Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Trump mwenyewe sub kongwe

Mboni Kali sana imetumika

Is never expected mzee wa 80 kutumika Kama Kivuko
Yule Mzee alitumika kuinadi Dp world kipindi kile!
Anayozungumza ni copy and paste ya kile anachoelekezwa kusema!

Wanahalalisha uchaguzi bila katiba mpya kinyume na matakwa ya wenye dola walivyomuagiza mama!!

Ni rasmi wamemtoa Mzee kafara kwenye Hilo coz ni zigo la misumari hiyo nafasi aliyopewa!
 
😂😂 Hints:

👉One switched side quickly 😂 sababu ya UCEO wa main company 2025

But both Their time is up!

For the two upcoming weeks.... That company will be in a bumpy road!! 😂😂😂

Na nilisahahu anyways ........ both of them are sponsered by one big institution under one man. Its game of cheese by a single man and u know him right?? 👍
Mimi nakupenda vipi IPO nafasi ya upendeleo moyoni mwako unihifadhi...?
 
Kigugumizi on flick.......🤣🤣🤣

Kuhusu hili Mme sema hapa ... ngoja nimkaribishe mzeee ......🤣

Mzee: kwanza wachawi wamesha kufa (unamjua mchawi?) 🤣🤣🤣🤣🤣

Mzee tena: kuhusu UCEO Tukiamuaaa hata sasa ......... Naomba ........... Nyie Vijana msije na mabango ...🤣 Tunaogea mambo mazito mtulie kwanza .....🤣



🤣🤣 Ila Huu mwaka huuu wapendwa Kuna Raha sana!!
"Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!" {yoga 20/03/2022}
 
Back
Top Bottom