7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,729
- 7,966
Kabisa mkuu. Ebu fikiria riwaya kama hii watu tulikuwa tunalala zetu usingizj hadi ndoto juu, tunapanga mipango yetu, tunatembea barabarani, vichochoroni usiku na mchana wala hata hugeuki nyuma kujua nani anakufuatilia, kumbe upande mwingine watu hawalali.Yap, Kuna mambo bora usijue, ukijua Yan maisha ya kawaida yanapoteza maana kabisa, Kuna some kind of ignorance inatupa furaha na matumaini ya kuishi wenyew wanaiita naivety, ni bora kuwa nayo hiyo kuliko reality na knowledge ambayo Ina destruct life appetite na enthusiasm kwa ujumla.
Ndio maana tunashauriwa kuna mambo kama hayakuhusu bora kuachana nayo. Kuna siri unaweza kuzijua ukaishia kuwa chizi.