Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Am here, unataka kusikia Nini?? Be free
Natamani kusikia mambo mengi sana juu ya kinachoendelea kwasasa ukizingatia mwaka huu ni qa uchaguzi mkuu. Vipi Sasha atapeperusha bendera au born town na timu yake wana mtu wao. Maana ukiangalia ni kama wawili hawa si wamoja tena baada ya Plisner na kina marope kuachiq ngazi. Natamani nisikie chochote mpaka naogopa hata kuendelea kuandika ni kama nitakuta umetoweka hewani. Karibu sana!!
 
Mambo ni mengi tupe file la BT na Kampuni Rafiki kuhusiana na kijana msema sana na mwenyekiti wake
😂😂 Hints:

👉One switched side quickly 😂 sababu ya UCEO wa main company 2025

But both Their time is up!

For the two upcoming weeks.... That company will be in a bumpy road!! 😂😂😂

Na nilisahahu anyways ........ both of them are sponsered by one big institution under one man. Its game of cheese by a single man and u know him right?? 👍
 
Back
Top Bottom