Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Waarabu ni watoto was japhet na wazungu ni watoto was Shem,weusi ni.watoto wa Ham!source Book of enoch!
Vipi kuhusu wachina, wahindi, wajapani n.k??? Tumepewa akili na maarifa tutumie vizuri na siyo kuendeshwa na mihemko, papara na hisia za kidini!

Kwa maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa jinsi dunia lilivyopiga hatua kubwa, hivi vitabu vya kidini vitapitwa na wakati muda siyo mrefu!

Walichobakiza ni kuunganisha matukio na nukta ili yafanane na wakati huu tulionao, ila itafika mwisho!
 
Hii thread ninachoipendea huwa ipo katika nyanja zote, kidini kihistoria kimedani kijasusi kiasiasa na kimaendeleo, tunampongeza mwanzisha mada na haswa wachangiaji ambao tupo hapa tokea siku ile uzi huu ulipo anzishwa.

Huu uzi utadumu na kudumu na utakuwa marejea na hata ushahidi hapo kesho, kesho sio mbali ipo siku ukweli utajidhirisha.
 
[emoji2956][emoji2956]
 
Kuna mtu alitabiri mji wa Dar es Salaam kuangamia kati ya 20 April hadi 20 May 2024,
Akawaambia watu wauze mali zao kisha akatanga sehemu salama ni kuanzia Kibaha waende wakajenge huko wakimbie Dar 😂😂😂😂🤣🤣
Kwako Mwl Rabbon
 
Back
Top Bottom