Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mimi nitasubiria Hadi June 1 ndio nipate mwafaka was kuamini.au kutomwamini ndugu Boniface victor !
Naweza kudhubutu kumwita ni Nabii wa uongo bwana Boniface Victor, kulingana na 1 Yoh 4:1, Kum 18:20-22.
Majigambo kuwasema na kuwakejeli watumishi wa Mungu wa Dar es Salaam kwa wingi, kiko wapi?
Kwani leo tarehe gapi?
Nyeeee, Nyeeee "Dar es Salaam itaangamia kuanzia mara 1 Apr, mara kati ya 20 April - 20 May, ndipo mtajua mimi ni Ni Nabii Mussa nimetumwa na Mungu"
Asituletee ngonjera nyingine watakaomwamini huenda ni Wachaga wa Kiroho.
 
Attachments

  • Screenshot_20240521_162225_Chrome.jpg
    Screenshot_20240521_162225_Chrome.jpg
    1.4 MB · Views: 20
Je katika hawa Waheshimiwa ni yupi mmojawapo akipewa na Deep state au na Raia wa nchi kwa mjibu wa katiba ya JMT kuwa Rais wa Nchi yetu,
1. Hussein Ally Mwinyi.
2. George Simbachawene.
3. Dotto Biteko.
4. Anthony Mtaka.
5. January Makamba.
6. Innocent Bashungwa.
7. Zitto Kabwe.
8. Josephat Gwajima
Ni yupi anaweza ku fiti na kuifanya nchi yetu kupata maendeleo ya kiuchumi, kisayansi, kijeshi, rushwa kupungua nchini, rasilimali za nchi kunufaisha raia wengi?
 
M

Binafsi naona kama Hussein Mwinyi na Anthony Mtaka wana uwezo wa kutenda pasipo mashinikizo ya watu. Maana wanafanya kazi zao with minimum guidance ni kama hawategemei sana kujikomba kwa mtu ili wafanye kazi zao.
 
Aaaaaaaa sawa vizuri, mkuu Mnanguliti Cv ya Mheshimiwa Mtaka ikoje hasa?
Na kiungozi sifa zake zikoje zikoje maana nimejua juzi juzi akiwa mkuu wa Simiyu na Dodoma.
 
Je katika hawa Waheshimiwa ni yupi mmojawapo akipewa na Deep state au na Raia wa nchi kwa mjibu wa katiba ya JMT kuwa Rais wa Nchi yetu,
1. Hussein Ally Mwinyi.
2. George Simbachawene.
3. Dotto Biteko.
4. Anthony Mtaka.
5. January Makamba.
6. Innocent Bashungwa.
7. Zitto Kabwe.
8. Josephat Gwajima
Ni yupi anaweza ku fiti na kuifanya nchi yetu kupata maendeleo ya kiuchumi, kisayansi, kijeshi, rushwa kupungua nchini, rasilimali za nchi kunufaisha raia wengi?
Mwenye maono na logic anapozungumza na hasa akiwa mkali kiutendaji ni Josephat Gwajima anafaa!

Mwinyi ana utulivu Sana kichwani,lakini Tuhuma zake kule Zanzibar leaks sijajua ukweli wake Hadi Sasa au ndio kuchafuana!!

Mwinyi ana huruma na utu kabeba roho ya Baba yake!!!

Lakini Kwa maana ya akili maono na malengo ya kitaifa ya miaka 100 ijayo ni josephat tu !ukimsikia anaongea unaiona Tanzania mpya ikijijenga pole pole!
 
Aaaaaaaa sawa vizuri, mkuu Mnanguliti Cv ya Mheshimiwa Mtaka ikoje hasa?
Na kiungozi sifa zake zikoje zikoje maana nimejua juzi juzi akiwa mkuu wa Simiyu na Dodoma.
Dah mkuu hapo ndo magumu sana ila mi nimeangalia tu uwezo wake na utendaji wake kuhusu uwezo wa darasani ukweli sina A,B,C zake, napo pia kwa nchi yetu si issue sana maana hata aliyepo madarakani sasa elimu yake ni kama ya kuungaunga sana.

Nadhani watu wazuri wapi wengi sana wenye elimu lakini tatizo kubwa wamewaachia siasa hawa ngumbalu mwisho wa siku tunapata watu wasio na uwezo mkubwa wa kufanya mambo kisomi maana hata ukiangalia hiyo orodha uliyoitoa ni kama mwenye elimu ya kutosha ni kama mmoja tu wengine elimu zao ni kama za kumulika na tochi sana.
 
Naweza kudhubutu kumwita ni Nabii wa uongo bwana Boniface Victor, kulingana na 1 Yoh 4:1, Kum 18:20-22.
Majigambo kuwasema na kuwakejeli watumishi wa Mungu wa Dar es Salaam kwa wingi, kiko wapi?
Kwani leo tarehe gapi?
Nyeeee, Nyeeee "Dar es Salaam itaangamia kuanzia mara 1 Apr, mara kati ya 20 April - 20 May, ndipo mtajua mimi ni Ni Nabii Mussa nimetumwa na Mungu"
Asituletee ngonjera nyingine watakaomwamini huenda ni Wachaga wa Kiroho.
Mkuu

Mtu mwenye akili timamu kuongea kwa kujiamini hivyo sio Bure;-
1.Ni kweli anatumiwa na Mungu na amemtokea!

2.Utabiri ni WA kweli lakini hesabu za kutimia unabii huo sio za kweli ,labda kaona range ya mwezi was nne Hadi Tano mwaka huu kumbe ni mwaka mwingine kabisa!

3.Ametumiwa na system kumu indose mtu fulani hapo 2025 ili kupima upepo au jus signal vita ya urais ndani ya chama Ili aje apite aliekusudiwa!

Nadharia ni nyingi!

Move yake naifananisha na ya festo chinolo Ile iliyomtoa mbowe usiku wa mwezi march 2022 japo utabiri ulisema nyuki wataivaa ikulu na Mungu atamuweka aliemkusudia,Wengi tulidhani mengi sana lakini Mbowe akatolewa tu na jamaa festo chinolo akapotea hadi leo!!

Je nabii Boniface victor no Festo chinolo aliechangamka!!?

Au serikali ilitaka kuwaokoa watu na recurrent floods in Dar es salaam ilinwachukue tahadhari kupitia nabii huyu!!?
 
Mwenye maono na logic anapozungumza na hasa akiwa mkali kiutendaji ni Josephat Gwajima anafaa!

Mwinyi ana utulivu Sana kichwani,lakini Tuhuma zake kule Zanzibar leaks sijajua ukweli wake Hadi Sasa au ndio kuchafuana!!

Mwinyi ana huruma na utu kabeba roho ya Baba yake!!!

Lakini Kwa maana ya akili maono na malengo ya kitaifa ya miaka 100 ijayo ni josephat tu !ukimsikia anaongea unaiona Tanzania mpya ikijijenga pole pole!
Master NAMBA MOJA AJAYE NCHINI, Josephat Gwajima si Mromani Catholic je inawezekana kupata urais wa JMT nje ya Roman Catholic na Sunni?
Kingine Dotto Biteko ni mpole yule kweli?
Kuhusu Mwinyi Zanzibar ninaona mambo matatu,
1. Anaazisha mradi /miradi mingi Zanzibar, ambayo inapaswa kukamilika kwa muda mfupi yeye miradi yake kuisha mwendo wa kinyonga,
haiwezekani barabara ya kilomita 9 mwaka na zaidi unaenda haijakamilika, hakuna sehemu korofi, madaraja ni mawili tu tena ni vijidaraja,

Apewe Tanganyika miradi mikubwa mfano barabara kilomita 100 si atachukua miaka mitano anafanya miradi isiyo kamilika?

2. Ufisadi analalamikiwa sana, mfano mzuri tu, maswala ya medical check up Kwa Wafanyakazi Wa umma na wa sekta binafsi walikuwa wakifanyiwa hospitali ya Mnazi mmoja au hospitali yoyote ile mwajiri atakayoona inafaa,

hivi sasa unaambiwa mradi kauchukua yeye kampa mkewe na Waturuki, sehemu ya kufanyia check up ni mmoja tu, Migombani.
Issue ya ufisadi yeye na waliomzunguka wanalaumiwa, hachafuliwi, hata Ally Karume na Mzee Baraka Shamte wana ccm wenzake wamelalamika sana.
3. Inakuwaje Rais Mwinyi anawapenda saaaana Waturuki kuwatumia kwa wingi kwenye miradi mbalimbali?
Je kwa sababu amewahi kusoma kule?
Kwa nini asichanganye na watu wa mataifa tofauti tofauti?
Maana hadi tofali kufyatua Waturuki, uchimbaji wa Mawe kule Kandwi Waturuki, acha kwenye miradi mingine.
 
Mkuu Kwa Mwinyi Imani ndio kila kitu!uturuki ndio taifa pekee la ulaya lenye Wavaa kanzu wengi,kiimani mvaa kanzu ndugu yake ni mvaa kanzu!
Mwinyi ni kudra za njia ya baba ye ndio zinaweza mbeba!coz amekuwepo kwenye Kuta kimkakati kwa muda mreefu sana!

Doto Biteko ni aina ya watu ambao deep state Huwa wanawa indose na ana fanana kabisa ukimcheki!

Kile cheo sio kwa bahati mbaya amekipata Nina nadharia mbili;-

1.Ni Dr. Philip mpango wa 2026 kama mhusika hakutakiwa kugombea akagombea wakamwacha apite ili....!?Mzena 2026 !!!!?nadhani umenielewa!(wale jamaa wa spana wale 2026)

2.Kelele za NEC na pressure ya Dola kwenye mchakato wa 2025 ya kumpata mtia Nia imuibue Biteko!!!

Kuhusu Gwajima na nguvu ya kanisa kuu !Nina nadharia hizi;-

1.vita vya kidini na awamu ndani ya nec na pressure ya dola italeta kauli ya tukose wote apewe M protestant ndio aibuke!

2.Mtifuano ndani ya chama na serikali kupelekea RIP za watu ,wazee wakubwa wenye kauli ndani ya mchakato !top ten ya NEC ambayo imetawaliwa na Kanda ile wakaamua kumpigania mmoja wa Kanda Ile na mjoli mwenye ushawishi Sana kitaa hasa kiroho akapeta!hapa tusimsahau Inocent Bashungwa namuona ni threat kwa mjoli pia!!!

Nadharia zangu zinachagizwa na sauti za ndugu yangu Ally Hapi alipoenda huko mboka kijijini akawa anarudia "Nchi ipo salama mikononi mwa mkojani" anarudia kauli Ile mara tatu hadi nne kwenye hotuba moja,nilijiuliza sana"kwani haipo salama!?mbona anasisitiza Dana""!!?

Naona mengi ambayo siwezi yaandika hapa mengine !japo Afya ya namba Moja pia itaamua hatma ya mpeperusha bendera!!!!

Sisi waswahili tunasema kunako majaaliwa ya mwenyezi Mungu!
 
Mkuu Kwa Mwinyi Imani ndio kila kitu!uturuki ndio taifa pekee la ulaya lenye Wavaa kanzu wengi,kiimani mvaa kanzu ndugu yake ni mvaa kanzu!
Mwinyi ni kudra za njia ya baba ye ndio zinaweza mbeba!coz amekuwepo kwenye Kuta kimkakati kwa muda mreefu sana!

Doto Biteko ni aina ya watu ambao deep state Huwa wanawa indose na ana fanana kabisa ukimcheki!

Kile cheo sio kwa bahati mbaya amekipata Nina nadharia mbili;-

1.Ni Dr. Philip mpango wa 2026 kama mhusika hakutakiwa kugombea akagombea wakamwacha apite ili....!?Mzena 2026 !!!!?nadhani umenielewa!

2.Kelele za NEC na pressure ya Dola kwenye mchakato wa 2025 ya kumpata mtia Nia imuibue Biteko!!!

Kuhusu Gwajima na nguvu ya kanisa kuu !Nina nadharia hizi;-

1.vita vya kidini na awamu ndani ya nec na pressure ya dola italeta kauli ya tukose wote apewe M protestant ndio aibuke!

2.Mtifuano ndani ya chama na serikali kupelekea RIP za watu ,wazee wakubwa wenye kauli ndani ya mchakato !top ten ya NEC ambayo imetawaliwa na Kanda ile wakaamua kumpigania mmoja wa Kanda Ile na mjoli mwenye ushawishi Sana kitaa hasa kiroho akapeta!hapa tusimsahau Inocent Bashungwa namuona ni threat kwa mjoli pia!!!

Naona mengi ambayo siwezi yaandika hapa mengine !japo Afya ya namba Moja pia itaamua hatma ya mpeperusha bendera!!!!

Sisi waswahili tunasema kunako majaaliwa ya mwenyezi Mungu!
Duuuuuuh hatari, Mungu awape uhai wazee wenye kulipenda Taifa, rasilimali za nchi na watu wake hasa wenye kutaka rasilimali za nchi zinufaishe watu wengi na taifa na si kikundi cha watu wachache.
 
Mtu mwenye akili timamu kuongea kwa kujiamini hivyo sio Bure;-
1.Ni kweli anatumiwa na Mungu na amemtokea!

2.Utabiri ni WA kweli lakini hesabu za kutimia unabii huo sio za kweli ,labda kaona range ya mwezi was nne Hadi Tano mwaka huu kumbe ni mwaka mwingine kabisa!
Kwa hiyo mtu wa Mungu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI unataka kuniambia nisimpige Boniface Victor?
Nimwombe msahama kwa kwa kumkataa alipotabiri na hata unabii wake kufeli?
Vipi yule kule You Tube wa Kule Arusha HUDUMA YA KRISTO, hutoa tafsiri ya ndoto mbalimbali ambazo hudai kaota, je naye hutumiwa na system?
 
Back
Top Bottom