Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Ndiyo, anza na mchonga meno, uje na bonge, the late CEO.One day palaypanda italia kwenye kampuni nao watasaga meno. Kuna mlevi mmoja alisikika akisema vongozi wa kampuni wanaokufa ni dini moja. Huyu mlevi sijui alimaanisha nini?
Kuna kaelement ka dini hapa. Na ninachoamini mimi hawa the lates wamekuwa na misimamo ya kuileta zaidi nchi pamoja badala ya maslahi binasfi. Ndicho kinachowagharimu.
Nature ya waliobakia ni kupata "mimi" kwanza mengine baadaye. Ndiyo maana hata chama lao ni walalamikaji hata katika vitu vidogovidogo visivyo na msingi. Wametaka hata kuvaa hijab tu iwe sheria ya nchi.
Ni wa kukalamika sana.