TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hii kampuni...inakuwaje sembe linapatikana kirahisi sana namna hii. Wakati tuliambiwa...Mashine zote za kukoboa na kusanga zimefungiwa!? Au wale waliorudi kutoka ng'ambo na makeke ndiyo wamefanikiwa zikomboa Mashine za kusaga na kukoboa?Ila vijana na soga zenu bana [emoji4]