Bora hata umekuja kutusualimia at least tunajua uko pamoja na sisi .uwe unakuja mara kwa mara kutusalimia ukipata time . Nikwel ulikuwa unatishwa na watu juuu ya hii story
Anything to say kwanini watekwaji wengi wanakutwa ununio na why always ununion :;
Mbona tukio la kumteka yule kiongoz wa upande wapili limefanyika mchana kweupe sana ninini walidhamiria au kuna ujumbe walikuwa wanatuma upande wapili Na kwanini police kila wakat wanasema nch iko Salama As if kama hawaoni watu wanavyotekwa mchana kweupe tunaweza sema are the one doing so
Na je ni kwer yule kiongoz aliye tekwa mchana kweupe Nakutupwa alikuwa threat sana kwa watawala nch kuna loophole nying alikuwa anazijua
Ntakujibu wewe deep kidogo UPATE PICHA KWANZA maana naona hii ishu Imeulizwa sana.
Iko hiv.........
Kampuni Ina security agency nyingi tu, lakini daily active security agency ni PCC and SSIT . These two must report daily to the CEO
BUT These two Were divided after the election of the late CEO!! Some didn't like late CEO and others did! (New one)
Remember SSIT has more power than PCC! 🤣
Sasa wakati wa late CEO, Kulikua na team BT inside SSIT, Hii was dealing with Late CEO People silently! At the same time kulikuaa na ujenzi wa team late CEO I'n side SSIT, to remove BT influence inside SSIT!
Yaaani Hii team ilikuwa Ina Kazi Moja kubwa ni ku hunt down na ku deal na wooote associated with BT in any how.
It means there was a war in side SSIT
Kufupisha story, after the new CEO came into power it was like team BT inside SSIT won the battle, Kwa msaada mkubwa wa the new CEO
New CEO after being given the throne she enjoyed it and want to become a god mother of the company! While the god father is still there
She played all the cards and failed most of the time, untill she remembers the existence of late CEO people inside the SSIT!
Anaamua ku collaborate nao ku fight against god father! She brought them back behind the scenes and give them authority, tena anawapa Sheria ya 2023 very fast 🤣🤣🤣
After that, those people wanaamua ku recruit members from PCC to in large their man power.
wanaweka goals mission and vision. To wards 2030 🤣🤣🤣
Wana apa kudeal na any one against new CEO. And the IR plan called 2030, Including their beloved enemy 🤣🤣🤣 BT
Wanapata special fund from the top! Na wanareport directly frome the top!! We hawa Ukiwagusa muulizee mzee "WASI "🤣🤣🤣
It's a group of SSIT inside SSIT ambao SI lazima kureport Kwa Bommo🤣🤣🤣 under the guidence of KP🤣
Wana magari Yao, offisi zao na watu wao all over the main big cities of the company. Wana power kupitia na kutumia any PCC post Ndani ya kampuni!
Most of them don't look like security agents, male and females of different kinds🤣🤣🤣!
These guys are now uncontrollable kiasi sasa hata new CEO she is worried!! Why?? Simply because She must listen to what they say and follow what they say towards 2030 succession plan!
Pray for her
Sasa kuhusu that abduction umeitaja next season utaipata deep with details.............
tenaaa this time with exclusive codes to prove what am saying 🤣
Thanks love