Dark days 17/03/20...

Wewe ni mwanamke kweli 🤔🤔?
Wanawake wengi hawana roho kama yako, yaani umemuacha tu hivi hivi.

Hapo angekua mwingine ungezuka ugomvi mkali + kutushusha vyeo wanaume wote kisa huyo mjuba juha.

Kongole kwako nina imani u msomi wa kiwango chako.
 

Yule huwa anasemwa kwenye masimulizi tu...... hata kama yupo basi ni ameamua kuwa Low key
 
Jinsia tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].....

haya bana ila Ukiona nyama imeachwa wazi buchani jua muuzaji yuko pembeni tu anasubiri mteja!!

Acha apate kipato bwana sio shida kabysaaa!![emoji6][emoji847]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848] Ndgu.

Una lako jambo na huu uzi si bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna kabisaaaaaa, wala sina jambo lolote lile mpendwa! Hii ni riwaya tu tuisome tufurahi!!

[emoji39]As a matter of fact......

What goes around, comes around like a hula hoop [emoji1787][emoji1787][emoji1787]




Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
🙌🙌 Haya sawa.

Leo holiday fanya kamuendelezo ka riwaya basi.
Tuagize popcon au ndo mpaka weekend, popcon zimepanda bei mkuu tuhakikishie uwepo wa riwaya ili tuagize mapema.
 
Old CEO fitina nyingi sana huyu mzee, sio mafia au masonic kweli huyu??

Ukute Yuko kamati kuu ya kuhakikisha satanic law of fives inafanya kazi.

Ila sote tutakufa na Mungu yupo atatenda sawa na mapenzi yake.
Naunga mkono hoja, huyo beege ndo mkubwa wao Kwa Tanzania wakala wa shetani.

Kupitia uwakala wa covid, wanalazimisha wanapokuwa mbele ya camera wavae barakoa.

Pia uongozi wake ni WA kutoa kafala watanzania kupitia ajari za barabarani.
 
You mean his deeds will come to haunt him or!!?
 
Naunga mkono hoja, huyo beege ndo mkubwa wao Kwa Tanzania wakala wa shetani.

Kupitia uwakala wa covid, wanalazimisha wanapokuwa mbele ya camera wavae barakoa.

Pia uongozi wake ni WA kutoa kafala watanzania kupitia ajari za barabarani.
He will die the painful death we subili.
 
Yoga. Nakusalimia katika Jina la mwenyezi MUNGU aliye hai.

Viroboto tunauliza je Wewe ndo yule Veronica France wetu tuliyekuwa naye kule fb au tusubilie mwingine?
 
Nimependa tu unavyojituma kufahamu mambo. But uwe tayari kuupooza moyo wako.

Hii riwaya inaniumiza sana moyo kiasi cha kuwaza kwamba kama ningekuwa na uwezo, ningewapiga risasi baadhi ya wadau wa kampuni hususani wastaafu waliostaafu wasiotaka kustaafu.

Nimebaki na maumivu yangu. Mungu asikie kilio changu ili kupunguza kama si kuondoa midemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…