Mgaratia Wa bongo
Member
- Oct 4, 2020
- 72
- 76
Ilikuwa mwaka gani hiyo ilitukia?
Ni nchi gani hiyo?
Nani aliye pelekwa hospitali?
Hiyo hospitali aliyopelekwa ilikuwa ya nchi yake au nje ya nchi?
Luhaga Mpina anataka ufanyike Uchunguzi huru juu ya suala hili.Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Nadhani usifanyike kipindi hiki cha utawala wa Delilah, mhalifu anaweza kujichunguza? Na hata ukifanyika utakuwa ni wa kujisafisha BT na genge lake.Luhaga Mpina anataka ufanyike Uchunguzi huru juu ya suala hili.
Ndo maana prof tangu wakati huo ameanza kuongea kama punguani bila kushirikisha ubongo kwa sababu ya damu inayomlilia....So tarehe ikapangwa, mwenyekiti akapewa feed back, preparation zikaanza kufanyika kuelekea kwenye meeting husika!! This is huge!!
The old CEO was very happy kuskia habari hii njema! Since heplaned all this all the way along!! akawaachia kazi vijana wake wamalize mchezo!
Unamkumbuka kijana aliyepewa kazi yakumfanya mwenyekiti wa kampuni pinzani aombe meeting na the targeted CEO[emoji57][emoji57]
Huyu ni assistant wa mwenyekiti, lakini kimuundo nikama anaushawishi mkubwa sana ndani ya kampuni husika!! Iinspite of him kuwa assistant anaambition ya kuwa owner pia wa kampuni hii!!
So he wantend to play the game well ili at the end of the day achukue uskani!! Huyu aliwahi kuwa kwenye kampuni flani ambayo ni very big company mshindani mkuu zaid wa existing company ya the targeted big boss CEO!
Alifukuzwa Kwenye kampuni hiyo kwa kusnich taarifa za kampuni husika akiwa na lengo hilo hilo ambalo analitaka sasa! Kupindua uongozi[emoji849][emoji57][emoji57]
So the old CEO used him that time, na he was using him in the moment!!
Baada ya kutoa taarifa kwa the old CEO alipokea notification haraka kutoka kwa vijana wa the old CEO afike moja ya hotel kubwa ufukweni mwa bahari kwa maelekezo zaid!
One thing the old CEO was good at , ni kuplay the game all along without being noticed!! You know why and how!! He is a well trained spy and a mafia kitambo sanaaaaaaa!! And he has connections[emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30]
So kwa kijana mtumiwa the Funny thing is, alijua yeye anashiriki kama mtoa taarifa kumbe jamani! [emoji13][emoji13][emoji13] He was the one setting the trap without knowing!!
Kijana akaenda kwenye meeting kama notification alivyomwelekeza! he met one of the guys from the other team, akamwambia kwenye hiyo meeting kuna hiz documents mpatie mwenyekiti wako hizo ndio akazipresent kwa the CEO!
Akaambiwa if these docent will be well received, na biashara kufanyika, we apromiising you a best possition in the company!!
Kijana aka smile akazipokea documents zile with exitemt. Ali dream of his position since at the moment ni mtu tu mwenye ushawishi in the company but hana maslahi ya kueleweka
Document zilikuwa zinaonyesha mapendekezo ya how wanaweza fanya joint hizo za kibiashara, kulikuwa na document za aina mbili, one ni bundle of summary ya the whole joint venture, na bundle la pili zilikuwa ni well detailed expalanations on how these two companies may unite and work together and have huge profit in the future!!
So kijana akapewa a litlle bit presentation ya kilichomo mule ili nayeye akatoe presentation kwa mwenyekiti, ingawa pia mwenyekiti alikuwa na prepared issues zake za kumwambia CEO
So he took the documents in bags, nakala mbili, one for them na nyingine ni refernece kwa CEO zikiwa seald!
Kijana aliondoka and He went and present the whole issue kwa mwenyekit! Ile presentation ilimgusa sana mwenyekiti nakumsifia sanaaaa kijana kwa good preparation and presentation!!
Funny thing hakujua muandaaji wa documents zile sio huyo kijana[emoji12]
Tarehe ikafika mwenyekiti na team yake waka chukua flight mpaka nyumbani kwa the boss! Wakapitia protocal zoote na wakawa veryfied kuonana na the CEO maana ulinzi ulikuwa mkali balaaa!! [emoji849][emoji849][emoji849]
So ikafika chance these two wakakutana!! Wakaongea for almost four hours, mwenyekiti akamkabidhi nakala ya documents CEO zille seald akamsihi azisome!! Kama kuna sehemu hakuelewa kupitia document zile kuna a very good detailed expalnation ataelewa!!
The meeting was very succesfull!! Kila upande ulitoka na statement ya furaha!! The future was bright[emoji849][emoji849][emoji849] kumbe the future was dark!![emoji12][emoji12]
So mwenyekiti alibaki na nakala zake and CEO alibaki pia na nakala zake!! Wakati mwenyekiti anarudi, akaamua apitie document zile hasa zile zenye detailed explanation!! Boss akawa anajisomea taratibu.
kafika town vizuri tu!! Ila within two weeks!! Hali ikabadilika! He was Rushed to the hospital but in few days majonziiiiiiii! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
The news came back to the CEO, he was shoked mbaya sana!!
Aksed him self how?? Mbona hii kama ile ya wanzo?? he felt vita imemfuata kwake!! Aliandaa statement ya kuguswa na ondoko la mwenyekiti but deep down akaona huu sasa ujinga huu!! He decided kutoka kwake na kurudi town ili aanzishe mashabulizi mwenyewe sasa[emoji51][emoji51][emoji51]
So akawasha gari zake from his home to town, njiani anajiandaa kwenda akapata wazo la kuchukua zile documents alizopewa na mwenyekiti azipitie ili akifika town kwa kujali uhusiano mwema awaite representatives wa kampuni hiyo awape pole na wafikie terms[emoji22][emoji22]
He oppened the documents na kuzipitia pitia mdogo mdogo! But also decided to call kijana wake ampe updates on what is goin on!! Kijana akamsihi boss usije kwanza mambo sio mambo!!
Boss akasema nooo!! Am coming!! I will run the whole opration myself kama umeshindwa!!
Kafika mjini salama!! chakwanza akamuita deep informal!! Akamtuma amuite the old CEO wazungumze!!
Baadae Akamwita kijana wake, akamwambia a trace the phone calls za huyu (deep informal) kwakuwa amempa maelekezo amuite old CEO akitaka amtume akamwakilishe kwenye summit flan ya all companies nje ya nchi!!
Alitaka kujua wataongea nini kwenye simu hizo!! So wakaprepare vijana kufanya ya fuatayo
Mosi :- kutrace movements za informal
Pili :- kurecord all convos!!
Kumbe time was not on their side!! These peope were very smart and carefully!! waliweza kujua plan za team B mapema na kuchukua tahadhari!!
Two days zikakata wthout hard evedence, the ol CEO akachenga kuwa anashida ya kifamilia but atafika soon!! One week ikawa imekata harakati zikiendelea,
Sasa bwana CEO chest pain zikaanza[emoji22][emoji44][emoji44][emoji44] na ganzi flani hivi zisizo eleweka throught his body especially upande wakushoto!! Akalalamika lalamika kwa mwandani wake wakashauriana!!
Akamuita dactari wake, (yule daktari aliye shughulika na kipenzi chake three monthes ago[emoji857]) The doctor after reciving a call from the CEO!! he knew picha limeanza!! So he notified the old CEO. The old CEO called his team!! And said "the first symptoms have begun, stage three should be initiated"
Bwana bwanaaaa!! Mpango wa smooth transfer of power ukaanza!! Since they all know what they have done so far and what is about to go down.................[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Deep Informal akapigiwa simu! "You need to get out of the company from today, find any activitiy ukafanye out of the company hakikisha haupo hapo kwenye kampuni kwa siku kadhaa until we tell you so! [emoji849][emoji849]
The CEO is now sick!! ........
The deep informal is told to stay out!...
Kwanini??, Docta naye je ......
Best and sad part....... Badae!!
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20...
Ndo hivyo naamini naye hatakuwa na mwisho mzuri, vipi yule dokta mwingine mbona hasikiki popote au naye alipotezwa namaanisha dr mich...e au ni huyu huyu hili jina lilibuniwa tu kutupoteza maboya sisi vibwengoNdo maana prof tangu wakati huo ameanza kuongea kama punguani bila kushirikisha ubongo kwa sababu ya damu inayomlilia....
Ndiye huyu huyuNdo hivyo naamini naye hatakuwa na mwisho mzuri, vipi yule dokta mwingine mbona hasikiki popote au naye alipotezwa namaanisha dr mich...e au ni huyu huyu hili jina lilibuniwa tu kutupoteza maboya sisi vibwengo
We know all the story and who you are talking about.Kikwete hataishi milele at some time he will have to go either by force or by the will of God.Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Puguza jazzba mzee baba...We know all the story and who you are talking about.Kikwete hataishi milele at some time he will have to go either by force or by the will of God.
Mzee heshima yakoWe know all the story and who you are talking about.Kikwete hataishi milele at some time he will have to go either by force or by the will of God.
🙏Mzee heshima yako
Muda ni mwalimu tosha.Ndo maana prof tangu wakati huo ameanza kuongea kama punguani bila kushirikisha ubongo kwa sababu ya damu inayomlilia....
Mkuu asante kwa kudadavua, mimi naomba kuuliza,Palestine ni kigiriki cha neno Phillistia/Phillistine.
Hiyo nchi mwanzoni ilikuwa inaitwa Caanan. Baadae ikaitwa Israel. Wacaanan wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.
Wafilisti (wa enzi za Biblia), ni uzao wa Mizraim (ancient Egypt), na ni uzao wa Ham mtoto wa Noah.
Wafilisti wa enzi za Biblia, walihamia hapo, na walichukua eneo dogo sana la nchi ya Canaan. Waliwasogeza kidogo wacaanan, na walikuwa na miji mitano maneo ya pwani ya kusini (mji mojawapo uliitwa Gaza).
Watoto wa Ham ni watu Weusi. Ancient Egypt (Mizraim), ancient Ethiopia (Cush), ancient Libya (Phut), ancient Caanan (Tyre, Sidon, Phoenicia), walikuwa jamii za waafrika weusi na sio waarabu.
Note that alielaaniwa ni Canaan, na sio Ham.
Wapalestina wa leo ni waarabu, na sio wafilisti wa enzi za Biblia.
Waarabu ni watoto wa Shem. Wazungu ni watoto wa Japheth.
Wayahudi na waisraeli wa enzi za Biblia ni watoto wa Eber, ambaye ni uzao wa Shem.
Waarabu wa north Africa, walihamia eneo la north Africa, mainly kwenye karne ya saba na onwards (wakitokea middle east).
Sehemu kubwa ya wayahudi na waisraeli wa leo ni wazungu walioichukua dini ya kiyahudi (sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia), na wengi wao waliichukua dini ya kiyahudi zaidi ya miaka 1,000 iliyopita (na wayahudi wa leo wenye middle eastern origins, wengi wao sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia).
Dini hiyo ya kiyahudi walioichukua sio ile ya Agano la Kale pure, ni imechanganywa na mafundisho potofu mengi sana, na inapotosha na kumpinga vibaya sana Masiha wa kweli ambae ni Bwana Yesu Kristo. Dini ile ya Agano la Kale pure, ingewaleta kwa Bwana Yesu Kristo, na kwenye Agano Jipya.
Caliph Abd al-Malik ibn Marwan hakutakiwa kujenga kitu kwenye Temple mount. Ila alijenga msikiti ambapo ndani yake kuna maandishi yameandikwa ambayo yanaipinga sana Biblia.
Kunatakiwa kusiwe na jengo kwenye Temple mount.
Wayahudi wa leo wanataka kuvunja hiyo misikiti (iliyoko kwenye Temple mount), ili wajenge hekalu la kiyahudi (hekalu la tatu). Hili hekalu la tatu, sio halali kibiblia (ingawa linaungwa mkono kisirisiri na watawala wengi wa nchi za magharibi, including Jesuits na Freemasons).
Na hiyo misikiti kibiblia haitakiwi kabisa kabisa kuwa hapo.

Ancient Caanan sio nchi ya waarabu, na ancient Israel sio nchi ya waarabu. Na wapalestina wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.
Nadhani wajaribu kutafuta njia ya kusuluhisha huu mgogoro kwa amani, huku wakitambua historia halisi yae eneo hilo.
Na huku Afrika na Tanzania tusiache kupendana kwasababu ya huu mgogoro, ni vizuri tujue historia yake halisi.
Kuhusu historia ya huu mgogoro, soma hiki kitabu, ingawa jamaa anakosea mahali pengine:
Dark Crusade, Christian Zionism and US Foreign Policy, by Clifford A Kiracofe, Jr (Author).
Kuna hiki kingine: The Thirteenth Tribe: The Khazar Empire and its Heritage, Arthur Koestler. Ingawa na huyu nae huenda kakosea mahali pengine.
Mungu ni mwingi wa Rehema, Dar es Salaam ipo salama kwa Damu ya Yesu KristoWakazi wa Bandari salama, kimbieni haraka kabla haijawa Hali Tete zaidi.
Israel kwenye biblia walitabiriwa kwenda ulaya kama adhabu na watarudi sasa unavyosema wale sio wayahudi unatumia kigezo kipiPalestine ni kigiriki cha neno Phillistia/Phillistine.
Hiyo nchi mwanzoni ilikuwa inaitwa Caanan. Baadae ikaitwa Israel. Wacaanan wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.
Wafilisti (wa enzi za Biblia), ni uzao wa Mizraim (ancient Egypt), na ni uzao wa Ham mtoto wa Noah.
Wafilisti wa enzi za Biblia, walihamia hapo, na walichukua eneo dogo sana la nchi ya Canaan. Waliwasogeza kidogo wacaanan, na walikuwa na miji mitano maneo ya pwani ya kusini (mji mojawapo uliitwa Gaza).
Watoto wa Ham ni watu Weusi. Ancient Egypt (Mizraim), ancient Ethiopia (Cush), ancient Libya (Phut), ancient Caanan (Tyre, Sidon, Phoenicia), walikuwa jamii za waafrika weusi na sio waarabu.
Note that alielaaniwa ni Canaan, na sio Ham.
Wapalestina wa leo ni waarabu, na sio wafilisti wa enzi za Biblia.
Waarabu ni watoto wa Shem. Wazungu ni watoto wa Japheth.
Wayahudi na waisraeli wa enzi za Biblia ni watoto wa Eber, ambaye ni uzao wa Shem.
Waarabu wa north Africa, walihamia eneo la north Africa, mainly kwenye karne ya saba na onwards (wakitokea middle east).
Sehemu kubwa ya wayahudi na waisraeli wa leo ni wazungu walioichukua dini ya kiyahudi (sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia), na wengi wao waliichukua dini ya kiyahudi zaidi ya miaka 1,000 iliyopita (na wayahudi wa leo wenye middle eastern origins, wengi wao sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia).
Dini hiyo ya kiyahudi walioichukua sio ile ya Agano la Kale pure, ni imechanganywa na mafundisho potofu mengi sana, na inapotosha na kumpinga vibaya sana Masiha wa kweli ambae ni Bwana Yesu Kristo. Dini ile ya Agano la Kale pure, ingewaleta kwa Bwana Yesu Kristo, na kwenye Agano Jipya.
Caliph Abd al-Malik ibn Marwan hakutakiwa kujenga kitu kwenye Temple mount. Ila alijenga msikiti ambapo ndani yake kuna maandishi yameandikwa ambayo yanaipinga sana Biblia.
Kunatakiwa kusiwe na jengo kwenye Temple mount.
Wayahudi wa leo wanataka kuvunja hiyo misikiti (iliyoko kwenye Temple mount), ili wajenge hekalu la kiyahudi (hekalu la tatu). Hili hekalu la tatu, sio halali kibiblia (ingawa linaungwa mkono kisirisiri na watawala wengi wa nchi za magharibi, including Jesuits na Freemasons).
Na hiyo misikiti kibiblia haitakiwi kabisa kabisa kuwa hapo.
Kunatakiwa kusiwe na jengo kwenye Temple mount.
Ancient Caanan sio nchi ya waarabu, na ancient Israel sio nchi ya waarabu. Na wapalestina wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.
Nadhani wajaribu kutafuta njia ya kusuluhisha huu mgogoro kwa amani, huku wakitambua historia halisi yae eneo hilo.
Na huku Afrika na Tanzania tusiache kupendana kwasababu ya huu mgogoro, ni vizuri tujue historia yake halisi.
Kuhusu historia ya huu mgogoro, soma hiki kitabu, ingawa jamaa anakosea mahali pengine:
Dark Crusade, Christian Zionism and US Foreign Policy, by Clifford A Kiracofe, Jr (Author).
Kuna hiki kingine: The Thirteenth Tribe: The Khazar Empire and its Heritage, Arthur Koestler. Ingawa na huyu nae huenda kakosea mahali pengine.
DNA zilipimwa na wakagundua hao sio waisraeliIsrael kwenye biblia walitabiriwa kwenda ulaya kama adhabu na watarudi sasa unavyosema wale sio wayahudi unatumia kigezo kipi
Wanasema wale ni wayahudi sababu dna zao zinafanana wenzako wanatumia dna wewe unatumia hisia
Waarabu ni watoto was japhet na wazungu ni watoto was Shem,weusi ni.watoto wa Ham!source Book of enoch!Palestine ni kigiriki cha neno Phillistia/Phillistine.