Dark days 17/03/20...

Mzee tena : kuwepo kwenu ninyi hatukukosea
 
Kumekucha
 
Baada JK kuchomekewa ile pasi, naona katumia uzoefu sana. Kila akitaka kuchomoa anaona kama wajumbe hawatamuelewa.

Kapiga danadana weee, hatimae akaona isiwe taaabu. Pira kwa beki waanze upya.
Wakati anatamka lile neno wachawi wameshakufa... Body language na tone ilibadilika ghafla... Lakini aliweza kuirudisha... Hakutarajia kulitamka lile neno
 
Mwaka wenye kila aina ya raha na karaha, imeanza mapema sana ila twende nao tuone kabla ya Oktoba kipi kitajiri.
 
yoga hii ndio imeisha au haijaisha mpaka iishe! Maana sijaelewa wamepigaje hapoπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…