achia vijana wenye ndoto za kuoa wanawake wenye makalio makubwa,labda kama unataka tukuandikie kila kitu hapa,kwa malengo yako.

hakuna idara ama taasisi yoyote unayoijua wewe,rais atataka maelezo yake akafichwa,iwe kwa masalahi binafsi ama mapana ya taifa.

ndio maana wengine wanataka mamlaka hayo yapunguzwe.huyo mama yenu kapitia alipopita na wala hakuwa undercover,alikuwa afisa wa kawaida tu,ambaye hata akijulikana na mfanya usafi ikulu hakuna tatizo.
 
Tafsiri kwa msaada wa Google translate.

Yoga, je, ulimaanisha saa 11:00 siku ya Jumatatu, Desemba 13, 2023, au ulitaja 2025 kama maelezo ya msimbo?

Inaonekana lord rings ni kajitu katili sana nyuma ya pazia, na kwa umafia ka leftisha watu wengi, eti kameenda kuhiji Macca, unafiki mtupu.
Ningekuwa malaika wa adhabu ningeanza kukaadhibu kuanzia duniani na kasipate nafasi ya kutubu.
Tatizo la dini zipo kama dhana tu.
 
Old CEO anajua akiingia katumbi ata m favor Mr slim yule mrefu wa nchi ya milima isiyo na kitu ambae ni adui wa miaka mingi was Bt!

Ndio maana Tshesekedi kapiga u turn!matokeo ya mwanzo yalionyesha katumbi anachukua lakini nadhani tshesekedi atakua kaambiwa ACHA uzembe huwezi kuachia Dola kizembe tupo tutakusaidia kabisa kupambana na ok na huyo katumbi!!

Ngoja tuone!
Kwaiyo kete za Kijasusi zinasukumwa kiufundi kati ya Majasusi mawili hatari ya Afrika Mashariki BT na PK!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
R
Old CEO Juzi nimemuona anaongea na Rais Tshekedi wa DRC nikajua hapa wakina Katumbi lazima waangue kilio cha kupigwa kwenye Uchaguzi.
Mwaka 2022 kule Kenya qkishirikiana na Swaiba wake Rosti Maini wamemliza Mzee Odinga kwa kumuweka Ruto kwenye kiti![emoji1787]
Mama Kizimkati akae kwa kutulia,anacheza na Mamba mtoni!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mmiliki wa tiGo na Zantel
 
Back
Top Bottom