Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nadhani Mbowe aongee na wapiga kura wa jimbo la Hai, kama wanataka agombee ubunge au asigombee ubunge.

Na kama agombee, je ni kupitia chadema au ccm. Kama kupitia chadema ok. Kama kupitia ccm, basi ajiunge na ccm. Na akishinda ubunge, na ccm ikishinda uchaguzi, saa100 anaweza kumteua Mbowe kuwa waziri mkuu wa Tanzania.

Wengine wanaoweza kuwa waziri mkuu wa Tanzania ni Mkenda, Mwigulu, Kabudi, au mbunge mmoja atakae toka eneo la usukumani (kabila lake awe ni msukuma, na sio mtu wa mkoa wa Mara).

Waprotestanti wapewe preference kwenye nafasi ya uwaziri mkuu, kama hakuna mprotestanti anaefaa, basi waziri mkuu awe mkatoliki (kama Mkenda). Waziri mkuu atoke mbali na kusini, as Nchimbi makamu wa rais mtarajiwa anatokea kusini tayari.

Majaliwa anaweza kuendelea kuwa waziri, na sio waziri mkuu. Kimei anaweza kuteuliwa kuwa naibu waziri wa wizara fulani.

Mtu yeyote wa chadema ambaye, anaona kwamba hata fikia potential yake chini ya uongozi mpya wa chadema, anaweza akawa mpole au anaweza akahamia ccm. Ccm isiwatumie watu wanao hamia kutoka chadema, kama nyenzo ya propaganda mbaya, dhidi ya wenzao waliobaki huko chadema.

Vuguvugu la uzalendo limeongezeka, hususan baada ya Tundu Lissu kushinda chadema. Inaelekea kanisa katoliki limeongeza uwekezaji wao huko chadema. Naona pia mkoa wa Mara umeongeza uwekezaji wao huko chadema.

Inabidi Saa100, kama anaweza, a renegotiate mikataba yote mibovu na aifanye iwe na maslahi na ustawi mzuri kwa watanzania.

Abalance vizuri uzalendo, haki za binadamu na demokrasia, huku akiendelea kuwa na mahusiano mazuri na mataifa yenye nguvu duniani. Awe pia na mahusiano mazuri na mikoa yote ya Tanzania. Awe pia na mahusiano mazuri na wachagga.

Saa100 pamoja na bunge, wanaweza wakapitisha sheria ya kuruhusu urais kuwa term tatu, za miaka mitano kila term. Au urais kuwa term mbili, za miaka sita kila term. Wabunge na madiwani wawe na terms za miaka sita, na sio mitano kama ilivyo sasa.

Kwa sasa hii inawezekana, as karibia bunge lote ni ccm. Term za miaka 6, zitapunguza gharama za uchaguzi mkuu.

Miaka saba hapana, ni mingi sana.

TZ diaspora walio acha uraia wa Tanzania, wapewe muhuri wa permanent resident (au permanent leave to remain), kwa urahisi sana, kwenye passport zao mpya za kigeni. Wanaweza pia wakapewa special status, ambayo pia ita include hayo hapo juu.

Umri wa kukana au kuchagua uraia kwa watoto wa kiTZ wenye fursa ya uraia wa zaidi ya nchi moja, uwe ni miaka 30, na sio miaka 18 kama sasa.

Hii itawawezesha watoto hao wa kiTZ kunufaika na elimu nzuri na ya gharama nafuu hadi chuo kikuu, huko ughaibuni.

Umri wa chini wa kuruhusiwa kufanya vitu ambavyo sio vizuri, upandishwe kutoka miaka 18 hadi miaka 21, kama matumizi ya pombe/alcohol, sigara/tobacco/shisha, kamari/sportsbetting/casino/lottery, kwenda disco/nightclub, cinema za miaka 18 huko nje, hapa ziwe ni miaka 21.

Pia shisha au na aina zote za kamari, ziwe regulated au banned, kama vimekuwa out of control.

Umri wa kupiga kura ushushwe na uwe ni miaka 15. Umri wa kufanya kazi nyepesi uwe ni miaka 15. Umri wa kufanya kazi nzito uwe ni miaka 21.

Umri wa kuruhusiwa kujiunga na majeshi uwe ni miaka 21; wakati wa vita, umri huo unaweza kushuka na kuwa miaka 18.

Umri wa kuoa au kuolewa, na wa kuruhusiwa kufanya mapenzi uwe ni miaka 21. Watu wenye umri wa miaka 18, wataweza kuoa au kuolewa kwa ridhaa ya wazazi.

Umri wa kuendesha gari uwe ni miaka 18 (class B na D). Umri wa kuendesha magari makubwa uwe ni miaka 21.

Saa100, inabidi aendelee na concept ya TZ as a developmental state.
Hatuwezi kuwa na kiongozi kama Makamu wa Rais au Waziri mkuu ambae ni mchaga (wezi na matapeli) hebu futa kwanza akilini kwako mawazo haya ya kihayawani futa kabisa
 
Wachagga wakristo, wazalendo, wenye maadili mazuri, wamekuwa na mchango mzuri sana hapa TZ, kabla na baada ya uhuru. Both in the public sector and in the private sector, including in the health, education, civil service, security and defence areas.

Wachagga pia wamehusika kwenye mitikisiko chanya na ya amani, ya siasa za kitaifa, ambayo imeleta mageuzi chanya kwa taifa, ndani na nje ya ccm.

Wachagga ambao ni wazalendo, huwa ni wazalendo wazuri sana, na ni wabunifu wazuri.

Tanzania ingepata rais mchagga mkristo, mwenye good exposure, mwenye maadili mazuri, ambae ana university degree, mzalendo, mbunifu, mwenye centre right to centre left politics, anae support a mixed economy, where the public sector and private sector co-exists peacefully and prosper, Tanzania ingepata maendeleo mazuri na makubwa.

Kwa sasa nafasi za rais na VP tayari zina watu. Nafasi iliyobakia ya juu ni PM. Ni jambo zuri kuwa na PM wa ccm, ambae ni mchagga, kama ccm itashinda uchaguzi huru na wa haki.

PM anaweza pia akawa ni msukuma, ili kupata kura nyingi maeneo ya kule. PM anaweza pia akawa ni mtu wa Singida au Dodoma.

Wananchi wengi pamoja na wana ccm wengi, wanapenda ccm iwe ni chama cha kizalendo, kinacho heshimu demokrasia na haki za binadamu, na kupunguza grand corruption, na kuleta maendeleo mazuri na makubwa, na yenye ubunifu mzuri, kwa mikoa yote ya Tanzania, huku kukiwa na uhusiano mzuri (kama itawezekana) na mataifa yenye nguvu duniani.
 
Mwenge wa uhuru wa TZ, nadhani wali ucopy from mwenge wa the statue of liberty ilioko New York, Marekani.

The statue of liberty ilijengwa na wajenzi huru, na inaelekea, ilikuwa copied and modified from a false pagan sun god.

Mwenge ni kama una beba a pagan sacred fire and light of a false pagan sungod. Pia ni kama mwanga wa illuminati.

Marekani na TZ huwa wanatafsiri mwenge kama ni mwanga wa kawaida, unao wakilisha mwanga wa uhuru.
 

Attachments

  • Statue of liberty.jpg
    Statue of liberty.jpg
    46.8 KB · Views: 1
  • pagan image.jpg
    pagan image.jpg
    220.1 KB · Views: 2
Hatuwezi kuwa na kiongozi kama Makamu wa Rais au Waziri mkuu ambae ni mchaga (wezi na matapeli) hebu futa kwanza akilini kwako mawazo haya ya kihayawani futa kabisa
Waliwaibia kina nani? Wachana na wachaga wapambanaji, tuwalaumu Babu zetu walishindwa kupambana kiuchumi wakati wa ukoloni. Wachaga ni matajiri kabla ya uhuru, je waliwaibia wakoloni? Propaganda za kipuuzi zilizoanzishwa na mchonga kwa hofu yake tu wasije pewa madaraka
 
Kikwete katukuzwa na kupewa nguvu na uwezo usiokuwa wa kawaida. Kuna uongo na uzushi mwingi kuhusu Mkwere
Hivi ilikuwaje mzee yule kuwapa uraia wale wakimbizi wakati inafahamika ni wakorofi?
Hivi baada ya miaka 20-50 ijayo hawataleta chokochoko zao kama za wale wa DRC kudai wanabaguliwa kwenye kupewa madaraka?
 
Waliwaibia kina nani? Wachana na wachaga wapambanaji, tuwalaumu Babu zetu walishindwa kupambana kiuchumi wakati wa ukoloni. Wachaga ni matajiri kabla ya uhuru, je waliwaibia wakoloni? Propaganda za kipuuzi zilizoanzishwa na mchonga kwa hofu yake tu wasije pewa madaraka
Taja kwanza wachaga watatu wenye akili timamu na ambao siyo wezi
 
Back
Top Bottom