Unamaanisha nn mkuu msoga gang wamefanya jambo?Saa ipo, kama haipo yajaa..
Kuna vicheko na nderemo saigon
Watu wanapiga cheers... Hakionekani kitu Ila ni sauti za shangwe tu wamefanikiwa kusikia.
Kigogo media ni taasisi ya check and balance,yaani wana leta fear factor kiongozi asiharibu Sana.kumuonya pia!!!Je Kigogo Media na Yoga ajenda yao ni moja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote yanawezekana, "ndio,wastani au sio"Kigogo media ni taasisi ya check and balance,yaani wana leta fear factor kiongozi asiharibu Sana.kumuonya pia!!!
Nadhani hiyo media imeanzishwa Baada ya kuona madhara ya katiba iliyopo ni makubwa coz viongozi wakubwa ni untouchables!!
Yoga anaweza akawa sehem Yao au member was TISS anaetumiwa na DS Kwa kujua au kutokujua Ili kuleta imani fulani ya mambo fulani yalivyo au yalivyokua japo inaweza isiwe sawa Kwa asilimia zote coz Kuna baadhi ya matukio yanaweza yakawa twisted ili kuleta uelewa fulani wanaotaka jamii ielewe Ili wakianza like wanachotaka wanajamii elites walipo humu wasijulize ninkwanini!!!
Yaani kabla hawaja implement plan zao lazima wahakikishe jamii inaelewa Nini kinaendelea hata kwa codes kama hivi!!
Kama Enzo za late CEO ilivokua kwanza wali damage reputation take Kwa jamii kupitia media then next stage execute ikafanyika!!na watu wakashangilia kutokana na Ile plan ya reputation damage ilivyofanikiwa!!
Kigogo media ni taasisi ya check and balance,yaani wana leta fear factor kiongozi asiharibu Sana.kumuonya pia!!!
Nadhani hiyo media imeanzishwa Baada ya kuona madhara ya katiba iliyopo ni makubwa coz viongozi wakubwa ni untouchables!!
Yoga anaweza akawa sehem Yao au member was TISS anaetumiwa na DS Kwa kujua au kutokujua Ili kuleta imani fulani ya mambo fulani yalivyo au yalivyokua japo inaweza isiwe sawa Kwa asilimia zote coz Kuna baadhi ya matukio yanaweza yakawa twisted ili kuleta uelewa fulani wanaotaka jamii ielewe Ili wakianza like wanachotaka wanajamii elites walipo humu wasijulize ninkwanini!!!
Yaani kabla hawaja implement plan zao lazima wahakikishe jamii inaelewa Nini kinaendelea hata kwa codes kama hivi!!
Kama Enzo za late CEO ilivokua kwanza wali damage reputation take Kwa jamii kupitia media then next stage execute ikafanyika!!na watu wakashangilia kutokana na Ile plan ya reputation damage ilivyofanikiwa!!
Upo kitengo gani pale LUMUMBA?Kigogo media ni taasisi ya check and balance,yaani wana leta fear factor kiongozi asiharibu Sana.kumuonya pia!!!
Nadhani hiyo media imeanzishwa Baada ya kuona madhara ya katiba iliyopo ni makubwa coz viongozi wakubwa ni untouchables!!
Yoga anaweza akawa sehem Yao au member was TISS anaetumiwa na DS Kwa kujua au kutokujua Ili kuleta imani fulani ya mambo fulani yalivyo au yalivyokua japo inaweza isiwe sawa Kwa asilimia zote coz Kuna baadhi ya matukio yanaweza yakawa twisted ili kuleta uelewa fulani wanaotaka jamii ielewe Ili wakianza like wanachotaka wanajamii elites walipo humu wasijulize ninkwanini!!!
Yaani kabla hawaja implement plan zao lazima wahakikishe jamii inaelewa Nini kinaendelea hata kwa codes kama hivi!!
Kama Enzo za late CEO ilivokua kwanza wali damage reputation take Kwa jamii kupitia media then next stage execute ikafanyika!!na watu wakashangilia kutokana na Ile plan ya reputation damage ilivyofanikiwa!!
Kigogo WA Siku hizi anaposti ishu za udaku Kama mange kimambiila mkuu mimi sidhani kama siku hizi yupo yule kigogo wa enzi zile... mpaka muda mwingine nikawa nahisi huenda kigogo alikuwa DELILA mwenyewe...!
kigogo wa siku hizi amepoa sana...! na account ya kigogo wa enzi zile siku hizi haipo hewani...!
🙅Huu ndiyo ukweli wenyewe,hakuna mtu smart kwa Sasa ndani ya KAMPUNI wa kumuweza PAKA zaidi ya MR BON TOWN,akifa Mr Born Town Nchi itakuwa rasmi koloni la PK.
Ndugu kp unammanya vizuri,sio mwana diplomacy kazoea kufinya na mitutu.Usiombee jambo hilo litokee ukisikia Ma mastermind wa inner circle ya Africa Kp yumo,sio kitoto aliemvunja nguvu 201Os Mr born town Congo m23 bifu lao ni kubwa.Ana kiu kubwa ya wealth harbor kuvusha manune yake.Bi mkubwa kajichanganya hakuna urafiki wa simba na swala ni suala la muda,Jiwe mwenyew na kichwa kigumu ila alimkimbia.Naona kuna mizigo yake mashine zilikamatwa bongo Maza kaziruhusu zimepita.Akidanja Mr borntown rasmi tunaingia utumwani na taifa linakuwa uchi,ni vema angetawaliwa na mbwa kuliko kutaka kumuua mbwa umfuge simba ❌.mark this quoteWacha tu iwe koloni lake, labda kutakuwa na unafuu. Kwan saiz ambapo kampuni ipo chini ya bontown sisi tunafaidika nn,, kila sku vitu vinapanda bei,, ajira za kumulika na tochi, wao wanalipana mabilion ya fedha kila kunapokucha......zuri lisilonafaida ni sawa na baya lisilokudhuru
yule sio kigogo...ila anaenda na Beat...Kigogo WA Siku hizi anaposti ishu za udaku Kama mange kimambi
Lakini naye anasiku nyingi za uzima ama za mamlaka?Ndugu kp unammanya vizuri,sio mwana diplomacy kazoea kufinya na mitutu.Usiombee jambo hilo litokee ukisikia Ma mastermind wa inner circle ya Africa Kp yumo,sio kitoto aliemvunja nguvu 201Os Mr born town Congo m23 bifu lao ni kubwa.Ana kiu kubwa ya wealth harbor kuvusha manune yake.Bi mkubwa kajichanganya hakuna urafiki wa simba na swala ni suala la muda,Jiwe mwenyew na kichwa kigumu ila alimkimbia.Naona kuna mizigo yake mashine zilikamatwa bongo Maza kaziruhusu zimepita.Akidanja Mr borntown rasmi tunaingia utumwani na taifa linakuwa uchi,ni vema angetawaliwa na mbwa kuliko kutaka kumuua mbwa umfuge simba [emoji777].mark this quote
Wewe ni mtumishi,
Hupaswi kuishi Kwa dhana.
Roho mtakatifu yupo, Muulize atakujibu ikiwa ni Kweli Dar itaangamia au la!!
Mimi niliuliza na nikajibiwa. Nasubiri kusikia Kutoka kwako pia.
Usitudanganye na wee, huyo born town ana lipi la maana km sio kufaidi cake ya taifa yeye binafsi na watu wake.Ndugu kp unammanya vizuri,sio mwana diplomacy kazoea kufinya na mitutu.Usiombee jambo hilo litokee ukisikia Ma mastermind wa inner circle ya Africa Kp yumo,sio kitoto aliemvunja nguvu 201Os Mr born town Congo m23 bifu lao ni kubwa.Ana kiu kubwa ya wealth harbor kuvusha manune yake.Bi mkubwa kajichanganya hakuna urafiki wa simba na swala ni suala la muda,Jiwe mwenyew na kichwa kigumu ila alimkimbia.Naona kuna mizigo yake mashine zilikamatwa bongo Maza kaziruhusu zimepita.Akidanja Mr borntown rasmi tunaingia utumwani na taifa linakuwa uchi,ni vema angetawaliwa na mbwa kuliko kutaka kumuua mbwa umfuge simba [emoji777].mark this quote
Ndugu kp unammanya vizuri,sio mwana diplomacy kazoea kufinya na mitutu.Usiombee jambo hilo litokee ukisikia Ma mastermind wa inner circle ya Africa Kp yumo,sio kitoto aliemvunja nguvu 201Os Mr born town Congo m23 bifu lao ni kubwa.Ana kiu kubwa ya wealth harbor kuvusha manune yake.Bi mkubwa kajichanganya hakuna urafiki wa simba na swala ni suala la muda,Jiwe mwenyew na kichwa kigumu ila alimkimbia.Naona kuna mizigo yake mashine zilikamatwa bongo Maza kaziruhusu zimepita.Akidanja Mr borntown rasmi tunaingia utumwani na taifa linakuwa uchi,ni vema angetawaliwa na mbwa kuliko kutaka kumuua mbwa umfuge simba [emoji777].mark this quote
Nadhani kutwaliwa kwa late CEO sio mfano halisi katika nadharia yako mkuu.Kigogo media ni taasisi ya check and balance,yaani wana leta fear factor kiongozi asiharibu Sana.kumuonya pia!!!
Nadhani hiyo media imeanzishwa Baada ya kuona madhara ya katiba iliyopo ni makubwa coz viongozi wakubwa ni untouchables!!
Yoga anaweza akawa sehem Yao au member was TISS anaetumiwa na DS Kwa kujua au kutokujua Ili kuleta imani fulani ya mambo fulani yalivyo au yalivyokua japo inaweza isiwe sawa Kwa asilimia zote coz Kuna baadhi ya matukio yanaweza yakawa twisted ili kuleta uelewa fulani wanaotaka jamii ielewe Ili wakianza like wanachotaka wanajamii elites walipo humu wasijulize ninkwanini!!!
Yaani kabla hawaja implement plan zao lazima wahakikishe jamii inaelewa Nini kinaendelea hata kwa codes kama hivi!!
Kama Enzo za late CEO ilivokua kwanza wali damage reputation take Kwa jamii kupitia media then next stage execute ikafanyika!!na watu wakashangilia kutokana na Ile plan ya reputation damage ilivyofanikiwa!!
Ukiona Mungu amemleta ujumbe kuhusu kuangamia Kwa mji, anawapenda na Nia ni watu watubu ,wafuate maelekezo ayatakayo.Hizi lugha za maono ngumu sana kuzielewa. Mkuu rahisisha ili sisi kama raia ikifika April tuanze kuhama jijini.
AiseeYale yaleee ya yule jamaa wa fb anajiita Gemius,mganga na mtabiri,alitabiri kifo sijui cha nan na hakuna lolote matapeli tu hao.