Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Huu Uzi mbona UNANICHANGANYA?mleta mada yanayoongelewa kila upande anayajua vizuri,Hadi yaliyoongelewa kwa Siri na Yule mwarabu wa Doha mleta mada anajua in details[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]mmmmh Hapana Kuna kitu hakiko sawa hapa......
Hapo na mm kaniachia maswal sna alijuwaje kinachojadiliwa in private room ya CEO wkt Ni wawili tu walikuepo

Ingawa ameamua kujiongeza I'll kupoteza uhalali wa kudhibitisha ukweli wa story yake
20 % Ni kweli mengine Ni hisia tu
Mnk mm mwenyewe nafatilia sna shughuli za ceo huwa na matukio yake mauhimu
 
Hakuna antidote ya polonium mkuu, zaidi utapewa supportive therapy kama kutumia chelating agents na Gastric salvage kuiondoa mwilini na hapa itategemea umekula kiasi gani tofouti na hapo unakwenda na maji mapema.

Kumbuka inahusika na utoaji wa mionzi mikali ambayo huaribu seli za damu nyekundu na kuharibu kiwanda chake katika uboho (bone marrow) kupona huwa nj majaaliwa.

Hata ukipona hutokuwa na maisha marefu
Haitoi mionzi na sio radioactive material

Inatoa alpha particles

bout chelating agents such as dimercaprol and penicillamine upo sahihi kabisa kiongozi
 
Kwani maheads of states wanaouwawaga huwa hawana huo ulinzi mkali??
Ushakalili mkuu, hakuna sehem haina mapungufu ndgu yangu, wanaingilika tu na wataalam wa mambo.

Yote kwa yote mleta uzi kasema hii ni hadithi tu, soma kwa kujifurahisha usiingize mambo yako.
Kwamba hao marais wanauwawa kwa kupewa chai na mgeni aliyeshuka na private jet na hajulikani. Na sumu iliyotiwa na kutumwa kwenye documents? Wanakufa ila hawafi kitoto hivi. Nilisoma sikumalizia kipande cha nne nikaishia hapo sijui wapi alisema ni fiction
 
Nakushukuru nimemaliza ila fasihi yako in fikirisha Sana naona sehemu kubwa kwa Kila tukio baya na ovu unamuhusisha Mr born town

Siyo kweli kbsa Mr old CEO hawe kuwa Kila kitu ktk campuni Kuna maeneo hayupo kbsa

Nikifikiaria Hadi kina kinana na makamba kwenda kuomba msamaha mbel ya bashiru na aliye ngatuka leo wakt katk sauti zile hata Mr old CEO hawEzi kukozekana kwaninn Mr old CEO hajawambia kuwa msiombe msamaha Wala kujutia makosa yenu nyie tulieni nitammaluzana na hyu new chief mpya kimya kimy

Mashak napata tu kuwa ukweli Ni mdgo sna kuliko uwongo wakufikirisha
 
Kwani maheads of states wanaouwawaga huwa hawana huo ulinzi mkali??
Ushakalili mkuu, hakuna sehem haina mapungufu ndgu yangu, wanaingilika tu na wataalam wa mambo.

Yote kwa yote mleta uzi kasema hii ni hadithi tu, soma kwa kujifurahisha usiingize mambo yako.
Mueleze huo ulinzi mkali ndo wanautumia kuwamaliza.
 
Nakushukuru nimemaliza ila fasihi yako in fikirisha Sana naona sehemu kubwa kwa Kila tukio baya na ovu unamuhusisha Mr born town

Siyo kweli kbsa Mr old CEO hawe kuwa Kila kitu ktk campuni Kuna maeneo hayupo kbsa

Nikifikiaria Hadi kina kinana na makamba kwenda kuomba msamaha mbel ya bashiru na aliye ngatuka leo wakt katk sauti zile hata Mr old CEO hawEzi kukozekana kwaninn Mr old CEO hajawambia kuwa msiombe msamaha Wala kujutia makosa yenu nyie tulieni nitammaluzana na hyu new chief mpya kimya kimy

Mashak napata tu kuwa ukweli Ni mdgo sna kuliko uwongo wakufikirisha
Nb hii ni simulizi tu kama vitabu vingine vinavyosimuliaga story.

Hata hivyo unatakiwa kujua kuwa unaloliona haliwezekani ndo huwa linawezekana kua uyaone.

.kuna riwaya moja nilisoma, yule bwana hakujuwa kuwa mambo magumu yanawezekana kutokea juu yake alikuja kukundungua muda ushaenda.alicheka huku akiwa analia.

Akamuita mtu wake wa karibu sana akamwambia niitie mchungaji fulani , mchungaji akaja akamwambia nimekuitia mambo matatu.
1: akamwambia kila kitu alichokigundua wakati alishachelewa.
2: akamwambia tusali wote......wakasali.
3: mwisho akamwambia wacha tu mimi niishie hapa.

Nilivyosoma kile kitabu nikakimaliza nikagundua yule bwana mwisho alikubali matokeo, na akaona ni sahihi aishie pale naana angeendelea kuwa hai angeshangaza dunia maana pale unapogundua huyu mtu wa karibu yako ndo mbaya wako, pata picha unamfanya nini?

So nyie watoto mmezaliwa jana hamsomi vitabu, riwaya zipo nyingi na za kufundisha.nendeni maktaba mkasome vitabu.
 
Nakushukuru nimemaliza ila fasihi yako in fikirisha Sana naona sehemu kubwa kwa Kila tukio baya na ovu unamuhusisha Mr born town

Siyo kweli kbsa Mr old CEO hawe kuwa Kila kitu ktk campuni Kuna maeneo hayupo kbsa

Nikifikiaria Hadi kina kinana na makamba kwenda kuomba msamaha mbel ya bashiru na aliye ngatuka leo wakt katk sauti zile hata Mr old CEO hawEzi kukozekana kwaninn Mr old CEO hajawambia kuwa msiombe msamaha Wala kujutia makosa yenu nyie tulieni nitammaluzana na hyu new chief mpya kimya kimy

Mashak napata tu kuwa ukweli Ni mdgo sna kuliko uwongo wakufikirisha
Thank you. Well analysed

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Nakushukuru nimemaliza ila fasihi yako in fikirisha Sana naona sehemu kubwa kwa Kila tukio baya na ovu unamuhusisha Mr born town

Siyo kweli kbsa Mr old CEO hawe kuwa Kila kitu ktk campuni Kuna maeneo hayupo kbsa

Nikifikiaria Hadi kina kinana na makamba kwenda kuomba msamaha mbel ya bashiru na aliye ngatuka leo wakt katk sauti zile hata Mr old CEO hawEzi kukozekana kwaninn Mr old CEO hajawambia kuwa msiombe msamaha Wala kujutia makosa yenu nyie tulieni nitammaluzana na hyu new chief mpya kimya kimy

Mashak napata tu kuwa ukweli Ni mdgo sna kuliko uwongo wakufikirisha
Waliitwa kwenye kamati ya maadili hawakwenda kuomba msamaha.
 
Nakushukuru nimemaliza ila fasihi yako in fikirisha Sana naona sehemu kubwa kwa Kila tukio baya na ovu unamuhusisha Mr born town

Siyo kweli kbsa Mr old CEO hawe kuwa Kila kitu ktk campuni Kuna maeneo hayupo kbsa

Nikifikiaria Hadi kina kinana na makamba kwenda kuomba msamaha mbel ya bashiru na aliye ngatuka leo wakt katk sauti zile hata Mr old CEO hawEzi kukozekana kwaninn Mr old CEO hajawambia kuwa msiombe msamaha Wala kujutia makosa yenu nyie tulieni nitammaluzana na hyu new chief mpya kimya kimy

Mashak napata tu kuwa ukweli Ni mdgo sna kuliko uwongo wakufikirisha
Nadhani hujaelewa mwandishi keshasema old CEO NI mtaalamu wa kukununulia hata maadui fek ukaamimi NI adui zako kumbe anakata Kona ndefu kabla ya kukufikia
 
Back
Top Bottom