Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Mkuu Rabbon hii ni January vipi ww mali zako zisizo hamishik Dar umeshauza?
Ukiona Mungu amemleta ujumbe kuhusu kuangamia Kwa mji, anawapenda na Nia ni watu watubu ,wafuate maelekezo ayatakayo.
Uturuki hawakupewa taarifa, ilikuwa tu ghafula. Fuatilia channel ya mtumishi huyo Kuna maelekezo anatoa nini Cha kufanya Ili uwe salama.
Mimi niliuliza kupata uthibitisho wa unabii huo, nikajibiwa kuwa ni Kweli kitu Inakuja.
Ni kukaa Kwa tahadhari sababu Umepewa Hadi tarehe na mwtare