Dark days 17/03/20

Kwa sasa yaruhusini mabasi yanayoenda Arusha na Kilimanjaro, yaondokee some where kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, pale Kawe, yaingie new Bagamoyo road, mpaka Mapinga, mpaka Msata, mpaka mikoa ya Kaskazini.

Baadae wajenge stendi ya pili (medium size regional bus stand) ya bei rahisi, ya mabasi haya, hapo hapo Tanganyika Packers.

Dar es Salaam ni jiji kubwa sana sasa. Linahitaji three regional bus stands. Magufuli bus stand plus hiyo Kawe Tanganyika Packers bus stand plus regional bus stand ya mabasi ya kwenda Lindi na Mtwara.
 
Wazo zuri sana, waziri wa uchukuzi alifanyie kazi
 
The state waliamua toka gaberon room no 26...na ilikuwa Ni lazima iwe hivyo..sababu kubwa iluyopelekea maamuz hayo Ni kwamba badala ya ""kujenga taifa yeye alikazana kujenga nchi...""
Sasa hivi taifa linajengwa sio?

Wazee kama nyinyi ni hatari kwa taifa lolote linalotaka kujikwamua...

Magu mulimuua kwasababu alibana ulaji wenu tu, hamkua na sababu nyingine...

Acheni kudanganya watu.
 
Sasa hivi taifa linajengwa sio?

Wazee kama nyinyi ni hatari kwa taifa lolote linalotaka kujikwamua...

Magu mulimuua kwasababu alibana ulaji wenu tu, hamkua na sababu nyingine...

Acheni kudanganya watu.

Huyo ni tapeli sababu alizozitoa sasa hivi anajiona mjinga
 
Kwahiyo leo hii kijana msema sana, anafanyiwa madhira haya yote kwa kuwa karata ya yeye kutumika ishaisha, afu hao hao walio mtumia km karata ndio wanao muangamiza leo hii?
Siasa ya Bongo, ni kizugumkuti kwa kweli.
Duuh
 
Sasa mbona leo hii huyu kijana msema sana anasubiwa na hao hao Old CEO na New CEO. KULIKONI??
 
Nipo wasalimie wote huko wakumbushe wananzengo kuwa, wasaliti wamesalitiana, kama nzengo itaendelea hivi ilivyo kazi wanayo

By the way nampa pole wa mahakamani, yajayo yanfurahisha🫶
Mbona unaanza kututisha yoga kwani imekuajee?
Em funguka zaidi basi nawewe. Aaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…